Matumizi ya nembo ya Rais kwa Rais Mstaafu yapoje?

Hero

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
3,919
Reaction score
2,843
Kuna waraka ulioandikwa hivi karibuni na Ofisi ya Rais Mstaafu.

Mie nilikuwa sijui, au sijui nimejichanganya, kumbe hata ukistaafu Urais unabaki na Ofisi ya Rais Mstaafu?

Kwa hiyo Tanzania tunazo ofisi 4 za Rais Wastaafu?

Na matumizi ya nembo ya Rais imekaaje hapo. Najaribu kuwaza kwa maandishi.

Naomba nisaidiwe
 
Kwa hiyo kimachotambulisha barua ya Rais ni nembo ya Rais pekee.?
 
Rais akistaafu haimaanishi stahiki zake kama Rais hapati! Anapata kama kawaida....Ila anakuwa haishi ikulu tu, na kuhusu nembo anatumia bibi na bwana ngao ile kama kuna jambo anataka kuliweka sawa kwa umma!
 
Kasome katiba
Pia kuna nyumba 4,magari,wainzi,wahudumu,wasaidizi ofisini,na posho ya 80% ya mshahara wa Rais alie madarakani
Hii ni kumfanya mstaafu atulie,lakini bado tu watu wanawashwa washwa
Waswahili hawawezi kutulia!
 
Kasome katiba
Pia kuna nyumba 4,magari,wainzi,wahudumu,wasaidizi ofisini,na posho ya 80% ya mshahara wa Rais alie madarakani
Hii ni kumfanya mstaafu atulie,lakini bado tu watu wanawashwa washwa
Kudadeki sasa ustaafu unakujaje hapo
 
Kuna waraka ulioandikwa hivi karibuni na Ofisi ya Rais Mstaafu.

Mie nilikuwa sijui, au sijui nimejichanganya, kumbe hata ukistaafu Urais unabaki na Ofisi ya Rais Mstaafu?

Kwa hiyo Tanzania tunazo ofisi 4 za Rais Wastaafu?

Na matumizi ya nembo ya Rais imekaaje hapo. Najaribu kuwaza kwa maandishi.

Naomba nisaidiwe
3

Bila kuweka waraka hapa utashikiliwa kwa uchochezi
 
Sijui civics haifundishwi siku hizi watu hawajui lolote juu ya Taifa lao.
Ngao ya bibi na bwana siyo nembo ya rais ni nembo ya Taifa
Nadhani kuna sheria ya matumizi ya nembo hiyo labda ulete kifungu cha sheria juu ya matumizi yake tuone inakuwaje
 
Kasome katiba
Pia kuna nyumba 4,magari,wainzi,wahudumu,wasaidizi ofisini,na posho ya 80% ya mshahara wa Rais alie madarakani
Hii ni kumfanya mstaafu atulie,lakini bado tu watu wanawashwa washwa
Kwahiyo Mwinyi anapokea 80% ya mkapa? Kikwete au Magufuri?
 
kwa hiyo mtu kama kikwete nae bado anatumbua kodi zetu tu?
 
Back
Top Bottom