Mjadala: Waziri wa mambo ya nje ya Marekani anamkuta Paul Makonda na hatia ya kuua watu! Kwanini anakumbatiwa sana na Rais Magufuli?

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo.

Ukija hapa Tanzania utaambiwa na serikali ya CCM kuwa Paul Makonda ni moja ya watu muhimu, wachapa kazi, na mbaya zaidi alifanikiwa kuwa " fool" viongozi wa dini nao wakamuamini. Tunajiuliza ni kwanini akumbatiwe sana na Rais Magufuli?
 
due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.

Jr
 
.
Screenshot_20200201-062516-picsay.jpeg
Screenshot_20200201-062303-picsay.jpeg
 
due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.

Jr
Mshana umeanza kuyumba hizi lugha za makaburu Jf tangu lini bro!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.

Jr

Mshana mie napita tu mdogo wangu la muhimu jioni tukutane Container Maili moja upate kamoja
 
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo.

Ukija hapa Tanzania utaambiwa na serikali ya CCM kuwa Paul Makonda ni moja ya watu muhimu, wachapa kazi, na mbaya zaidi alifanikiwa kuwa " fool" viongozi wa dini nao wakamuamini. Tunajiuliza ni kwanini akumbatiwe sana na Rais Magufuli?
Wewe unatafuta kutekwa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba ndio anamtuma,USA wanajua hiyo ni wakeup call kwa MEKO,Barua ya kumpongeza MEKO ni Kumuweka sawa kwamba wanammonitor.....MEKO atulize wenge ataingizwa kwenye 18 ICC.
 
due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.

Jr
Government of gangsters

Kayataka mwenyewe na babake anamshangilia, ngoja tuone yatafikia kushtakiwa The Hegue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom