Mkataba wa IPTL uliingiwa mwaka 1994 Rais akiwa Mzee Mwinyi

Nami nakukumbusha kuwa mwaka 1993 tulikuwa na matatizo ya umeme ya kihistoria kutokana na mabwawa ya Mtera na Kidatu kutokuwa na maji ya kutosha kuzalisha umeme.

Halafu ukumbuke Ali Hassan Mwinyi ndiye aliyeleta sera za soko huria, kuruhusu mitumba, kuanzisha Daladala za Chai Maharage nk

Kabla ya hapo wakati wa JKN nchi ilikuwa haina fedha za kigeni watu wakawa wanavaa makaratasi kama nguo, foleni za unga na mchele madukani.

Maamuzi ya Mwinyi ndiyo yalituvusha na kisha Mkapa akaja kuimarisha misingi ya uchumi wa soko
 
Nimekukubali 100%

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Usisahau mikataba iliyotokana na sheria mpya ya mwaka 2018 inatutowa mpaka udenda wa mwisho huko ICSID, hivi tunavyoandika hapa kesi zinaongezeka.

Waliotunga sheria hiyo wapo, kabudi na genge lake, mbona hamuwaambii wakaitetee? Au ndiyo wa imani yenu hawakosei?
 
Hakuna ubaya. Kwani ya IPTL imeisha? Tunasubiri za DPW tuhangaike nazo miaka kwa 5,000 ijayo
Mla, mla leo.

Mtoto wa kiume jikaze kidogo, uliwe wewe tu?

Kuna kesi mpya Tanzania imeshitakiwa ICSID inadaiwa matrillioni, kesi ya mwekezaji aliyetekwa ardhi na serikali, Zanzibar.

Kawaambie Kuwa Zanzibar siyo Tanzania, ICSID wamefunguwa kesi kimakosa.

Hapo sasa.
 
Back
Top Bottom