rais

  1. Roving Journalist

    Katibu wa ADC: Kauli ya Paul Makonda inapishana na msimamo wa Rais Samia

    Katibu Mkuu wa ADC Taifa, Doyo Hassan Doyo amesema kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC – Itikani na Uenezi wa CCM, Paul Makonda kuwa vyama vya Upinzani Nchini havipo ni sawa na kupinga maelekezo ya Rais Samia Suluhu kuhusu maridhiano ya kisiasa. Doyo ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa chama...
  2. benzemah

    Rais wa Ujerumani Kuongea na Vijana Wajasiriamali wa Kitanzania

    Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini kuanzia leo October 30 hadi 01 November 2023 ambapo mbali na kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano wa kimaendeleo baina ya Tanzania na Ujerumani, Rais huyo anatarajiwa kuonana na kuzungumza na...
  3. Kitchener

    Ujio wa Rais wa Ujerumani Serikali itumie fursa

    1. Wajerumani ndio waliojenga reli ya kati, na ile ya Dar es Salaam, Tanga, Moshi, tukiongea nao vizuri wanaweza kuboresha Dar, Tanga, Moshi, Arusha kuwa SGR. 2. Ujerumani wapo vizuri sana kwenye miundombinu ya majiji, tukiongea nao vizuri wanaweza kutoa ushirikiano au hata ufadhili kwenye...
  4. Abby Uladu

    Mjue gwiji wa sheria nchini Dkt. Lamwai

    Nenda, pita pote, mji kwa mji, kijiji kwa kijiji. Uliza nani mwamba wa sheria, Tena usisahau kupita kwa Wanazuoni wa kizazi cha 21 *uliza hilo swali, Pita *Udom, Udsm, Mzumbe, Saut, Tudarco mpaka,Ruco kwa wakatoliki. Wote watakujibu Gwiji wa sheria ni Kibatala na Tundu lissu, wakienda mbali...
  5. Mohamed Said

    Kumbukumbu za Tewa Said Tewa Rais wa EAMWS Tanzania

    KUMBUKUMBU ZA TEWA SAID TEWA RAIS WA EAMWS TANZANIA ''Tewa, kesho tunakwenda kumpa huyu mtu, Nyerere, mamlaka ya kuendesha nchi hii. Kuanzia hapo, mara tu tutakapomchagua kutuongoza hakuna namna tena ya kumnyang'anya madaraka tuliyompa. Hatumfahamu vizuri sana lakini natumaini kila kitu...
  6. MK254

    Rais wa Iran aishia kulalamika kwenye Twitter kwamba Israel wameshavuka mstari mwekundu

    Israel wanaendelea kuvuka mistari yote inayochorwa na Waarabu na Iran, mistari ya blu, nyekundu inafyatua yote.... Rais wa Iran kaambulia kulalamika kwenye mitandao ya kijamii.... Katukanwa sana huko kwenye comments maana Iran ndio ilikua tegemeo la pekee la watu wa hiyo dini...
  7. E

    CCM MBEYA MJINI Na maandalizi ya RAIS wa MABUNGE duniani

    Chama Cha mapinduzi chini ya mwenyekiti Ccm wilaya kipo kufanya maandalizi kabambe ya Kumpokea MBUNGE wao kipenzi Daktari.Tulia Ackson ambaye hapo jana amechaguliwa kwa kishindo kuwa RAIS wa umoja wa MABUNGE Duniani (IPU),wana Mbeya na msio Wana Mbeya mnakaribishwa Sana kuungana nasi,tarehe ya...
  8. Mwande na Mndewa

    Happy heavenly birthday Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Siku kama ya leo miaka 64 iliyopita alizaliwa mtoto aliyekuja kufufua matumaini ya Watanzania,shida za Watanzania zikapata ufumbuzi,matatizo ya Watanzania akayanunua na kuwa matatizo yake,ikawa kila mwenye tatizo alikwenda kwake na kutatuliwa tatizo lake,alikuwa mwenye kipaji cha Uongozi toka...
  9. Roving Journalist

    Rais wa Ujerumani kufanya ziara Nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, atafanya Ziara ya Kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 01 Novemba 2023. Ziara hii mbali na kudumisha uhusiano wa Kidiplomasia na ushirikiano wa kimaendeleo baina ya Tanzania na Ujerumani, pia imelenga kwenye kukuza na...
  10. Poppy Hatonn

    Comrade Kawaida wa CCM anavyomwita Rais Samia 'Mama wa Taifa' siyo sahihi

    Huyu Comrade nadhani yupo CCM Morogoro. Anamwita Rais Samia 'Mama wa Taifa',hii siyo sahihi. Yaani, Mama wa Taifa kwa maana ipi? Kwamba Taifa halina Mama wa Taifa na linahitaji Mama wa Taifa,au uupo Mama wa Taifa sasa hivi,na anahitajika kubadilishwa apatikane mwingine. Halafu huyu Comrade...
  11. M

    Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi...
  12. funaku

    Rais Samia anachukua sifa ya kuwa Rais bora wa mudawote katika uwekezaji wa Afya

    Mnyonge mnyongeni ila sifa yake muachieni. Sisi waswahilli tunatumia msemo huu kumsemea asiyependa kujikweza. Kabla ya kuingia katika madaraka ya Urais mhe.Samia Suluhu Hassan amekuwa ni muumini wa kuigwa na kutajwa kama mfano kati ya Viongozi wachache nchini waliotoa kipaumbele kwa vitendo...
  13. benzemah

    Rais Samia ahani msiba wa Marehemu SACP, Zelothe Stephen

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za mwisho kwenye Jeneza la Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha Kamishna Mstaafu Marehemu Zelothe Stephen Zelothe wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam tarehe...
  14. M

    Rais Samia Wachukulie hatua wanajeshi wanaofanyafanya vurugu mitaani-Hii ni aibu isiyokubalika hata kidogo!

    Salaamu kwako Mheshimiwa Rais Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa Taifa letu ni njema sana, kwa kweli imekuwa msingi na nguzo kuu ya amani na utulivu wa wa Taifa letu...
  15. Suley2019

    Rais Samia: Mimba za utotoni zimeongezeka Dar

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika Mikoa ya Dar es salaam, Njombe na Ruvuma viwango vya mimba za utotoni vimeongezeka, huku mapambano ya kupunguza idadi ya mimba hizo yakirudi nyuma ambapo amewataka Wazazi waendelee kuwalinda Watoto wetu dhidi ya mimba za utotoni. Rais...
  16. Adolph Jr

    Tetesi: Je ni kwanini Trump alishindwa kumkabidhi rais Biden sanduku la nyuklia.?

    Tunaishi ndani ya dunia iliyo ndani ya begi dogo mno ni kiasi cha mistake ndogo tu tunaiacha dunia, twende pamoja.... Fununu kuhusu sanduku hilo... Sanduku hili ndilo inaloitwa black Box ama 'sanduku la nyuklia', sanduku lililotengenezwa kwa chuma linalomuandama rais wa Marekani kila mahali...
  17. R

    Rais Samia ingilia kati utoaji wa mikopo mwaka 2023. Kwa Trend hii ya HESLB, wengi hawatakwenda vyuoni

    Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji. 1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi) 2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta. 3. Congratulations your application is successful...
  18. benzemah

    Ujumbe wa Sophia Mjema kwa Rais Samia Suluhu

    Aliyekuwa Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Msaidizi wa Rais Makundi Maalum na Wanawake huku nafasi yake ikichukuliwa na Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao. "Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri...
  19. benzemah

    Rais Samia ampongeza Dkt.Tulia Kushinda Urais IPU

    Rais Samia Suluhu amempongeza Spika wa Bunge letu, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). “Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Ushindi huu ni ushuhuda wa kazi kubwa...
  20. Mhaya

    Yericko Nyerere: Serikali ianzishe customer care service maalum, Wizara ya Habari na Mawasiliano haina manufaa

    Anaandika Yericko Nyerere katika Mitandao yake ya kijamii; "Nashauri Serikali ianzishe kituo maalumu cha huduma kwa wateja (special customer care) mitandaoni ambacho kitapokea shida na matatizo yote ya watz. Wizara ya Habari na Mawasiliano kinadharia haina manufaa kwa umma, na haina tija ya...
Back
Top Bottom