Ningekuwa Rais watumishi wote wa DAWASCO ningewafunga miezi 6 jela kisha ningewatoa waendelee na kazi

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,157
Kuna mahali Keko Mwanga karibu na Mkuki house kama unaelekea MSD bomba la DAWASCO lilitoa maji zaidi ya mwaka. Yaani inatokea leakage zaidi ya mwaka wahusika hawajui au wanajua wanapuuzia.

Kuna mahali maeneo ya Vingunguti tangu Januari mpaka leo October kuna leakage lakini haijashughulikiwa.
Case kama hizi ziko nyingi, hawa watumishi wa DAWASCO bila kuwaboost na jela kidogo hawawezi kwenda.
Hapo chini ni leakage ya bomba la DAWASCO Vingunguti mataa.

Kule Keko sijui wamesolve au bado maji yanaendelea kumwagika. Maana sijapita ile road kwa kipindi kirefu.

IMG_20231021_182641_543.jpg
 
Kuna mahali Keko Mwanga karibu na Mkuki house kama unaelekea MSD bomba la DAWASCO lilitoa maji zaidi ya mwaka. Yaani instokea leakage zaidi ya mwaka wahusika hawajui au wanajua wanapuuzia.
Kuna mahali maeneo ya Vingunguti tangu Januari mpaka leo October kuna leakage lakini haijashughulikiwa.
Case kama hizi ziko nyingi, hawa watumishi wa DAWASCO bila kuwaboost na jela kidogo hawawezi kwenda.
Hapo chini ni leakage ya bomba la DAWASCO Vingunguti mataa.
Kule Keko sijui wamesolve au bado maji yanaendelea kumwagika. Nitaenda kesho kuona.
View attachment 2788527
Kwaiyo kufunga watu jela ndo suluhisho na sio kutafuta watu competent ? Giza haliwezi kuondoa giza
 
Kwanini wasiwape contractors hiyo kazi?
Inamaana wanazidiwa Akili na Mamlaka za mkoani.
Watangaze tenda Kampuni zizibe, wabaki kusimamia tu.
Nadhani ni namna ya Upigaji pia.
 
Kuna mahali Keko Mwanga karibu na Mkuki house kama unaelekea MSD bomba la DAWASCO lilitoa maji zaidi ya mwaka. Yaani instokea leakage zaidi ya mwaka wahusika hawajui au wanajua wanapuuzia.
Kuna mahali maeneo ya Vingunguti tangu Januari mpaka leo October kuna leakage lakini haijashughulikiwa.
Case kama hizi ziko nyingi, hawa watumishi wa DAWASCO bila kuwaboost na jela kidogo hawawezi kwenda.
Hapo chini ni leakage ya bomba la DAWASCO Vingunguti mataa.
Kule Keko sijui wamesolve au bado maji yanaendelea kumwagika. Nitaenda kesho kuona.
View attachment 2788527
Kuwa boost kidg na jela
 
Hilo eneo liko hivyo tangu zamani!!. Je huoni kuwa kuwafunga miezi sita utaingia gharama zaidi ya kuwalisha dona, kujaza vyoo vya magereza na kuongeza bill za maji na umeme kwenye taasisi? ... Au ni muendelezo wa huyu ni mwenzetu, anayeharibu hapa anahamishiwa sehemu nyingine? :oops: 🤔
 
Yes serikali itawagharamia zaidi but wakitoka watafanya vizuri.
Na wengine kutoka mashirika mengine ya umma watajifunza
 
Nadhani wangepewa kazi ya kufagia barabara kila siku badala ya kuingia ofisi tena bila malipo... Adhabu aliyopewa Basil Pesambili Mramba ya kufagia viunga vya hospitali ya Mwananyamala ingewafaa zaidi kuliko kwenda jela....Jela ni mbaya. 🫢
 
Tatizo la mashirika ya serikali ni kuwa mishahara yao inalipwa hazina.
Walitakiwa wajilipe wao wenyewe, wasipopata faida wafukuze wafanyakazi
 
Ningekuwa Rais Leo ningemtimua mkuu wa wilaya huko TUNDUMA anatuma vijana kwenda kufanya ugaidi kwenye mikutano,yaani CCM ni wahuniiiii
 
Hao vijana wametumwa na mteule wake. Kwa namna nyingine aliyemteua ndiye katuma hao vijana
 
Back
Top Bottom