rais

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye Sekta ya Afya Rais Dr. Hussein Mwinyi amefanya Mageuzi, tumpe maua yake

    Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo. Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa Binadamu. Tangu ameingia Madarakani Zanzibar kama Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden: Ndoa yangu umejengwa kwenye ' Good Sex'

    Rais Biden wa Marekani anasema msingi wa ndoa yake ni mapenzi motomoto na mkewe, good sex. Biden anasema huwashauri wasaidizi wake wasiache kufanya mapenzi kadri wawezavyo. Biden ana miaka 81, kikongwe kabisa lakini bado anapeleka moto ajuza wake, cha ajabu unakuta kijana mdogo wa miaka 20-40...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mzee Masauni Yusuf Masauni

    23 February 2024 SALAMU ZA RAMBIRAMBI Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mbunge wz jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yusuf Masauni kilichotokea leo katika...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia atua Namibia kumzika Hayati Dkt. Geingob

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo, Ijumaa Februari 23.2024 amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako ulioko jijini Windhoek, nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob Shughuli...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal asema ataondoka Ikulu Aprili 2, 2024 licha ya kuahirisha Uchaguzi Mkuu

    SENEGAL: Rais Macky Sall ametangaza kuwa Mamlaka yake ya Uongozi katika Taifa hilo yatakoma rasmi Aprili 2, 2024 ingawa hajaweka wazi juu ya tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu. Pia, katika taarifa yake, Rais Sall hajaweka wazi nani atakuwa Kiongozi wa Nchi kwa muda wote unaosalia hadi kufika...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

    Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu. Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti...
  7. JamiiForums Tanzania Safari za Rais Samia nje ya nchi

    Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu]. Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu. Na hata sijui niende wapi ili kuzipata takwimu na taarifa hizo. Hivyo basi, JamiiForums ndiyo kimbilio langu nitakapo kupata baadhi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Alichokisema Rais mstaafu Kikwete kuhusu Sukari na Umeme

    Wakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho la changamoto hizo kwa kuwa ni mambo ya kawaida kwenye uongozi. Kikwete amesema anachoonyesha Rais...
  9. JamiiForums Tanzania Bashe: Tumewalinda vya kutosha Wafanyabiashara wa Sukari, sasa wachague kuuza au kuacha, tunabadili Sheria

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0 Endelea kufuatilia kitakachoendelea... Zuhura Yunus: Rais Samia...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Rais Rutto akumbana na shida ya umeme wakati anahutubia

    Ukiuliza wananchi ambao wako bize kusifia nchi jirani, basi ni watanzania, yuko tayari asifie Rwanda, Uganda na kila mahali, lakini yuko tayari kudharau nchi yake. Haya sasa, hata Kenya matatizo ya umeme yapo, lakini huwezi wasikia wanadharau nchi yao. --- Katika hali isiyokuwa ya kawaida...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amteua Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Zanzibar

    RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena Said Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Naomba umpangie kazi nyingine DC Simon Simalenga. Anakuchafua

    Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Rais mrejeshe Kalemani wizara ya nishati Uchumi ukue

    Nadhani ifike mahali tukubali kama taifa kuwa tulijikwaa pakubwa (tulikosea sana) kumuondoa Mhe. Dkt. Medard Kalemani MB toka kwenye Baraza la Mawaziri na Wizara ya Nishati. Hali tuliyo nayo ya nishati ya umeme Tz ni wazi kuwa hatuwezi kuvutia uwekezaji mkubwa zaidi tu ya uwekezaji mdogo mdogo...
  14. JamiiForums Tanzania Kamati ya Usalama Arusha yampongeza SACP Masejo kwa kupandishwa cheo na Rais

    Kamati ya Usalama Mkoa wa Arusha imempongeza Kamanda wa Polisi Mkoani humo kwa kupandishwa Cheo hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Akitoa Pongezi hizo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu John...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je Rais wa Kenya W. Ruto yupo sahihi kwa hili?

    "Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Norah Mzeru Akabidhi Mashuka Yaliyotoka kwa Rais Samia Hospitali ya Gairo na Mafiga Morogoro

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MASHUKA YALIYOTOKA KWA RAIS SAMIA HOSPITALI YA GAIRO NA MAFIGA MKOANI MOROGORO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 17 Februari, 2024 baada ya Bunge kuhitimishwa amefika Hospitali ya Wilaya ya Gairo na Mafiga zilizopo Mkoa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna haja ya kumlaumu Rais Msataafu Jakaya kikwete Kuhusu ugombea Urais wa hayati Edward Lowassa na kupatikana Magufuli

    Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi? Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole? Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe. Lakini Inawezekana pia mfumo...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi AU, ETHIOPIA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili nchini Ethiopia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoenda tu Uwanjani kutizama Mechi Yanga SC husumbuka mno Kimatokeo, ila akienda ni uhakika 100%?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Replies ( Mirejesho ) yenu kutokana na Mada husika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…