rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mwanasheria mkuu (AG) kushtakiwa kwa makosa yaliyotendwa na Rais kama taasisi au mtu binafsi akiwa madarakani nimeikubali

    Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG) Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho. Maendeleo hayana vyama!
  2. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Malawi, Joyce Banda asema nchi hiyo haina Corona

    Rais wa zamani wa Malawi Joyce Banda amesema nchi hiyo haina virusi vya Korona na kuituhumu serikali kwa ‘kugushi’ takwimu. Vyombo vya habari vya Malawi vimeripoti kuwa Bi Banda alinena hayo akizungumza kwenye mkutano wa hadhara. Aidha ametaka fedha za misaada dhidi ya Corona zitumike kwa...
  3. Magari ya kukodisha

    JamiiForums Tanzania Mimi ni CCM, napinga Rais Magufuli kuongezewa muda

    Wakuu habari, Nasikitishwa na ukiukwaji katiba na kanuni unaotaka kufanywa CCM. Baba wa taifa alituasa kuwa yeye ndiye wa mwisho kutawala kwa muda mrefu kwenye nchi hii na asitokee yeyote mwenye tamaa kujaribu kutawala kwa muda mrefu. Nimeshangazwa na mwanachama mwenzangu Mbunge Kessy wa...
  4. The Genius

    JamiiForums Tanzania Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

    Nimemsikia Mbunge mmoja akiongea Bungeni akitaka Bunge libadilishe Katiba ya Nchi ili kumfanya Rais Magufuli aendelee kutawala hata baada ya kumaliza kipindi chake cha kikatiba cha miaka 10. Kama hilo halitoshi, Spika Ndugai amesikika akimhakikishia Mbunge husika kuwa kazi hiyo ya kubadilisha...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

    Hakuna cha Makame Mbarawa wala nani. Huyu ndiye atayeiingiza Zanzibar kwenye karne ya 21. Wasifu wake ni huu hapa: Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi...
  6. Dam55

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi Burundi kufuatia kifo cha Rais Nkurunziza. Asema alikuwa mpigania amani na kuruhusu demokrasia

    Hivyo ndivyo alivyoandika Mh Rais JPM akituma salamu za pole kwa serikali ya Burundi juu ya kifo cha Rais Nkurunzinza. Kupitia ukurasa wake wa Twitter mh Rais amesema Nimeshtushwa na taarifa za kifo cha Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza. Nitamkumbuka kwa uongozi wake imara na juhudi zake...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha azimio kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia kuitokomeza Covid 19

    Bunge kwa kauli moja limepitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia na uongozi alioutoa hadi kufanikiwa kutokomeza ugonjwa hatari wa Corona. Bunge limesema Dunia sasa inaitazama Tanzania kama nchi ya kuipigia mfano na kuiga mbinu za kutokomeza ugonjwa wa Corona. Chanzo...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Poleni Burundi kwa kumpoteza Rais, japo alikuwa mkaidi kwa Corona ila tu basi

    Haka kaugonjwa hata mimi nilikua nimeanza kuwaiga Watanznia na kulegeza, ila hizi taarifa zimenikurupusha. Huu sio wakati wa kubeza juhudi za tahadhari dhidi ya corona, hiki kirusi kilimlaza waziri mkuu wa Uingereza sembuse maskini wa Afrika, japo hatujajua nini kimemsibu rais wa Burundi ila...
  9. JoJiPoJi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

    Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia. === Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo. Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daniel Arap Moi alikuwa mbunge na Rais kwa wakati mmoja

    Daniel Arap Moi, alikuwa rais wa Kenya aliyeingia madarakani Desemba 28, 1978 baada ya Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza wa Kenya kufariki. Arap Moi amekuwa Rais wa Kenya kuanzia 1978 hadi mwaka Aprili 9, 2002 ambapo urais ulichukuliwa na Mwai Kibaki. Mbali na Daniel kuwa Rais alikuwa mbunge tangu...
  11. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa! Leo tena...
  12. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  13. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Mnaosubiria kuona Taarifa ya Rais Tamanio la Wananchi wenye Machungu Magazetini Kesho poleni sana na mno

    Kuna bonge la Mkwara nasikia umepigwa katika Newsroom za Magazeti ya Kesho juu ya kutokuchapisha Taarifa ya Rais Tamanio la Wananchi wenye Machungu Magazetini na kwamba kile kitakachothubutu watakuwa wameshajihalalishia Bifu la Kudumu na hao Wakatazaji ( Wapigwa Mkwara ) huo. Kuna mawili ama...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Waliopewa vyeo vya Uwaziri na Unaibu Waziri wasiharibu taswira ya Rais Magufuli kwa maslahi yao!

    Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais. Wapo...
  15. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump kulihutubia taifa wiki hii. Ajenda kuu | Ubaguzi wa rangi na umoja wa kitaifa

    Habari! Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya ubaguzi wa rangi pamoja na umoja wa kitaifa. Jambo jingine linalotarajiwa kuzungumziwa zaidi na...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  18. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Hoja 10 za Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu kuhusu Rais kutoshtakiwa mahakamani

    Ado Shaibu: ACT Wazalendo tumekuwa mstari wa mbele kuiwajibisha Serikali Mahakamani. Rais alipomwondosha CAG Prof. Assad kinyume na Katiba, Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe alimpeleka Mahakamani. Pia, Rais alipomteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali asiye na vigezo vya kikatiba, nilimpeleka...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

    Kwa lipi hadi utaje taje Jina la Mungu? 1. Kagera walipopatwa na tetemeko uliwaambia kuwa CCM wala Serikali hawajaleta tetemeko. Hiyo siyo kauli ya mtu anayemcha Mungu. 2. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi wewe kama kiongozi wa kitaifa hujawahi kuja na hatua yoyote dhidi ya tukio hilo...
  20. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Alipotutoa Rais John Pombe MagufulI na anapotupeleka,kwa hakika sasa watanzania tunajua tunapoelekea

    ALIPOTUTOA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA ANAPOTUPELEKA,KWA HAKIKA SASA WATANZANIA TUNAJUA TUNAPOELEKEA. Leo 13:30pm 06/06/2020 Rais John Pombe Magufuli ametutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa Richmond na Escrow na kutupeleka kwenye nuru na mwanga kwa kutujengea Bwawa...
Back
Top Bottom