Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko?

Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.

Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
 
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko ?

Kwani huo ufisadi umesababishwa na wanaoandamana?
Ufisadi uko serikalini na unafanywa na wana ccm wenzake aliowapa vyeo.
 
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko ?

Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.

Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Madudu ya milion 200 wakati watu wanapiga mabilion.
Mfano scandal ya nhif wafanyakazi kujikopesha bilion 41 wakati mfuko unahemia pumzi umesikia hata waziri mkuu analigusia..
Sasa hivi nhif inapiga tu danadana kuanzia toto afya card mpaka sasa wameanza vita na hospital binafsi.
Hizi ziara za waziri mkuu za kuibua madudu sijui mara milipn 14 kajumba ka mlinzi, mara miliom 200 danganya toto tu wakati wenzake wanapiga mabilioni. Hizi angeshughulikua hata mkuu wa wilaya wa eneo husika
Ripoti ya CAG imeishia wapi?
 
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko ?

Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.

Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Vipi Lumumba buku 7,kazikwe pembeni yake Chato inaonekana una mahaba bado,he is no more
 
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko ?

Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.

Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Wamekunyima bk7 huko lumumba unahaha kama mbwakoko. Ile hela uliyokwiba Chadema ulifanyia nini hadi unahangaika hivi?
 
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko ?

Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.

Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Tafuta Hela acha kulalamika.
 
Uteuzi haupatikani hivyo,kule hawakutaki na huku umekwaa kisiki 😁😁😁
 
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko ?

Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.

Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Wewe ni mshenzi tu kama washenzi wenzio. Magufuli aliyezuia wizi kutangazwa anakuwa wa maana kuliko anayetabgaza Wezi? Kama kuna kipindi nchi imeibiwa enzi za Jiwe zimevunja rekodi. 1.5T mpaka CAG anashikiwa mtutu halafu linajitokeza Chawa linasema hakukuwa na ufisadi? Makonda na makontena yake alikamatwa enzi za Nyerere?
 
Ubarikiwe Kamanda Asiyechoka ukiwa hapo Ufipa st

Mungu wa mbinguni mrehemu shujaa Magufuli
🤣🤣Si walishahama ufipa street?
Saivi wako mbezi beach ghorofani,upepo unapovuma.

Ila kamanda ana hoja,ufisadi mkubwa unafanyika awamu hii,halafu wenye mamlaka wako kimyaaa🤔
Watu wanatimiza agizo la kula kwa urefu wa kamba .
 
Back
Top Bottom