rais

  1. FisadiKuu

    Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

    Habari wanabodi, Nimeshangazwa kuona Kanali (Mpambe wa Rais) akipigiwa saluti na IGP Sirro pamoja na Kamishna Mkuu wa Magereza.. Je, hii ina maana Cheo cha Kanali ni cheo kikubwa sana kuliko cheo cha IGP pamoja na makamishna wote wa vyombo vingine vya dola ukitoa JWTZ? Na Je, cheo kikubwa...
  2. Roving Journalist

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    TAARIFA Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 20 Oktoba, 2019 atawaapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI na Balozi. Hafla ya uapisho huo itafanyika Ikulu Jijini DSM kuanzia saa 9:30 alasiri hii. Itarushwa mubashara kupitia Redio, Televisheni na Mitandao. ==== UPDATES: 1600hrs...
  3. Zitto

    Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

    Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema: Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe...
  4. figganigga

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli katika Mkutano wa 58 wa AALCO

    Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 58 wa mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) utakao anza Jumatatu Oktoba 21 hadi 25 jijini Dar es Salaam.
  5. figganigga

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu, Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
  6. F

    Rais si mkweli, Mawaziri si wakweli, Mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi na polisi wake SI WAKWELI.

    Uongo umeshakuwa kitu cha kawaida katika nchi yetu, Serikali yetu haikuwahi kuaminika na itaendelea kutoaminika. Rais si mkweli, mbabe, ukandamizaji wa haki za raia, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma (Bado tunadaiwa mabilioni kama siyo matrillioni ya shillingi...
  7. Richard

    Dkt. Leonard Chamuriho atajwa na Rais kuwa ni mtaalam wa kufanya mazungumzo - "Negotiation Expert". Je, hawa watu tunao wangapi?

    Raisi John Magufuli alitoa hotuba ya kuzungumzia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa Stiegler Gorge kwenye mto Rufiji. Kwenye hafla hiyo Misri wamekuja na wajumbe zaidi ya 100 wakiongozwa na waziri mkuu wao pamoja na wawakilishi wa kampuni ya Arab Contractors...
  8. M

    Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

    Hapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja. Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli. Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya barabara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la...
  9. Zero Hours

    Je, inawezekana Rais wa Tanzania akajiuzulu kisheria?

    Naomba niulize, kwa mfano Raisi ameona nchi imemshinda hawezi jiuzulu mwenyewe kisheria? Kwani ni lazima amalize miaka mitano? Na kwa mfano akijiuzulu nani anakabidhiwa nchi? Raisi mstaafu wa awamu iliyopita anaweza kupewa nchi kwa muda? Na kama watanzania tumemchoka hakuna mikakati yoyote...
  10. Mondoros

    Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Anaeongea kwa sasa ni Rais John Magufuli baada ya kukaribishwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Shein na anazungumzia amani. Anasema mtu hawezi kuja kuwekeza Pemba wakati watu hawasalimiani, anasema mume na mke wakiwa hawaelewani kwa sababu ya vyama vya siasa hajui usiku wanalalaje. Amesema anajua...
Back
Top Bottom