Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Uchumi wa Libya ni GDP 40 billion usd. Population ya Libya ni 7 million.

Kipindi cha utawala wa Gaddafi tuliambiwa wananchi wa Libya walibudumia Mambo mention bure na serikali ya Gaddafi.

Miongoni mwa huduma za bure ni
a) Nyumba bure
b) Maji bure
c) Umeme bure
d) Shule bure hadi chuo Kikuyu
e) Kuoa bure
f) Posho bure ya dollar 300 kwa mwezi kila m wananchi

Je, hayo Mambo yalikuwa kweli au uzushi tu. Maana uchumi wa Libya sio mkubwa hadi watoe huduma zote hizo bure

Kipindi kile technology ilikuwa chini kwa hiyo ni rahisi kudanganywa

Wenye ulewa mkubwa kuhusu Libya ya Gaddafi tuelimisheni. Sitaki story za vijiweni
 
Style ya maisha ya watoto wa viongozi huwa inachochea chuki kwa watawaliwa hata kama unawapa watawaliwa kila kitu. Sitaki kuongelea kama ni kweli serikali ya Gadafi ilitoa huduma zote hizo bure. Ila itoshe kusema tu air Libya ilikuwa inachana mawingu mda wowote/ siku yoyote ikiwa na watoto/mtoto wa Gadafi kwenda Ulaya( Italy na France) na mamilion ya dollars kwenda kucheza kamari na kufanya kila aina ya starehe. N.B ndege ya umma na rubani analipwa na serikali ya Libya
 
Historia ina tabia ya kujirudia katika matukio kadhaa.Kilicho tokea Libya 2011 ni muendelezo wa kujirejea kwa historia.

Gadaffi alipindua serikali halali ya mfamle Idris wa I mwaka 1969,naye akapinduliwa 2011

Omary Bashir alipindua nchi,Naye alipinduliwa.

Thomas Sankara alipindua nchi,Naye alipinduliwa na Bless compaore,Compaore nae alipinduliwa.

Miltoni Obote alipindua nchi,Naye akaliwa kichwa na Idd Amin .mifano ni mingi sana.
 
b) maji bure
c) umeme bure
d) shule bure hadi chuo Kikuyu
e) Kuoa bure
f) posho bure ya dollar 300 kwa mwezi kila m wananchi

Je, hayo Mambo yalikuwa kweli au uzushi tu. Maana uchumi wa Libya sio mkubwa hadi watoe huduma zote hizo bure

Kipindi kile technology ilikuwa chini kwa hiyo ni rahisi kudanganywa

Wenye ulewa mkubwa kuhusu Libya ya Gaddafi tuelimisheni. Sitaki story za vijiweni
Dornard Trup Raisi wa Marekani alisema wa Africa na Waarabu ni wajinga ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyewe

Naishia hapo
 
Style ya maisha ya watoto wa viongozi huwa inachochea chuki kwa watawaliwa hata kama unawapa watawaliwa kila kitu. Sitaki kuongelea kama ni kweli serikali ya Gadafi ilitoa huduma zote hizo bure. Ila itoshe kusema tu air Libya ilikuwa inachana mawingu mda wowote/ siku yoyote ikiwa na watoto/mtoto wa Gadafi kwenda Ulaya( Italy na France) na mamilion ya dollars kwenda kucheza kamari na kufanya kila aina ya starehe. N.B ndege ya umma na rubani analipwa na serikali ya Libya
Siku zote watu huchoka aina moja ya utawala hii haijalishi umefanya mangapi mazuri,hata Tanzania watu walimpenda sana Mwl.Nyerere lakini walimchoka.

Watu kama wakina Mandella walisoma mchezo mapema,akaona bora kulinda heshima yake aliyo ijenga kwa jasho na damu kuliko kuja kuharibu kwa uroho wa madaraka kama Robert Mugabe,Nkwame Nkrumah nk.
 
Historia ina tabia ya kujirudia katika matukio kadhaa.Kilicho tokea Libya 2011 ni muendelezo wa kujirejea kwa historia.

Gadaffi alipindua serikali halali ya mfamle Idris wa I mwaka 1969,naye akapinduliwa 2011

Omary Bashir alipindua nchi,Naye alipinduliwa.

Thomas Sankara alipindua nchi,Naye alipinduliwa na Bless compaore,Compaore nae alipinduliwa.

Miltoni Obote alipindua nchi,Naye akaliwa kichwa na Idd Amin .mifano ni mingi sana.
Unasema Paul kagame naye?
Au yeye hakupindua mkuu?
 
Unasema Paul kagame naye?
Au yeye hakupindua mkuu?
Rwanda ilikuwa katika mkwamo wa kisiasa na kijamii,kwa jamii kuu mbili ndani ya taifa hilo kupigana wenyewe kwa wenyewe.

Pk alikuja katika kipindi sahihi,shida kubwa iliyupo Rwanda ni ukimbizi.Pia tabia na hurka ya viongozi wa Afrika kupenda madaraka inaitafuna Rwanda hivyo PK kwa sasa ni tishio kwa ustawi wa Rwanda na sio mkombozi tena.
 
Style ya maisha ya watoto wa viongozi huwa inachochea chuki kwa watawaliwa hata kama unawapa watawaliwa kila kitu. Sitaki kuongelea kama ni kweli serikali ya Gadafi ilitoa huduma zote hizo bure. Ila itoshe kusema tu air Libya ilikuwa inachana mawingu mda wowote/ siku yoyote ikiwa na watoto/mtoto wa Gadafi kwenda Ulaya( Italy na France) na mamilion ya dollars kwenda kucheza kamari na kufanya kila aina ya starehe. N.B ndege ya umma na rubani analipwa na serikali ya Libya

Sasa hivi hiyo ndege haichani mawimbi, je hizo huduma wanazipata bure?
 
Style ya maisha ya watoto wa viongozi huwa inachochea chuki kwa watawaliwa hata kama unawapa watawaliwa kila kitu. Sitaki kuongelea kama ni kweli serikali ya Gadafi ilitoa huduma zote hizo bure. Ila itoshe kusema tu air Libya ilikuwa inachana mawingu mda wowote/ siku yoyote ikiwa na watoto/mtoto wa Gadafi kwenda Ulaya( Italy na France) na mamilion ya dollars kwenda kucheza kamari na kufanya kila aina ya starehe. N.B ndege ya umma na rubani analipwa na serikali ya Libya
Hujajibu hoja kwanza kabla ya kuleta hizi dana dana zako
Pia leta ushahidi wa hayo ulokua unayaongea
Tatu kama mnapata kila mnachotaka mnashida gani tena
Walivyokua wanaishi awali na sasa kipi kama ungekua wewe ndio ingekua sawa
Watu kwao mpaka paka amekua kama kuku yaani ukimuona paka yule unamuanzishia umkamate umle
Walichofanya ufaransa na shoga zake kule libya sio chakuungwa mkono ila sababu wanayopitia haya madhila ni waislam basi ndio maana mnaunga mkono sana
 
Historia ina tabia ya kujirudia katika matukio kadhaa.Kilicho tokea Libya 2011 ni muendelezo wa kujirejea kwa historia.

Gadaffi alipindua serikali halali ya mfamle Idris wa I mwaka 1969,naye akapinduliwa 2011

Omary Bashir alipindua nchi,Naye alipinduliwa.

Thomas Sankara alipindua nchi,Naye alipinduliwa na Bless compaore,Compaore nae alipinduliwa.

Miltoni Obote alipindua nchi,Naye akaliwa kichwa na Idd Amin .mifano ni mingi sana.
Haya turegelee na ulaya napo ufaransa Russia nakwengineko vipi napo historia zinasemaje???
 
Dornard Trup Raisi wa Marekani alisema wa Africa na Waarabu ni wajinga ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyewe

Naishia hapo
Kama unaamini huo ni upuuzi ...vita vya wenyewe kwa wenyewe hata America vimepigana miaka na miaka rudi kusoma historia.

Mara nyingi sababu kubwa ya kuuana Africa na waarabu ni political intervention hao wazungu ndio wameleta hizo taratibu zao za demokrasia ,sijui vyama vying ili kugawa watu .

America wamepigana sana kwa ushamba wao kasome American civil wara.

Vita kubwa kma Somalia , Congo ni ujinga wa mzungu kulazimisha utawala wake wa kijanga wa demokrasia kwa kupandikiza watawala wanaowataka..Huko mashariki ya kati ndio wameharibu kabisa .
 
Uchumi wa Libya ni GDP 40 billion usd. Population ya Libya ni 7 million.

Kipindi cha utawala wa Gaddafi tuliambiwa wananchi wa Libya walibudumia Mambo mention bure na serikali ya Gaddafi.

Miongoni mwa huduma za bure ni
a) Nyumba bure
b) Maji bure
c) Umeme bure
d) Shule bure hadi chuo Kikuyu
e) Kuoa bure
f) Posho bure ya dollar 300 kwa mwezi kila m wananchi

Je, hayo Mambo yalikuwa kweli au uzushi tu. Maana uchumi wa Libya sio mkubwa hadi watoe huduma zote hizo bure

Kipindi kile technology ilikuwa chini kwa hiyo ni rahisi kudanganywa

Wenye ulewa mkubwa kuhusu Libya ya Gaddafi tuelimisheni. Sitaki story za vijiweni

Nafikiri unachanganya

Nyumba Bure
GADAFI alisema atahakikisha hakuna RAIA wa LIBYA atakayeishi kwenye NYUMBA ya matope
Hvyo alitoa RUZUKU vijijini wenye NYUMBA za matope wajengewe NYUMBA bora za TOFARI
Sio kwamba eti unapewa tu NYUMBA bure

Maji Bure Kwa VIJIJINI ambapo kulikuwa na mpango huo wa kujenga NYUMBA na lifanikiwa Hilo(katika UISLAM moja ya SADAKA nzuri ni kuwapa wasiojiweza maji BURE na hili waarabu wanalifanya sana mpk Leo hata hapa TANZANIA popote PENYE MSIKITINI ambao HUNA SHIDA YA MAJI mm ninawajua watu watachinba KISIMA bureee kabisa)

Umeme haukuwa BURE ila walikuwa wanalipa ghalama nafuu 7bu serikali ilitoka rudhuku kubwa

Shure za umma Bure ni kweli

Ukitaka KUOA serikali ilikuwa inakupa reward ya pesa ambazo zinnaweza kukusaidia kufanya sherehe ya kawaida mahari nk ni kiasi furani

Posho ilikuwa inatolewa Kwa MWANAFUNZI alikuwa amepata SCHOLARSHIP nje ya NCHI ni pesa ya kujikimu

Sasa hayo mambo Kwa sasa hata TANZANIA inawezekana ikiamua
Ila yeye GADAFI alianzia kuyatekeleza tangu miaka ya 90
 
Siku zote watu huchoka aina moja ya utawala hii haijalishi umefanya mangapi mazuri,hata Tanzania watu walimpenda sana Mwl.Nyerere lakini walimchoka.

Watu kama wakina Mandella walisoma mchezo mapema,akaona bora kulinda heshima yake aliyo ijenga kwa jasho na damu kuliko kuja kuharibu kwa uroho wa madaraka kama Robert Mugabe,Nkwame Nkrumah nk.
Siwezi kaa nchi ambayo toka mtu anazaliwa Hadi anapata watoto et rais Ni museven nawaza waganda wamewezaje
 
Nafikiri unachanganya

Nyumba Bure
GADAFI alisema atahakikisha hakuna RAIA wa LIBYA atakayeishi kwenye NYUMBA ya matope
Hvyo alitoa RUZUKU vijijini wenye NYUMBA za matope wajengewe NYUMBA bora za TOFARI
Sio kwamba eti unapewa tu NYUMBA bure

Maji Bure Kwa VIJIJINI ambapo kulikuwa na mpango huo wa kujenga NYUMBA na lifanikiwa Hilo

Umeme haukuwa BURE ila walikuwa wanalipa ghalama nafuu 7bu serikali ilitoka rudhuku kubwa

Shure za umma Bure ni kweli

Ukitaka KUOA serikali ilikuwa inakupa reward ya pesa ambazo zinnaweza kukusaidia kufanya sherehe ya kawaida mahari nk ni kiasi furani

Posho ilikuwa inatolewa Kwa MWANAFUNZI alikuwa amepata SCHOLARSHIP nje ya NCHI ni pesa ya kujikimu

Sasa hayo mambo Kwa sasa hata TANZANIA inawezekana ikiamua
Ila yeye GADAFI alianzia kuyatekeleza tangu miaka ya 90
Tanzania ipi inaiongelea hii hii ya chipukizi😁😁

Bora useme kenya au rwanda
 
Kama unaamini huo ni upuuzi ...vita vya wenyewe kwa wenyewe hata America vimepigana miaka na miaka rudi kusoma historia.

Mara nyingi sababu kubwa ya kuuana Africa na waarabu ni political intervention hao wazungu ndio wameleta hizo taratibu zao za demokrasia ,sijui vyama vying ili kugawa watu .

America wamepigana sana kwa ushamba wao kasome American civil wara.

Vita kubwa kma Somalia , Congo ni ujinga wa mzungu kulazimisha utawala wake wa kijanga wa demokrasia kwa kupandikiza watawala wanaowataka..Huko mashariki ya kati ndio wameharibu kabisa .
Vijana wa hovyo sana hawa kila wanaloambiwa na wazungu wanaona wameambiwa sahihi

Ndio maana wazungu wanataka tulane matako wenyewe wanajua kila wanalosema kwetu tunashindwa kuhoji tunabakia kufuata kama mambuzi

Achana huko kote mwambie tu kwasasa wamarekani walivyokua hawana akili lijinga moja linaweza kikaamka likajibebea zake bunduki likaingia shule kuna vitoto vidogo miaka ama 10 kuja chini lipuuzi likaenda likawaua tu bila ya sababu halaf mwenyewe akajiua sasa hawa nawao tuwaiteje

Yaani sio bora ila angalau huko afrika kama usemavyo unaweza ukajua watu wanapigania nini

Tumpeleke pale Colombia wanaouana sijui wale waarabu wa wapi au waafrika wawapi haya twende pale Mexico sijui napo wale waarabu wawapi

Kuna mijitu mijinga kweli kila linalosemwa na mzungu kwao lipo sawa bila kuhoji
 
Back
Top Bottom