Rais Samia: Sikuwa na ndoto za kuwa Rais bali nilikuwa na ndoto za kuwa mhudumu wa ndege (Air hostess)

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,492

Rais Samia ameyazungumza hayo leo katika siku ya wanawake duniani ambapo nae amehudhuria kongamano la wanawake.
---
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati anasoma sekondari ndoto yake ilikuwa ni kuwa mhudumu wa ndege kwa kuwa alivutiwa na wafanyakazi Shirika la Ndege la DRC wanavyovaa.

Rais Samia ameyasema hayo leo Ijumaa, Machi 8, 2024 wakati wa mahojiano ya ana kwa ana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd (MCL), Bakari Machumu kwenye kongamano la The Citizen Rising Woman linalofanyika ukumbi wa The Super Dome jijini Dar es Salaam

Source: Mwananchi
 
Back
Top Bottom