rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia ni nini kinashindikana kuwaondoa hao wakazi wa Ngorongoro wanaoomba kuondolewa Ngorongoro?

    Serikali ilianzisha mpango wa kuwatoa wananchi ktk hifadhi ya Ngorongoro, wamekubali kwa hiari yao na wamejiandikisha tangia mwaka jana lakini bado serikali haiwahamishi kuwapeleke Mosmera au sehemu nyingine yoyte maana wako tayari. kila siku wanalalamika kwanini hawaondolewi, kuna nini huko...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais avunje baraza la mawaziri sakata la bandari

    Serikali ya mhe Ndugu dkt Samia naishauri kwa wazi! isikamate watu na badala yake afumue Baraza lote la Mawaziri na pale ndipo kuna shida. Unajua Wananchi wakipiga kelele sana nadhani hekima pekee ni kuwapa majibu hata kama majibu hayo yana uchungu. Jaribio la kuwakamata watu wanaopinga swala...
  4. JamiiForums Tanzania Jenerali(Rt) Venance Mabeyo anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

    hii ni kwa uchache sana kwa sasa, Ni raia mwema wa Tanzania, mzalendo na muadilifu alietukuka. Ni Mzoefu katika utumishi wa Uma. Ni mtu mzima aliepikwa vilivyo ktk utumishi na kwahivyo hekima, busara na uzoefu wake ni wa mfano. Ana nia na uthubutu mwema usio na shaka kwenye kila jambo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kupotea na kutoweka kwa Mtoto wa Rais Thabo Mbeki eneo la Mazimbu Morogoro. Nani walihusika?

    Ktk pitapita zangu viunga vya YouTube nakutana na kisa hiki. Ikumbukwe South Africa walikuwa na kambi ya wapigania Uhuru eneo la Mazimbu Morogoro. Aliyewahi kuwa Rais wa South Africa Thabo Mbeki 1999 Hadi 2008 alikuwa na Mtoto mmoja tu wa pekee aitwaye Kwanda Mbeki. Alimzaa na Mwanafunzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, wananchi hatutaki tena maridhiano ya kisiasa

    Wananchi wengi wa Tanzania tunafuatilia mienendo ya vyama vya siasa kisha tunagundua kwamba waomba maridhiano CDM, ACT, NCCR, CUF, nk, ndio waanzishaji wa vurugu. Tundu Lissu wa CHADEMA kutukana mamlaka ya Rais huku Godbless Lema akidhihaki mamlaka ya Rais. Dkt. Slaa kutukana mamlaka ya Ikulu...
  7. JamiiForums Tanzania Je, hapa duniani pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?

    Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hebu tukitafakari kiapo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Mimi .............. naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nitalinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilivyowekwa kisheria. Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie. Mimi ................ naapa nitatenda kazi zangu za Urais wa Jamhuri ya Tanzania kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Tanzania anayeweza kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim

    Habari wana jamvi, Nimetafakari mambo mengi kisiasa, mwisho nimeridhika kuwa hakuna Rais wa Tanzania awezaye kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim. Nimefikiria mambo anayo fanya Rais Samia, utadhani ameshahakikishiwa kwamba 2025 hatoboi. Anauza rasilimali za Nchi kwa bei chee, lakini za chini chini ni...
  10. JamiiForums Tanzania Sheria ya kutokumshitaki Rais ndio Rushwa kubwa kuliko

    SHERIA YA KUTOKUSHTAKIWA RAIS NDIO RUSHWA KUBWA KULIKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Takukuru kazi yenu bado itakuwa ngumu ikiwa kuna sheria ambazo zinatoka Rushwa Kwa baadhi ya makundi ya Watu hasahasa viongozi. Kuna Sheria na kuna Haki. Alafu kuna vyombo vya kusimamia sheria na Haki...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ahimiza amani katika Nchi za SADC

    Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni kuwa huru na migogoro inayotumia silaha. Hayo yameelezwa Agosti 12, 2023 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Nrisho Kikwete wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Najisikia amani kuwa chini ya utawala wa Rais Samia Suluhu hassan

    Huyu mama namkubali sana pamoja na mapungufu yake kama binadamu naona kamzidi mbali mbali sana mtangulizi wake hayati John Pombe Magufuli.Jpm alikuwa anakopa ila akiwa na kipaza sauti anasema serikali inajenga miradi Kwa pesa za ndani.Mama ni muwazi,tunajenga hiki Kwa pesa za wahisani,full...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais aliyepinduliwa Niger aamrishwa kula wali mkavu bila mboga

    --- Experienced journalist and public affairs analyst Chuks Ohuegbe has come forward to respond to the ousted President's comments regarding his treatment by the detaining soldiers under Mohammed Bazoum's prolonged arrest by the military junta that has taken control of the Niger Republic...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    ➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa na C/NO yake ya kupatia Mshahara kutoka Hazina (Pay Slip tunazo). ➤ Tukiwa katika ajira tulikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Usahihi Kuhusu Nembo Anayotumia Rais Samia Suluhu

    Je ngao/nembo ya Taifa imebadilishwa? Ni moja kati ya maswali ambayo yanaulizwa sana na wadau wengi wakitaka kufahamu kuhusu nembo inayoonekana kwenye mimbari (podium) ya Rais wa Jamhuri ya Muungano katika siku za karibuni Kimsingi ile si ngao ya taifa bali ni alama ya bendera ya Rais au kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mkataba wa IPTL uliingiwa mwaka 1994 Rais akiwa Mzee Mwinyi

    Nawakumbusha tu kuwa mkataba wa IPTL uliingiwa kati ya nchi yetu na IPTL ya Malaysia mwaka 1994 ambapo rais alikuwa Mwinyi. Rais Mwinyi ni Mzanzibar. cc johnthebaptist
  17. JamiiForums Tanzania UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?

    Je Serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria? Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je, watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliyetwaa Urais wa Samia aurejeshe...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Hakuna Mradi Utakaosimama Chini ya Rais Samia

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Doto Biteko, amewahakikishia Wananchi wa Mkoa Geita kuwa, miradi yote mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa katika kipindi cha Serikali ya awamu ya tano, inaendelea kutekelezwa na hakuna mradi utakaosimama. Biteko ambaye ni Mbunge wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote. Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

    Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden. Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi Rais dictator na hana ubinadam ila huko Demokrasia inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata kutaka kujua why alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…