Rais Samia achana na hawa Mawaziri, usitishwe kwamba ndio wanaijua CCM, CCM ilikuwepo na itaendelea kuwepo

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,173
6,156
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

Hawa mawaziri hawakufai Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao.

Mawaziri hawa wameshapotoka hawakusaidii zaidi ya kujenga taswira mbaya kwa nchi. Mama usiangalie wala kujali jina la mtu jali watanzania.

Baba wa Taifa letu alituasa unaweza kumpenda mtu, unachoweza ni kula naye, kunywa naye siyo kumpatia uongozi wa nchi. Hustahili kuwa na hawa, JK apumzike asijifanye anajua, km vp agombee 2025.
  • Mwigulu, huu ni mla rushwa wa kutisha tuna ushahidi wa kutosha hasa vikao vyake vinakuwa Dar na Arusha, tutarusha ushahidi km ww rais wetu ni sawa na Yuda Iskariote
  • January Makamba, mama huyu mtu ni mla rushwa wa kutisha na anakuhujumu anataka urais
  • Selemani Jafo, huyu hajawahi hata kukutambua km we rais, hakuna anachofanya zaidi ya kukuhujumu.
  • Angela Kairuki, km unampenda sana mbadilishe wizara, alipo hajui hata anafanya nini
  • Inno Bashungwa, mbadilishe wizara huyu bwanamdogo, wizara ya ujenzi inahitaji mtu km Wiliam Lukuvi, sijajua shida ya huyo mhehe, ni kiburi?
  • Ashatu Kijaji, kinachomweka pale ni dini yake au nini, huyo mtafutie kazi nyingine au arudi Mzumbe kufundisha.
  • Nape Nnauye, huyu mpumzishe ameshajisahau amebaki kushindana na watu
  • Damas Ndumbaro, huyu mtafutie kazi nyingine kwanza hana hata interest na mambo ya michezo
  • Pindi Chana, tafuta mwingine rais wetu, huyu ana changamoto yake, mrudishe mbunge wa Kilosa prof. Kabudi.
Usiwaogope watu wazuri ndio watakusaidia. Mhe. Rais tumia watu wenye uwezo na waadilifu.

Ingewezekana peleka marekebisho ya katiba bungeni, Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi awe waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga
 
mama ameziba masikio hao unaowataja kuanzia January makamba nape na mwigulu anawaogopa sababu kubwa NI vijana wa mzee wa msoga anaamini hao akiwatengua watamuundia Zengwe wazee wao kwenye uraisi wake ndiyo maana yupo karibu nao na wala hata wasemwe Vipi Hana cha kuwafanya
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

Hawa mawaziri hawakufai mh. Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao.

Ulipo waacha Ummy, Aweso, Bashe, Mbarawa na Masauni nikajua haumaniishi, sawa uliwaowataja lakini hawa ni zaidi ya tatizo
 
mama ameziba masikio hao unaowataja kuanzia January makamba nape na mwigulu anawaogopa sababu kubwa NI vijana wa mzee wa msoga anaamini hao akiwatengua watamuundia Zengwe wazee wao kwenye uraisi wake ndiyo maana yupo karibu nao na wala hata wasemwe Vipi Hana cha kuwafanya
Wanapeleka rushwa kubwa
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

Hawa mawaziri hawakufai mh. Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa
Hussein Mwinyi angekuwa muadilifu asingeukubali urais ambao anajua hakushinda. CCM hakuna muadilifu kuanzia ikulu mpaka chini
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Huyo wa mwanzo bado nakamilisha utafiti wangu dhidi udhaifu na mapungufu yake kiutendaji. Strengths zake nimeziona na nimekamilisha utafiti na kwahivyo siwezi muhukumu kwasasa, aendelee kuchapa kazi....

Lakini kwa hao wengineo hapo chini, naunga mkono ushauri wako kwa mtukufu Rais, kwamba, kwa uchache hao wapumzishwe kwasasa wakajiformat upya, kwani ufanisi wa kazi zao na majukumu ya kisekta waliyonayo hayana tija.

Ni kama vile Rais ndie anaongoza sekta zote.
CCM ina watu na hata ikimpendeza Rais achukue hata Watanzania wasio wana CCM Mathalani Zito, Mbowe, Mbatia n.k
 
mama ameziba masikio hao unaowataja kuanzia January makamba nape na mwigulu anawaogopa sababu kubwa NI vijana wa mzee wa msoga anaamini hao akiwatengua watamuundia Zengwe wazee wao kwenye uraisi wake ndiyo maana yupo karibu nao na wala hata wasemwe Vipi Hana cha kuwafanya
Duh 🙄 !
Hii Nchi ngumu sana !
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

Hawa mawaziri hawakufai mh. Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao.

Mawaziri hawa wameshapotoka hawakusaidii zaidi ya kujenga taswira mbaya kwa nchi. Mama usiangalie wala kujali jina la mtu jali watanzania.

Baba wa Taifa letu alituasa unaweza kumpenda mtu, unachoweza ni kula naye, kunywa naye siyo kumpatia uongozi wa nchi. Hustahili kuwa na hawa, JK apumzike asijifanye anajua, km vp agombee 2025.
  • Mwigulu, huu ni mla rushwa wa kutisha tuna ushahidi wa kutosha hasa vikao vyake vinakuwa Dar na Arusha, tutarusha ushahidi km ww rais wetu ni sawa na Yuda Iskariote
  • January Makamba, mama huyu mtu ni mla rushwa wa kutisha na anakuhujumu anataka urais
  • Selemani Jafo, huyu hajawahi hata kukutambua km we rais, hakuna anachofanya zaidi ya kukuhujumu.
  • Angela Kairuki, km unampenda sana mbadilishe wizara, alipo hajui hata anafanya nini
  • Inno Bashungwa, mbadilishe wizara huyu bwanamdogo, wizara ya ujenzi inahitaji mtu km Wiliam Lukuvi, sijajua shida ya huyo mhehe, ni kiburi?
  • Ashatu Kijaji, kinachomweka pale ni dini yake au nini, huyo mtafutie kazi nyingine au arudi Mzumbe kufundisha.
  • Nape Nnauye, huyu mpumzishe ameshajisahau amebaki kushindana na watu
  • Damas Ndumbaro, huyu mtafutie kazi nyingine kwanza hana hata interest na mambo ya michezo
  • Pindi Chana, tafuta mwingine rais wetu, huyu ana changamoto yake, mrudishe mbunge wa Kilosa prof. Kabudi.
Usiwaogope watu wazuri ndio watakusaidia. Mhe. Rais tumia watu wenye uwezo na waadilifu.

Ingewezekana peleka marekebisho ya katiba bungeni, Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi awe waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga
Ningeshangaa kama asingekuqepo January kwenye list yako
 
Back
Top Bottom