Siku ya leo Rais Magufuli aliitumia kwa kulihutubia Bunge la 11 na kulivunja rasmi, huku wabunge hao akiwaaga wakielekea majimboni mwao, kwenda kwenye mchakato wa kujaribu bahati yao, ili kama watarejea tena kwenye Bunge lijalo la 12 mwakani baada ya uchaguzi Mkuu.
Kama tunavyokumbuka kuwa...
Rais ametangaza kwamba tarehe 29/06/2020 shule zote zifunguliwe.
Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana. Amesema shughuli nyingine zote kama kufunga ndoa nazo ziendelee na maisha lazima yarudi kama ilivyokuwa awali.
Ameyasema hayo akihutubia wananchi kupitia kikao...
Jana saa nane ya usiku dege la fly Emirates lilitua uwanja wa kimataifa wa BoT kushusha maburungutu ya T-shirts za wabunge. Wengi wao wameona sms zao walipoamka asubuhi. Hivyo wana furaha hasa wale wa CCM ambao wao huangalia zaidi mavazi yao kuliko kitu kingine! Sasa kwa hizi T-shirts za full...
Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa.
Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo
Maendeleo hayana vyama...
Nipo hapa naangalia hotuba ya Mweshimiwa Rais, sasa kuna kitu kinanitatiza kuna vioo viwili vipo mbele ya Mweshimiwa Rais mbele sijaelewa ni vitu gani vile?
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo ametangaza kuwa, rais Xi Jinping wa China kesho hapa Beijing ataendesha na kuhutubia mkutano maalumu wa kilele wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
Mkutano huo umefanyika chini ya...
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu Dr. Gharib Bilal wakiwa Bungeni mjini Dodoma wakisubiri kusikia hotuba ya kulivunja Bunge leo kutoka kwa Rais Dkt. John Magufuli.
Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja.
Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
Afisa habari wa Chadema mh Makene amesema zoezi la kutia nia kugombea urais wa JMT kupitia chama hicho limefungwa rasmi.
Tarehe ya mwisho ilikuwa ni 15 June, 2020 saa 10:00 jioni.
Orodha ya walioandika barua itatolewa na utaratibu unaofuta mtaelexwa.
Freeman Mbowe amekuwa mwanachadema wa...
Akiwa katika mahojiano katika kipindi cha ZUNGUMZA cha Clouds Plus Mwenyekiti wa CHAUMA, Hashimu Rungwe amezungumza mambo mbalimbali.
Mh. Rungwe amesema "Ikitokea Mhe.Rais Magufuli akaniteua kwenye nafasi yoyote ya uongozi nitamwambia aniache kwa sababu nina shughuli nyingine"
"Sihitaji...
Ili kufanya mabadiliko ya kifungu cha katiba kinachohusiana na ofisi ya Urais wa JMT kwenye Cap 2 (URT Constitution of 1977), kinachohitajika ni Serikali kupeleka muswada bungeni kama miswada mingine wa kubadili kifungu tajwa. Isipokuwa tu kwenye upitishaji itahitajika theluthi mbili za wabunge...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ilianza na inaendelea na uchunguzi wa sakata la rushwa kubwa ya mabilioni dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola na makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Hii ilifuatia agizo lako kwa vyombo vya ulinzi na usalama...
Wana Jf
Rais wangu, naanza kwa kukusifu kwa kazi nzuri unayoifanya kama mzalendo. Urais ni taasisi, umeiongoza kwa mapenzi ya Mungu, sasa ametokea watu wenye upungufu wa maoni wanataka uyabadirishe ambayo uliyokuwa unayapinga adharani. Rais wetu ulisema tukuombee sana usiwe na kiburi.
Sasa...
Kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID-19, Rais Nana Akufo-Addo ametangaza kuwa kuanzia sasa kuvaa barakoa ni suala la lazima nchini humo na Polisi wameelekezwa kuhakikisha agizo hilo linatekelezwa
Alikuhutubia taifa, Rais Addo amesema idadi ya visa inaongezeka kutokana na watu kushindwa...
Hapo vipi!
Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.
Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila...
Watu wote wanao msifia rais hata pale ambapo haistahili hii inakuwa tena sio sifa bali ni dhihaka. Wengine wamefika hata mahali pa kumwita kuwa yeye ndiye Mungu au Yesu, hii ni dhihaka na kufuru kubwa.
Viongozi na watanzania tuache unafiki wa kutumia mwanya uliopo ili kujinufaisha. Haya mambo...
Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
Baadhi ya Nchi za Ulaya zimeanza kutambua na kupongeza hatua ambazo Tanzania imezichukua katika kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 kutokana na muongozo wa Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwa zinaendana mazingira na hali halisi ya Tanzania.
Waziri wa Maendeleo...
Diwani machachari wa Chadema Arumeru ambaye aliandika kitabu kinachoelezea mafanikio ya Rais Magufuli ameachana na Chadema na kujiunga na NCCR Mageuzi.
Amechukizwa na siasa chafu za kuponda maendeleo zinazofanywa na Chadema.
Huyu Diwani Mrembo kuliko wote huko Arumeru na ni mwanathiolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.