Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amejitokeza kama mwanadiplomasia bora, akisimamia uongozi wa kimataifa kwa ustadi na ufanisi wa hali ya juu. Tangu kuchukua madaraka, Rais Samia amedhihirisha uwezo wake wa kipekee katika kutatua mizozo na kukuza mahusiano...