Rais Samia awasili nchini Ethiopia

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
20240218_4327.jpg

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa.

Rais Samia amesema katika mkutano huo wa Ethiopia, pamoja na mambo mengine watajadili kuhusu amani na usalama wa Nchi za Afrika, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni maeneo yanayogusa maisha ya Wakazi zaidi ya bilioni moja wa Nchi Wanachama.

Kujua ziara nyingine za Rais Samia, soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
 
DRC ni soko zuri na kubwa sana la kibiashara, hatuwezi kuliachia livurugwe na washenzi fulani. Tukienda DRC ni kwa lengo la ku-protect our interests.
Soko la hapa Nchini lenyewe halina Umeme huu sasa ni wakati muafaka wa kujali siasa za ndani siasa za sijui kumkomboa mtu ndio zimetufanya tuwe masikini wa kutupwa.

Tulikwenda kupigana Msumbiji mara mbili lakini leo Watanzania huwa wanafukuzwa kama Mbwa Msumbiji.

Sasa hivi Askari wa Afrika Kusini wameuwawa huko Kongo hao watu wana familia wameacha Watoto ambao leo hii wanakuwa mayatima.

Madness😓
 
Addis Ababa, Ethiopia
Makao Makuu ya Umoja wa
Afrika,

Kazi inaendelea 17th - 18th February 2024

Tarehe 17 - 18 Februari 2024: Kikao cha 37 cha Kawaida cha Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika. Kusanyiko hilo ndiyo chombo kikuu cha AU cha sera na maamuzi.

Inajumuisha Wakuu wote wa Nchi Wanachama na Serikali. Kikao huamua sera za AU, huweka vipaumbele vyake, kupitisha programu yake ya kila mwaka na kufuatilia utekelezaji wa sera na maamuzi yake.

17th – 18th February 2024: 37th Ordinary Session of the Assembly of the Heads of State and Government of the African Union.. The Assembly is the AU’s supreme policy and decision-making organ. It comprises all Member State Heads of State and Government. The Assembly determines the AU’s policies, establishes its priorities, adopts its annual programme and monitors the implementation of its policies and decisions.
 
View attachment 2907412

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa.

Rais Samia amesema katika mkutano huo wa Ethiopia, pamoja na mambo mengine watajadili kuhusu amani na usalama wa Nchi za Afrika, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni maeneo yanayogusa maisha ya Wakazi zaidi ya bilioni moja wa Nchi Wanachama.

Kujua ziara nyingine za Rais Samia, soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
Tupo pazuri, tunaelekea pazuri sana na kwa hakika tupo mikono salama, mama Dr SSH atatuvusha salama Salimini 🌹
 
Addis Ababa, Ethiopia
Makao Makuu ya Umoja wa
Afrika,

Kazi inaendelea 17th - 18th February 2024

Tarehe 17 - 18 Februari 2024: Kikao cha 37 cha Kawaida cha Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika. Kusanyiko hilo ndiyo chombo kikuu cha AU cha sera na maamuzi.

Inajumuisha Wakuu wote wa Nchi Wanachama na Serikali. Kikao huamua sera za AU, huweka vipaumbele vyake, kupitisha programu yake ya kila mwaka na kufuatilia utekelezaji wa sera na maamuzi yake.

17th – 18th February 2024: 37th Ordinary Session of the Assembly of the Heads of State and Government of the African Union.. The Assembly is the AU’s supreme policy and decision-making organ. It comprises all Member State Heads of State and Government. The Assembly determines the AU’s policies, establishes its priorities, adopts its annual programme and monitors the implementation of its policies and decisions.
Pumzika Mama,, heeee,, Matumizi mabaya ya Kodi Zetu.. Jenga Inchi.
 
Huyu ajifunze kuwakilishwa atadhurika afya jamani...anasafiri nje kuliko anavyoenda kwao kusalimia!!!
Mwakani atatakiwa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni na kampeni itakuwa ngumu!!
Embu madaktari wamrekebishie ratiba asiteseke hivyo.
Kiongozi unaenda kujadili yawengine huku nchi Yako Iko gizani na wananchi wanalia hakizao kuwa ngumu...unapatawapi ujasiri huoo??
 
Wasisahau kujadili DRC haki mbaya sanaaaa kama vile nchi haina mwenyewe m23 wanerudi ngubu kubwa saba silaha kisasa
 
View attachment 2907412

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa.

Rais Samia amesema katika mkutano huo wa Ethiopia, pamoja na mambo mengine watajadili kuhusu amani na usalama wa Nchi za Afrika, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni maeneo yanayogusa maisha ya Wakazi zaidi ya bilioni moja wa Nchi Wanachama.

Kujua ziara nyingine za Rais Samia, soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
Rostam umemuona huko?
 
Back
Top Bottom