Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden.
Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi Rais dictator na hana ubinadam ila huko Demokrasia inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata kutaka kujua why alikuwa akimtishia Rais.

----

A man who posted violent threats against President Joe Biden and other officials online was shot dead during an FBI raid on Wednesday.

Agents were attempting to serve an arrest warrant on Craig Robertson at his home in Utah, just hours ahead of a planned visit to the state by Mr Biden.
A criminal complaint said Robertson posted threats on Facebook against Mr Biden and a prosecutor pursuing criminal charges against Donald Trump.

The FBI declined to give more details.
The raid happened at about 06:15 local time in Provo, about 40 miles (65 km) south of Salt Lake City.

criminal complaint outlined messages that Robertson made on Facebook including pictures of guns and threats to kill Mr Biden and Alvin Bragg, the Manhattan district attorney leading an investigation into a hush-money payment by Mr Trump to an adult film star.

According to the complaint, other messages targeted US Attorney General Merrick Garland and New York Attorney General Letitia James.

Robertson posted on Facebook: "I hear Biden is coming to Utah. Digging out my old ghillie suit and cleaning the dust off the M24 sniper rifle."

It was just one of dozens of violent messages and photos of weapons posted on two of Robertson's Facebook accounts.

The complaint said Robertson came to the attention of federal agents in March after he posted a threat against Mr Bragg on Truth Social, the social network owned by Mr Trump. The company alerted the FBI's National Threat Operations Center.

FBI agents then visited the suspect, who told them that the post was a "dream" and ended the conversation by saying: "We're done here! Don't return without a warrant!"

Later posts by Robertson referenced his encounter with the agents, showed him in camouflage used by snipers, and repeatedly threatened public officials.

The messages continued as late as Tuesday, when he posted: "Perhaps Utah will become famous this week as the place a sniper took out Biden the Marxist."

Mr Biden will make his first visit to Utah as president on Thursday, with a visit to a veterans' hospital and a fundraising event in Park City
 
Wewe mpumbafu acha ujinga unaongelea uhai wa mtu kama vile urais ni uMungu kwamba anaruhusiwa kuua mtu yeyote kwa kutumia madaraka yake ya urais,
Mwambie aue tu kwanza hakuna Rais hata mmoja duniani aliyewshi kufa tangu dunia iumbwe na hata huyo wa USA hata kufa na hao wapambe wake pia hawata kufa
 
Huyo mtu,alikua na bunduki kabisa na amekua akitishia siyo maramoja.Askari wammtembelea mara ya kwanza,lakini akaendelea.Hata hivyo hakuishia kumtishia Rais tu,bali hata viongozi wengine,ambapo haijawekwa wazi,kama alipovamiwa na FBI,aliriakitije..
 
Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden.
Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi mam dictator na hana ubinadam ila huko Democrats inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata taka juwa why alikuwa akimtishia Rais.
Nime attach website ya BBC kwa Habari zaidi lakini nikiwahusia wa Tz wenzangu wa Buza kuwa makini na jina la Rais wasije wakapotea pasipo sababu... End
Unataka tender tena nn !
 
Killing someone; on political, legal or religious basis or otherwise ; is simply helping him or her to pay his debt of nature earlier before the due date while waiting for your with no one around to help .
Kwa ndiko gani?..

Dhambi zake zinafutika kwakuwa ameuliwa?

Ila maandiko yanasema auaye kwa upanga atakufa kwa upanga...what if alishaua?
 
Huyu jamaa nae alizidi, anatishia kuua viongozi, na sio kwa maneno matupu Bali anaonyesha na silaha kabisa tena nzito, walienda kumuhoji mara ya kwanza akawafukuza akawaambia waje na arrest warrant, Biden anaenda ziara uttah, jamaa akapost kua lazima atamuua Biden, fbi wakapata warrant ya kumkamata, kumbuka ana silaha mambo yakaenda ndio sivyo hakutaka kua mpole akauawa

Sasa huku kwetu we post unataka kumuua Samia afu onyesha na silaha, ***** hakuna Cha warrant Wala Nini jioni yake utakua unakaangwa pumbu mpaka maji uyaite MMA

Huwezi linganisha democracy ya huku na Kule hata siku Moja, sema ukivuka mipaka lazima ushughulikiwe

Majuzi kua jamaa lilikua linamfokea Biden linamwambia "you work for me,answer My questions" walinzi wa Biden wakawa wanamtuliza jamaa, jaribu hapa bongo utuletee mrejesho
 
Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden.
Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi mam dictator na hana ubinadam ila huko Democrats inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata taka juwa why alikuwa akimtishia Rais.
Nime attach website ya BBC kwa Habari zaidi lakini nikiwahusia wa Tz wenzangu wa Buza kuwa makini na jina la Rais wasije wakapotea pasipo sababu... End
Sijawahi kufikiri kama akili ndogo hivyo. Hata hao FBI inawezekana wamefikia hatua hiyo labda kwasababu mtuhumiwa hakutaka kujisalimisha. Kimsingi wenye mawazo ya kuua ni wajinga kama wanao unga mkono mauaji.
Jiulize mahakama na jela zipo kwaajili gani?
 
Huyo mtu,alikua na bunduki kabisa na amekua akitishia siyo maramoja.Askari wammtembelea mara ya kwanza,lakini akaendelea.Hata hivyo hakuishia kumtishia Rais tu,bali hata viongozi wengine,ambapo haijawekwa wazi,kama alipovamiwa na FBI,aliriakitije..
Kwanza mleta mada katudanganya eti jamaa ni kijana. Wanadai alipotembelewa na FBI nyumbani kwake amegoma kuweka silaha chini na kawaida ya askari wa Marekani sababu vifo vyao vya shooting huwa ni vingi huwa hawakucheleweshi ukijikuta unang'ang'ana na silaha yako.
 
USA sawa walichofanya...huku kwetu hakunaga tishio la hivyo..
Huku hatujawahi kusikia askari wamemtembelea mtu flani,na wakaondoka,na kufanya jitihada zozote za kutaka kutatua tatizo la mtu kama huyo mara kadhaa,badala yake kuna desturi ya watu kufuatwa,nakuchukuliwa na watu wanaodhaniwa ni wanna usalama,pasipo kujulikana kapelekwa wapi.Na maranyingi huuawa.Angalia suala la huyo jamaa wa Marekani,yeye alifuatwa,na hata bunduki haikupokwa kutoka kwake,unadhani huku ingekua hivyo?
Kuwa realistic mkuu.
 
Kwanza mleta mada katudanganya eti jamaa ni kijana. Wanadai alipotembelewa na FBI nyumbani kwake amegoma kuweka silaha chini na kawaida ya askari wa Marekani sababu vifo vyao vya shooting huwa ni vingi huwa hawakucheleweshi ukijikuta unang'ang'ana na silaha yako.
Yawezekana lugha,inamsumbua au harakaharaka ya kuleta taarifa,ili alipwe 7000/= ndiyo imempa upofu.
 
Back
Top Bottom