rais

  1. Rais Samia ahutubia Bunge la Jamhuri ya Zambia, leo Oktoba 25, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Bunge la Jamhuri ya Zambia leo tarehe 25 Oktoba, 2023. Bunge la Zambia limesitisha kwa muda shughuli zake ili kumpokea Rais Samia ambaye atahutubia Bunge hilo...
  2. Rais Samia aongoza kikao ujumbe rasmi wa Tanzania na Zambia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka tarehe 25 Oktoba, 2025.
  3. Rais Samia aipa Zambia ardhi hekari 20 katika bandari kavu Kwala mkoa wa Pwani

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia. Rais...
  4. Kimataifa takwimu zinambeba sana Rais Samia. Awe makini ili kuwepo na consistence

    Ukisoma vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi hali inaonekana nzuri sana kwa Tanzania chini ya Rais Samia. Wawekezaji wanaonekana kuwa na imani nae sana na hadi wanapohojiwa na makampuni makubwa wanasema wazi wako tayari kuwekeza Tanzania zaidi ya maeneo mengine. Kwenye utalii nako si...
  5. Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

    Niliwahi sikia kuwa vyombo vya dola vilimwambia Magufuli amuondoe Makonda ila yeye tu aligomaga kutokana na kumpenda sana. Kwa nafasi mpya aliyoteuliwa na Chama chake nina uhakika mwenyekiti wake ajipange kuletewa kila siku taarifa zinazotokana na mapungufu yake. kwa niliyowahi kusikia huko...
  6. Rais Samia ashiriki miaka 59 ya Uhuru wa Zambia, leo Oktoba 24, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zanzibar leo tarehe 24 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/p8yX2IIpIGs?si=f1iByQWZfoe3Pf3d Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akikaribishwa Ikulu...
  7. K

    Rais kawekeza pakubwa, na bado anaendelea kuwekeza

    Rais Samia Suluhu Hasan, kamwe hawezi kujilaumu kwa kutofanya jitihada, tokea mwanzo wa utawala wake kuona umuhimu wa kushawishi makundi mbalimbali katika jamii kuungana naye katika juhudi zake za kusaka ngwe yake mwenyewe ya utawala hapo ifikapo 2025. Mwanzo kabisa, katika makundi aliyoyawekea...
  8. Kuna haja ya Rais kutangaza anaoandamana nao ziarani?

    Kwa wale waliokuwapo wakati wa awamu ya kwanza, pili,na tatu kulikuwa na utaratibu ambao naweza kuuita uwazi. Katika sehemu mojawapo ilikuwa ni kutangaza orodha ya waliokuwa wakiandamana na rais kwenye ziara zake iwe nchini au nje ya nchi. Hii ni kwa sababu rais na watu wake hawasafiri kwa...
  9. Rais Samia awasili nchini Zambia kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan amewasili Nchini Zambia kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku tatu kuanzia leo tarehe 23-25 October 2023 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema. Katika Ziara hiyo Rais Samia atashiriki Matukio mbalimbali...
  10. Ziara ya Rais Samia Mtwara Yaanza Kujibu

    Meli iliyobeba makasha 225 ya kampuni ya CMA-CGM SAIGON imewasili katika bandari ya Mtwara kwa ajili ya kusafirisha shehena ya korosho ghafi katika msimu wa 2023/24. Akizungumza leo Oktoba 22,2023 baada ya kupokea Meli hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda, amesema kuna Meli...
  11. Rais Samia ashiriki mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika, leo Oktoba 23, 2023 jijini Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika leo tarehe 23 Oktoba, 2023 jijini Arusha. https://www.youtube.com/live/gOdQrZvdJlU?si=fUnyYXmTXBTiovDh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  12. Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  13. T

    Tulipende Taifa letu na Rais wetu ili Taifa lipate Baraka za Mungu

    Leo nazungumzia upendo kwa Taifa pamoja Rais wetu. Nilazima Taifa letu kwanza ndio iwe ibada yetu sisi wa Tanzania na jambo la pili ni Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano na yule wa Zanzibar. Jamani tuwapende mambo mazuri yatatokea napenda kuwakumbusha tupunguze midomo na Tupunguze maneno mengi...
  14. Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
  15. Rais wa FIFA amuuliza Hersi "Hivi nyie ndiyo mliwaibia pesa wale Wanigeria"?

    Leo Rais wa FIFA aliyekuja kuiona timu yake ya Simba ikipambana na Al Ahly alikwenda katika kituo cha mafunzo cha TFF na Rais wa Yanga, Hersi Said akaona huyu bila kumfuata huko huko aliko naweza nisije kumuona tena maishani mwangu. Basi akazamia hivyo viwanja vya TFF, Infantino akienda huku...
  16. Ningekuwa Rais watumishi wote wa DAWASCO ningewafunga miezi 6 jela kisha ningewatoa waendelee na kazi

    Kuna mahali Keko Mwanga karibu na Mkuki house kama unaelekea MSD bomba la DAWASCO lilitoa maji zaidi ya mwaka. Yaani inatokea leakage zaidi ya mwaka wahusika hawajui au wanajua wanapuuzia. Kuna mahali maeneo ya Vingunguti tangu Januari mpaka leo October kuna leakage lakini haijashughulikiwa...
  17. Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo 18 vya abiria wa basi la Alfa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea leo saa 5 asubuhi katika kata ya Uchama, tarafa ya Nyasa...
  18. Rais Samia Atoboa Siri ya Kumteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu

    Rais Samia ‘atoboa siri’… aeleza sababu zilizomfanya amchague Dkt. Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Ameyasema hayo wakati akizindua vifaa vya uchimbaji madini kwa ajili ya kuimarisha STAMICO na wachimbaji wadogo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete - Dodoma.
  19. Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Uhuru wa Zambia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Zambia kuanzia Oktoba 23 hadi Oktoba 25, mwaka huu ikiwa na lengo la kujenga ushirikiano kati ya nchi hizo mbili zenye historia kubwa kiushirikiano. Katika ziara yake nchini humo, Rais Dkt. Samia...
  20. FAO yavutiwa na BBT, yamsifu Rais Samia kuboresha Kilimo

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza sekta ya kilimo na kuboresha mahusiano na mashirikaya kimataifa. Mkurugenzi Mkuu wa FAO, Dk Qu Dongyu amesema shirika hilo limevutiwa na mradi unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…