rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania David Silinde ni mbunge pekee aliyepongezwa na Rais Magufuli, CCM huko Momba mpokeeni kwa unyenyekevu!

    Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa. Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo Maendeleo hayana vyama...
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

    Nipo hapa naangalia hotuba ya Mweshimiwa Rais, sasa kuna kitu kinanitatiza kuna vioo viwili vipo mbele ya Mweshimiwa Rais mbele sijaelewa ni vitu gani vile?
  3. JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping kuendesha mkutano wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo ametangaza kuwa, rais Xi Jinping wa China kesho hapa Beijing ataendesha na kuhutubia mkutano maalumu wa kilele wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona. Mkutano huo umefanyika chini ya...
  4. JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu wa Tanzania wapo Dodoma wakisubiri hotuba ya Rais Magufuli

    Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu Dr. Gharib Bilal wakiwa Bungeni mjini Dodoma wakisubiri kusikia hotuba ya kulivunja Bunge leo kutoka kwa Rais Dkt. John Magufuli.
  5. JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

    Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja. Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chadema: Zoezi la kutia nia kugombea nafasi ya Rais wa JMT limefungwa rasmi tutatoa orodha ya walioandika barua

    Afisa habari wa Chadema mh Makene amesema zoezi la kutia nia kugombea urais wa JMT kupitia chama hicho limefungwa rasmi. Tarehe ya mwisho ilikuwa ni 15 June, 2020 saa 10:00 jioni. Orodha ya walioandika barua itatolewa na utaratibu unaofuta mtaelexwa. Freeman Mbowe amekuwa mwanachadema wa...
  7. JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe: Ikitokea Rais Magufuli akaniteua kwenye nafasi yoyote ya uongozi nitamwambia aniache kwa sababu nina shughuli nyingine

    Akiwa katika mahojiano katika kipindi cha ZUNGUMZA cha Clouds Plus Mwenyekiti wa CHAUMA, Hashimu Rungwe amezungumza mambo mbalimbali. Mh. Rungwe amesema "Ikitokea Mhe.Rais Magufuli akaniteua kwenye nafasi yoyote ya uongozi nitamwambia aniache kwa sababu nina shughuli nyingine" "Sihitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo utaratibu wa kuondoa ukomo wa Urais kwenye katiba ya JMT ya 1977

    Ili kufanya mabadiliko ya kifungu cha katiba kinachohusiana na ofisi ya Urais wa JMT kwenye Cap 2 (URT Constitution of 1977), kinachohitajika ni Serikali kupeleka muswada bungeni kama miswada mingine wa kubadili kifungu tajwa. Isipokuwa tu kwenye upitishaji itahitajika theluthi mbili za wabunge...
  9. JamiiForums Tanzania Funguka Rais na Mwenyekiti wangu, TAKUKURU wachane makabrasha ya 'kashfa ya rushwa' ya Lugola na wenzake?

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ilianza na inaendelea na uchunguzi wa sakata la rushwa kubwa ya mabilioni dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola na makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Hii ilifuatia agizo lako kwa vyombo vya ulinzi na usalama...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wakate Kangi Lugola, Kessy na Ndugai kwa udhaifu wa kukufanya mpenda madaraka wakati Urais ni mzigo unahitaji kupumzika

    Wana Jf Rais wangu, naanza kwa kukusifu kwa kazi nzuri unayoifanya kama mzalendo. Urais ni taasisi, umeiongoza kwa mapenzi ya Mungu, sasa ametokea watu wenye upungufu wa maoni wanataka uyabadirishe ambayo uliyokuwa unayapinga adharani. Rais wetu ulisema tukuombee sana usiwe na kiburi. Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Ghana: Kufuatia ongezeko la visa vya COVID-19 Rais Nana Akufo-Addo asema ni lazima kila mtu kuvaa barakoa kuanzia sasa

    Kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID-19, Rais Nana Akufo-Addo ametangaza kuwa kuanzia sasa kuvaa barakoa ni suala la lazima nchini humo na Polisi wameelekezwa kuhakikisha agizo hilo linatekelezwa Alikuhutubia taifa, Rais Addo amesema idadi ya visa inaongezeka kutokana na watu kushindwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, jitokeze hadharani kupinga kufananishwa na Yesu Kristo!

    Hapo vipi! Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini. Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tuache kumdhihaki Rais

    Watu wote wanao msifia rais hata pale ambapo haistahili hii inakuwa tena sio sifa bali ni dhihaka. Wengine wamefika hata mahali pa kumwita kuwa yeye ndiye Mungu au Yesu, hii ni dhihaka na kufuru kubwa. Viongozi na watanzania tuache unafiki wa kutumia mwanya uliopo ili kujinufaisha. Haya mambo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

    Dah.....bunge linogile. Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro. Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway ampongeza Rais Magufuli katika Mapambano ya Covid19

    Baadhi ya Nchi za Ulaya zimeanza kutambua na kupongeza hatua ambazo Tanzania imezichukua katika kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 kutokana na muongozo wa Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwa zinaendana mazingira na hali halisi ya Tanzania. Waziri wa Maendeleo...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza maombolezo ya siku 3, bendera kupepea nusu Mlingoti kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Marehemu Pierre Nkurunziza

  17. JamiiForums Tanzania Diwani aliyeandika kitabu cha Rais Magufuli ameihama Chadema kwenda NCCR

    Diwani machachari wa Chadema Arumeru ambaye aliandika kitabu kinachoelezea mafanikio ya Rais Magufuli ameachana na Chadema na kujiunga na NCCR Mageuzi. Amechukizwa na siasa chafu za kuponda maendeleo zinazofanywa na Chadema. Huyu Diwani Mrembo kuliko wote huko Arumeru na ni mwanathiolojia...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongea na Waziri Mkuu wa India

    ''Prime Minister Shri Narendra Modi had a phone call today with His Excellency Dr. John Pombe Joseph Magufuli, President of the United Republic of Tanzania. The Prime Minister warmly recalled his July 2016 visit to Dar-es-Salaam and stressed on the importance that India attaches to its...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Riziki Lulida aomba kurejea CCM. Asema Rais Magufuli ni msikivu alifuturu naye na kuongea naye kama ndugu

    Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu. Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini. Nilijibu nataka kwenda nyumbani kufuturu. Akaniambia mimi ndio baba watoto twende, nami nikamuambia...
  20. JamiiForums Tanzania Burundi leader Nkurunziza died of Covid-19 — diplomats

    Habari zimethibitishwa kuwa Pierre Nkurunzinza wa Burundi alikuwa muathirika wa gonjwa hatari la COVID19. Tuchukue tahadhari wandugu, gonjwa bado linatesa. --- Burundi’s outgoing President Pierre Nkurunziza died of Covid-19, diplomatic sources in Bujumbura and Nairobi confirmed on Wednesday...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…