rais

  1. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ya hovyo, Bunge la hovyo na Mahakama ya hovyo. Tumefika hapa kwa CCM kwa kuiba kura na kumlazimisha kuwa rais

    Tuliambiwa hapa kazi tu. Imekuwa kinyume. Serikali hii ya Magufuli inaendelea kukopa pesa kwa matumizi yasiyo sahihi, kuna miradi inaendelea kufanywa bila idhini ya hilo bunge dhaifu la Ndugai. Huyu bwana naye amekuwa kichekesho. Rais amekimbilia Chato wiki ya 7 bila ya maelezo ya kutosha (Kuna...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Rais wa sasa angekuwa ametokea upinzani?

    Nakaa najiuliza. Kwa haya yanayotokea kwenye covid 19, ukosefu wa sukari, wafanyakazi kutopandishwa mishahara, serikali kutoajiri, watu kutekwa, miili ya watu kuokotwo ufukweni, watu kotoweka na wengine kupigwa risasi hadharani, watu kubambikiwa kesi, n.k Hivi, kama huyu Rais angekuwa amewekwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

    Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii. Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nani anajua kwa hakika kwanini Rais anachukua muda mwingi sana huko aliko?

    Sisi kama wananchi hatujui kama rais yupo quarantine, anaugua au anauguza. Tuna haki ya kujua japo hata kwa kiasi fulani hali ya kiongozi wetu na sababu za yeye kuwepo kwa muda wa zaidi ya siku 45 sasa nje ya makazi yake rasmi. Yeye ni kiongozi wa nchi sio kiongozi wa kampuni binafsi. Hata wenye...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Viwanda 4000, mia moja kila mkoa vimemuangusha Rais Magufuli

    It is a sad story ambayo itasimuliwa vizazi na vizazi. Mojawapo ya sifa kubwa ya serikali ya wamu ya tano iliyotikisa dunia ni jinsi ilivyoweza kujenga viwanda vikubwa 4000 ndani ya miaka 4 habari hii pia iliungurumishwa na Profesa Kabudi kwenye United nations general assembly alipokuwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli upo wapi? Waajiri wako tunataka kujua upo wapi? Viongozi wenzako wa EAC/SADC na marafiki wanakutafuta mbona hujitokezi?

    Naandika hili andiko nikitumia haki yangu ya kikatiba kutaka kujua rais Magufuli yupo wapi...Tuna haki ya kujua maana hatujui aliko na kwenye Ikulu zote mbili hajaonekana kwa zaidi ya mwezi na huu ni mwezi wa pili sasa. Tumesikia amekataa kuhudhuria mkutano wa SADC kwa Webinar na mkutano wa EAC...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya nchi zilizoweka lockdown na kisha baada ya kuondoa, visa vya Corona vimeongezeka kwa kasi, inatufundisha nini juu ya busara za Rais wetu?

    Tumepata taarifa kupitia vyombo mbali mbali vya kimataifa juu ya nchi kadhaa zilizoweka total lockdown na baada ya uchumi kuyumba na njaa kuwa kali wakaamua kuondoa lockdown, kisha visa vya Corona vikashoot juu kwa kasi kwa mara nyingine tena, na sasa wanafikiria kurudisha tena lockdown. Nchi...
  8. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Alikuwa Rais huyu

  9. A

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

    Watu wanashangaa kwanini anahamisha makazi ya Rais kwenda anakotaka yeye anajibu" kwani nikifa nitazikwa wapi?” Yani majibu kama haya ni ya dharau sana kwa watu makini! Anasahau kwamba sisi hatuna shida na maiti yake akishakufa tunaweza kumtupa hata baharini samaki wapate chakula. Rais...
  10. Tumia akili

    JamiiForums Tanzania Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake. August ya mwaka 1974, Rais Richard...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Waziri wetu wa Afya ametengwa? Kitengo cha kupambana na COVID 19 kimehamishiwa ofisini kwa Waziri Kabudi?

    Kabla Rais hajamuondoa marehemu Dkt. Augustine Mahiga kwenye wizara ya mambo ya nje alianza sana kumtumia tumia Prof. Kabudi hadi akamuwakilisha kuongea na diaspora wa USA. Baadaye tuliona yaliyotokea. Leo nimemshangaa sana Waziri wa Mambo ya Nje kubeba majukumu yote ya Wizara ya Afya hadi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Utani Mbaya Kwa Rais Wetu...

    Hii nimeikuta huko Twitter kwa member anayejiita Professor Kirusi19
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Rafiki wa Rais wetu

    Kila Rais Duniani ana Rais either Rafiki, Mshauri kwenye baadhi ya mambo. Ukimtazama Trump unaiona picha ya Waziri mkuu wa Uingereza au Israel. Ukimtazama Putin unaona picha ya Rais wa china pia. hata watu wabishi kama Kim lakini N Korea ni rafiki mkubwa wa China Urusi. sasa ukija kwetu tulijua...
  14. Kankra

    JamiiForums Tanzania TANESCO Muleba mnamuangusha Rais Magufuli

    *TANESCO NA REA WILAYA YA MULEBA MKOANI KAGERA MNAMUANGUSHA MH.RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI*. . TRANSFORMER ILIYOPIGWA NA RADI MIEZI KARIBU MIWILI KATA KAGOMA ILITAKIWA KUWA IMEREJESHWA. Ni miezi takriban miwili sasa Wananchi wa Kata Kikuku na Kagoma wapo Gizani kwa kukosa huduma ya UMEME na...
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hii nchi Mungu tusaidie: Spika anaita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari arudi bungeni, Rais anaenda kuchukua dawa ambayo haijathibitishwa watu wanywe

    Hii nchi imejikuta kwa miaka mitano hii ni vurugu tupu. Yani kama kuna mtu alikufa 2014 halafu akafufuka 2020 kisha akahadithiwa yaliyotokea atastaajabu. Imagine spika wa bunge alivyo amemuita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari yake ili arudi bungeni. Mbunge alikabidhi kadi ya chama kilichomdhamini...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Spika wa bunge la JMT ndiye mshauri mkuu wa Rais?

    Nimesoma kidogo kuhusu kazi za bunge la JMT ambapo miongoni mwa kazi hizo ni Kutunga sheria na Kuishauri serikali. Spika ndiye kiongozi mkuu wa bunge la JMT. Je, Spika ndiye mshauri mkuu wa Rais kama kiongozi mkuu wa serikali? Majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama! cc: Pascal Mayalla!
  17. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Je, haiwezekani Rais kuwa na msaidizi kwenye mikutano mikubwa?

    Wale mnaojua protokoli: je, Rais hawezi kuwa na msaidizi anaye kuwa nae karibu? Anapewa swali, anajadiliana na msaidizi then anajibu, then msaidizi ana translate jibu lake? Mimi sidhani kama Magufuli hajui kingereza. Ninachodhani hana confidence, anaogopa maswali. Akiulizwa anapata panick...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

    Imeshatua wakuu, tusubirie dawa. Hao hapo madaktari wetu bingwa ambao ni ujumbe kutoka Tanzania wakiwa Antananarivo. UPDATES Hatimaye Waziri wa mambo ya nje Prof. Palamagamba Kabudi amekabidhiwa mzigo wa kutosha kabisa wa COV tayari kuuleta Tanzania kuanza kutumika kwaajili ya Covid 19.
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

    Mwenyekiti wa AU na Rais wa Afrika Kusini ndugu Cyrill Ramaphosa amelazimika kuitisha mkutano wa mataifa jirani ambayo pia ni wanachama wa jumuiya ya SADC. Mkutano huo umefanyika kwa njia ya video. Nchi zilizoshiriki ni Afrika Kusini, Angola, Lesotho, Eswatini Msumbiji, Namibia na Zimbabwe...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto aituhumu Serikali kuficha takwimu za wagonjwa na vifo vya COVID-19, adai Zanzibar pekee vifo ni 32 na wagonjwa 235

    Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
Back
Top Bottom