rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bilioni 6 zilizokusanywa na halmashauri hazikufika benki? Halafu rais hajatumbua hata mmoja!

    Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu?? Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Hassan Mwinyi, apongeza ripoti ya Finscope kwa kuakisi sekta ya fedha

    ● Asema upatikanaji wa huduma jumuishi za fedha Zanzibar sasa zimekua kwa zaidi ya asilimia 80. Zanzibar Jumatano Machi 27, 2024: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Ripoti ya FinScope Tanzania 2023 kwa upande wa Zanzibar, ambayo...
  5. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wanamsihi Rais Paul Biya mwenye umri wa 91 wa Cameroon ambaye ameongoza kwa miaka 40 kugombea urais wa 2025

    Wafuasi wanamtaka kiongozi mkongwe zaidi duniani, Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 91, Paul Biya, kugombea urais katika uchaguzi wa urais wa 2025, ukiwa ni uwezekano wa kuongeza utawala wake wa zaidi ya miongo minne. Watu kadhaa walikuwa wakipiga nyimbo katika mji mkuu wa Cameroon...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Padri Silvio Mnyifuna, ataka 2025 Samia aendelee ili wahuni wasipate nafasi

    Huyu ni Padri huko jimbo Katoliki,Mafinga, Iringa....Kwa sasa nyota ya SSH haishikiki, inakimbia kwa kasi ya mwanga au sauti. Si kwa wananchi wa kawaida, walimu na kila kada, kila kona ni Samia, sasa kishindo cha Samia kimefika katika kanisa katoliki. Watumishi wa Mungu ni moja kati ya watu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katuwezeshea Watanzania ujasiri wa kuhoji na kukosoa bila kuogopa kiasi kwamba ni rahisi kumkosoa Rais kuliko Mbowe

    Leo Watanzania ni wajasiri sana wa kuhoji na kukosoa kijasiri Kila kinachofanyika bila hofu wala uoga ,sio mitandaoni wala mitaani nguvu ya kuhoji na kukosoa inaongezeka. Nitakuwa mchoyo wa shukrani kama nisipompongeza kiongozi wetu shupavu Rais Samia kwa kutufikisha kwenye ujasiri huu. Rais...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa alichokisema Nape leo kama sio 4R za Rais Samia, tungerudi kule kule kwenye kutiana ulemavu

    Kiukweli nampongeza sana Rais Samia Suluhu Hassan, matusi anayotukanwa na watu wa Chadema huwa yananiuma sana, watu wanatukana utadhani wanatukana wahuni wenzao, heshima ya Rais iko majaribuni kwa sababu ya wahuni waliopewa nafasi ya kujieleza. Ukienda kule mtandao wa X kuna yule meya wa zamani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

    ::::::: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa na kituo cha Utangazaji Cha Global TV alikuwa na haya ya kusema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Makamu mwenyekiti UWT CDE. Zainabu Shomari atoa salamu za upendo za Rais Dkt. Mwinyi kwa UWT

    MAKAMU MWENYEKITI UWT CDE. ZAINABU SHOMARI ATOA SALAMU ZA UPENDO ZA RAIS DKT. MWINYI KWA UWT Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu. Zainab Shomari akizungumza na Maelfu ya Wanawake waliojitokeza kwa wingi kwenye Kongamano la kumshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  11. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Hatuwezi kumtaja Mbowe kwa Maendeleo, tutamtaja Rais

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Chalamila katika kujibu maneno ya wadau yanayopinga kitendo cha viongozi wengi kumtaja Rais kwenye kila jambo, hata kwenye mambo ambayo hahusiki nayo, ameeleza kwamba wao wanamtaja Rais kwa vile ameleta maendeleo, Hawawezi kumtaja Mbowe. Kwa mawazo ya Chalamila...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anachotaka ni Watanzania watoke kwenye umaskini

  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Misafara ya Rais na viongozi wa juu kwenye jiji la kibiashara kama Dar itumie helicopter

    Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa! Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite! Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

    Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii... Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa. Wananchi hawakuona hizo kama ni changamoto wakamuingiza madarakani aliyekuwa mtoza ushuru, Faye...
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

    Michoro na mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa soka Arusha uko tayari na umesainiwa; na tayari wakandarasi wako site! Kelele nyingi na majigambo ya machawa ni kuhusu jina la uwanja wakati bado hata Lori Moja la mchanga halijamwagwa pale tayari wametoka na jina la uwanja wenyewe! . Samia...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Kwenye Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki, Rais Samia kawazidi Wajerumani

    Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania Zaidi soma hapa: "Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
  18. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala: Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano. CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani? Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa! ---- Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Afunguka Mazito: Miaka 3 ya Rais Samia Ilivyoibadilisha Ngara

    MBUNGE NDAISABA AFUNGUKA MAZITO: MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA ILIVYOIBADILISHA NGARA "Niwaombe wananchi wa Mumilamila kwa Umoja wenu endeleeni kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, endeleeni kumuunga mkono Mbunge Ndaisaba George Ruhoro. Hakika mengi tumeyafanya. Maendeleo ni hatua, hatua...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Senegal: Wananchi wanapiga Kura leo kumchagua Rais Mpya

    SENEGAL: Kura za Uchaguzi Mkuu utakaoamua muelekeo mpya wa Taifa hilo zinatarajiwa kupigwa leo Machi 24, 2024 ambapo Wagombea 19 wanawania nafasi ya Urais kwa lengo la kumrithi Rais Macky Sall atakayemaliza utawala wa miaka 12 ifikapo Aprili 2, 2024 Uchaguzi huu unafanyika baada ya kuwepo...
Back
Top Bottom