Rais Magufuli huoni aibu? Mbunge anapigwa risasi hadharani mchana kweupe na hakuna chochote kilichofanyika!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
9,197
2,000
Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza!

Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa haki ya mtu ya kuishi! Hapana labda kuna watu ambao hawajaumbwa kwa nyama na damu! Labda wapo wenye miili iliyoundwa kwa chuma!

Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi hadharani na mwisho kuvuliwa ubunge limefehdehesha taifa na kuonekana kuwa sisi ni binadamu wenye roho za kikatili kuliko kawaida. Hilo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya usalama kufumba macho.
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
9,939
2,000
Asante mkuu kwa andiko lako lakini kwa mujibu wa chama tawala CCM mafanikio yafuatayo yamepatikana baada ya Lissu kupigwa risasi na kuvuliwa ubunge:-
1.Hakuna anayekosoa tena serikali kwa sasa wote tunaimba nyimbo za sifa.
2.Jimbo la Singida Mashariki limepata maendeleo ya kutisha ambayo hayajawahi kushuhudiwa miaka 58 baada ya Uhuru.
3.Mabeberu wameufyata na sasa wanatunyenyekea kwa kila jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shiu yang

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
2,923
2,000
Mmh hahaa

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
4,910
2,000
Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza!

Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa haki ya mtu ya kuishi! Hapana labda kuna watu ambao hawajaumbwa kwa nyama na damu! Labda wapo wenye miili iliyoundwa kwa chuma!

Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi hadharani na mwisho kuvuliwa ubunge limefehdehesha taifa na kuonekana kuwa sisi ni binadamu wenye roho za kikatili kuliko kawaida. Hilo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya usalama kufumba macho.
Tukio hili limetchafua sana kimataifa,tatizo Meko anamsikiliza ZERO BRAIN aka BASHITE....Haya Bashite kashameza NDOANO ,On to the Next One --KICHWA SAMAKI.
 
Ben Bella

Senior Member
Dec 3, 2019
162
1,000
Meko kawashiwa taa nyekundu. Akizingua tu anafungwa pingu za mikono na miguu kisha anapandishwa ndege hadi Uholanzi akakutane na muuaji mwenzie wa kikongo ajulikanae kama Bosco Ntaganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
5,891
2,000
If u knew wer this dunia came from,the foundation laid hata na hzo nchi kubwa kama china na US had zmefikia hzo level mnataman sidhan kama ungeona hilo jambo ni geni saaana..

Wasaliti wa nchi mnaoowaona wanayoyafanya sasa hiv hapa Tz sjawai yaskia kokote ulimwengun hata hapa hapa africa...sjawai...labda snowden na yule jamaa wa weakleaks
 
Kuchitimbo

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
341
250
Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza!

Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa haki ya mtu ya kuishi! Hapana labda kuna watu ambao hawajaumbwa kwa nyama na damu! Labda wapo wenye miili iliyoundwa kwa chuma!

Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi hadharani na mwisho kuvuliwa ubunge limefehdehesha taifa na kuonekana kuwa sisi ni binadamu wenye roho za kikatili kuliko kawaida. Hilo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya usalama kufumba macho.
Vyombo vya usalama havijafumba macho,viliona na vinajua ila nacho fikiri vimezibwa macho na midomo viosone na kusema.
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
37,562
2,000
I like this
Asante mkuu kwa andiko lako lakini kwa mujibu wa chama tawala CCM mafanikio yafuatayo yamepatikana baada ya Lissu kupigwa risasi na kuvuliwa ubunge:-
1.Hakuna anayekosoa tena serikali kwa sasa wote tunaimba nyimbo za sifa.
2.Jimbo la Singida Mashariki limepata maendeleo ya kutisha ambayo hayajawahi kushuhudiwa miaka 58 baada ya Uhuru.
3.Mabeberu wameufyata na sasa wanatunyenyekea kwa kila jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,843
2,000
Lakini pia kwa namna nyigine ni Mipango ya Mungu ili kuweza kuitangazia Dunia kiwa yy ni Kiongozi wa namna gani. Dunia yote imeshamtambua kuwa tuna Kiongozi Mkuu asiyejali Utu na Uhai wa Raia wake.
Kama aliweza kumtendea vile Ndugu yake ni vipi kwa Majirani??

Majibu umeyapata kwenye uwekezaji nchini. Nakuhakikishia hapo alipo hapati usingizi kwa haya yanayoendelea hivi sasa.
Hebu fikiria Bunge linaacha kujadili mipango ya maendeleo ya wananchi wanamjadili Mbunge mwenzao anaepambania haki ya raia wote wakiwemo Wabunge. Yote hayo ni Hofu iliyotamalaki juu ya Watawala.

Damu ya Mh Lissu bado imetapakaa kwenye viwanja vya Bunge na kwamwe Wahusika hawatapata amani ktk maisha yao. Hata hii Tengua Teua ni Hofu itokanayo na Damu isiyo na hatia ya Ndugu yetu Mh Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mistari4G

JF-Expert Member
Feb 10, 2019
435
500
Ikiwa imeeabza hivi
Ni kwamba Lissu atakua na nguvu na kuhakikishiwa usalama wake
Tunaelekea uchaguzi,mwelekeo wa siasa ni wa hovyo mpk hawa jamaa kupata pa kuanzia
Wananchi hawana hamu na utawala,mtawala hana uwezo wa kuonyesha umahiri wa utawala zaidi ya unyang'anyi wa haki za vyama vya siasa

Lissu kitambo yuko nje na yupo kimya
Hatujui kimefanyika nn?
Alikua mzalendo na mwenye muelekeo bora ila tumeaminishwa kisiasa ni wakala wa mabeberu
Aliwashinda watawala kwa hoja
Kilichomkuta ni simanzi

Tunatengeneza picha mbaya kwa mambo mengi
Mkopo umegoma,tunaaminishwa Zitto ni msaliti
Serikali tajiri bhana

Tahadhari
Uchaguzi wa haki,kwa hali ilivyo tunatoa adui wa ndani,tunaingiza adui wa nje
Sababu system imefeli

Tuna mapungufu makubwa kwenye Usalama wa taifa na taasisi zote za ulinzi
Wananyenyekea vibarua vyao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frank King

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
1,308
2,000
Wangekuwa na hofu ya Mungu,wangejifunza kwenye Neno la Mungu(Biblia)hakuna kiongozi aliye watesa raia wake akabaki salama..
 
Top Bottom