rais

  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je rais kama mtumishi wa umma, hawezi kukopa kwa mshahara wake?

    Nilikuwa naomba kujuzwa hili?, na je kwa mshahara wake kiwango chake cha mkopo kinaweza kufikia kiasi gani kwa kuwa rais huwa na mshahara mnono sana.
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

    Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi. Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni. Mbona hayati Magufuli alipinga haya? Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma. Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli? Mama amefeli
  3. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Unaibiwa Mama, Hamasa Haziwezi Kuibeba timu Mbovu

    Wakati nchi ya Ghana imeamua kuwekeza katika soka, serikali yao iliweka mazingira vutivu kwa wawekezaji wanaotaka kufungua academy, academy zikafunguliwa nyingi kama Makanisa ya jiji la Mbeya. Miaka 10 baadaye timu ya taifa ya Ghana ikaanza kuimarishwa na vijana waliotokea kwenye academy zao...
  4. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samia

    Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo. Akiongeza kuwa miswada hiyo haikupuuza tu maoni ya CHADEMA, bali ilipuuza hata ya kikosi kazi, waangalizi wa...
  5. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunamuomba Rais Samia atembeze kipigo cha mbwa koko kwa wote wanaotaka kuandamana

    Utaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu. Hali ngumu sio Tanzania tu, Nenda Kenya kaulize kuhusu garama za maisha je zipo chini? Hawa si wana tume huru...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi yoyote ile duniani Kurudia Nguo ni kutokana na Ukata wa nchi yake au ni Takwa la Mganga wa Kienyeji?

    Najiandaa kusoma tu Comments za Wandewa na Wajuvi wa Mambo hapa JamiiForums.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

    Asalaam Aleykum wapenzi wana jamvi. Leo wakati nafuatilia sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, nimesikia baadhi ya viongozi wa EAC wakisisitiza suala la umoja baina yetu. Nafikiria walimaanisha wanatamani kuiona EAC siku moja inaungana na kuwa nchi moja. Sasa swali langu ni nani...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Apeleka Bilioni 1.8 Utekelezaji wa Miundombinu ya Maendeleo Wilaya ya Ngara

    Ngara Januari 10, 2024 TAARIFA YA KUPOKEA TZS 1,816,000,000.00 KWA AJIRI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO - Ngara. Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anawatangazia wananchi wote kuwa, DKT SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma fedha tajwa...
  9. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Rais Samia huwa haongelei ajira kwa vijana wasio na kazi kama marais wa Kenya na Rwanda

    Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania. Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno. Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo Mfano rais wa...
  10. ward41

    JamiiForums Tanzania Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

    Uchumi wa Libya ni GDP 40 billion usd. Population ya Libya ni 7 million. Kipindi cha utawala wa Gaddafi tuliambiwa wananchi wa Libya walibudumia Mambo mention bure na serikali ya Gaddafi. Miongoni mwa huduma za bure ni a) Nyumba bure b) Maji bure c) Umeme bure d) Shule bure hadi chuo Kikuyu e)...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Mzee Machano: Nilikuwa nafungwa kila ikikaribia maadhimisho ya sikukuu ya Mapinduzi

    https://www.youtube.com/watch?v=GhjjJPkjhEQ Lambart Stanislaus mtangazaji wa Dar24 Media akiwa Mombasa Zanzibar alimuhoji Mzee Muchano Hamis Ally kuhusu Sakata la yeye kufungwa kila maadhimisho sikuu za Mapinduzi zinapokaribia. Lambart: Tuambie hasa wewe ni nani tangu enzi zile za Afro Shiraz...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto adaia Serikali ya Uhuru Kenyatta ilikuwa na Bajeti ya kuhonga Mahakama

    Rais William Ruto ameutuhumu Utawala wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa ulitenga Bajeti maalum kwaajili ya kuwahonga na kuwarubuni Majaji na Mahakimu ili wawe wanatoa maamuzi ya kuipendelea Serikali. Amesema Serikali yake haiwezi kuyumbishwa na Kesi zinazofunguliwa katika Mahakama nchini humo...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

    Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Maswahiba wa Gaza ana kwa ana na rais Biden

    Katika hali ambayo hakuitegemea, bwana Joe Biden kajikuta akibananishwa na wapenda haki kanisani: https://www.bbc.com/news/av/world-us-canada-67886694 Kwamba kalazimika kukiri kuwa hata yeye kukereka na kuwa anapambana na Natenyahu, usiku na mchana akimtaka aondoke Gaza? Kwa hakika yahitaji...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Subira Mgalu: Rais Samia amepeleka Zaidi ya Bilioni 29.11 Katika Sekta ya Elimu mwaka 2022-2023 Mkoa wa Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Cherehani: Tumuombee Rais Samia akamilishe Miradi ya Maendeleo

    Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo anayotekeleza. Rai hiyo imetolewa leo Januari 7 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Dk. Emmanuel Cherehani alipoongoza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na hawa Mawaziri, usitishwe kwamba ndio wanaijua CCM, CCM ilikuwepo na itaendelea kuwepo

    Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030. Hawa mawaziri hawakufai Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao. Mawaziri...
  18. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi maalum kwa taarifa zote kwa wanaomuunga mkono Rais Samia 2025

    Wakuu mko vyede, Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho. Nyuki wa mama naomba wote mtumie uzi uzii kuweka mapambio yenu ya kuunga juhudi za mama, yoyote anayetaka kujua nani...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia! Tanzania kinara biashara Jumuia ya afrika mashariki

    Ripoti ya benki ya dunia Desemba, 31, 2023. Juu ya mauzo ya bidhaa katika Jumuia ya nchi za Afrika mashariki. Jikite pale tunauza kiasi gani, nasi tunanunua kwao kiasi gani. Tanzania kwenda DRC (Kongo) -Tzsh 769.6 bilioni. DRC kwenda Tanzania tzsh 6.79 bilioni Tanzania kwenda Burundi-Tzsh...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Dkt. Immaculate Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu NEMC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Immaculate Sware Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Kabla ya uteuzi huu Dkt. Semesi alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Uhifadhi wa Bahari na Maeneo Tengefu na...
Back
Top Bottom