rais

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hili tabasamu la wavuvi nchini ni matokeo ya uweledi wa Rais Samia

    Na Mwl Udadis, Nyamagana Kitendo cha serikali chini ya uongozi wa Rais Samia kutenga kiasi cha zaidi ya bilioni 11 kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wavuvi moja kwa moja ni kitu cha kihistoria. Hatua hii inaleta matumaini makubwa kwa wavuvi wengi, ikiwemo kanda ya ziwa ambapo zaidi ya wavuvi...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru awataka wanawake kumuunga mkono Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Mzeru, amewataka wanawake katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa mstari wa mbele kumuunga Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake kwa kazi kubwa anayoifanya kuleta maendeleo kwenye jamii na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usiichukue hiyo pesa Tsh. Milioni 120,000,000 ya fomu ya kugombea Urais

    Nimeshtushwa na habari kuwa wanawake kwenye kongamano lao lililokutana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, wamekuchangia sh 120,000,000 kwa ajili ya form ya Urais 2025. Pamoja na kuwa form hiyo ina gharimu sh milioni 1 tu. Mama tunaujua fika kuwa Una uwezo wa kujilipia gharama ya form hiyo yaani...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya ushawishi wa Rais Samia imeongezeka maradufu mpaka inatishia uwepo wa upinzani na kutamani asigombee

    Sikutaka kusema haya lakini ni bora niyaseme Sasa ili 2025 baada ya kampeni ndefu ninayokusudia kuifanya inayokwenda kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU kukamilika na matokeo kuonekana ,isije ikatokea watu wakapotoshwa na upotoshaji ukageuka ukweli, Kwa hiyo mada hii inabaki kuwa kumbukumbu ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa sura za wanawake na wanaume zilizochangia 120M kwa Rais, hakuna aliyetoa fedha mfukoni hawa wote wamechukua fedha za perdiem na posho za vikao

    Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi. Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi wao wana ndugu na jamaa wenye kukosa mahitaji muhimu. Wengine wana ndugu wasiomudu huduma za afya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania 2030 nikiwa rais, kila mkoa utakuwa na wabunge 2 tu. MaRC, maDC na maDED kukatwa

    Panapo majaliwa 2030 nitatimiza miaka 40 umri amabao utaniruhusu kugombea urais. Nikiukwaa urais nitafanya mabadiliko makubwa ya muundo wa serikali na sera zake. Ili kuyapata mabadiliko haya nitaunda jopo la wataalamu 16 (8 toka Zanzibar na 8 toka Tanganyika) litakaloandika katiba mpya kwa...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasifiwa kupita kiasi

    Kila siku utasikia,"Rais kajenga barabara hapa:Rais katujengea zahanati." Watu wanamwabudu Rais,na yeye hafanyi kitu chochote kuwazuia. Haya ndiyo mambo yanayomchukiza Mungu. Kwa ajili Uchaguzi Mkuu unakaribia,acha watu wanisifie zaidi na zaidi. Magufuli hakuwa anasifiwa namna hii; ingawa watu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vinavyoijua nguvu ya CCM kwenye Urais vimekubali kumuunga mkono Rais Samia na vinahangaikia ubunge. Ila vingine...

    Wahenga walisema Kwa 'shujaa uenda kilio ila Kwa mwoga huenda kicheko' ,huu msemo unaweza kutumika kuelezea Kwa kirefu maisha ya vyama vya siasa vya upinzani Tanzania. Kwa mtazamo wangu kulingana na siasa zetu, Kuna makundi matatu ya vyama vya upinzani. Kundi la kwanza, vyama majasiri Kundi...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 isiwe sababu ya Rais Samia kumtumia Hayati Magufuli kama chambo ili kuwavuta Watanganyika wasiomkubali

    Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge. Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao. Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema? Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona...
  10. Leak

    JamiiForums Tanzania Kinana na Makamba ni wakati wenu kuungana na watanzania kuhitaji Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi. Tumshinikize Rais Samia

    Kwa kuwa wote kuanzia Kinana, Nape, January Makamba na Jokate Mwegelo mmekiri hadharani kuwa miaka mitano iliyopita hali nchini ilikuwa mbaya na watu hawa kutendewa haki na walitendewa mabaya ni wazi wote mnaungana na Chadema na watu wengine kukiri hayo na nyie sasa mmekuwa mashahidi kwa vinywa...
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sikuwa na ndoto za kuwa Rais bali nilikuwa na ndoto za kuwa mhudumu wa ndege (Air hostess)

    Rais Samia ameyazungumza hayo leo katika siku ya wanawake duniani ambapo nae amehudhuria kongamano la wanawake. --- Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati anasoma sekondari ndoto yake ilikuwa ni kuwa mhudumu wa ndege kwa kuwa alivutiwa na wafanyakazi Shirika la Ndege la DRC...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zawadi Pekee kwa Rais Samia ni Wanawake Kuingia Nafasi za Maamuzi Wenyeviti Serikali za Mitaa katika Mitaa 564 Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Dar es salaam Ndugu. Mwajabu Mbwambo, ameshiriki katika mkutano wa waandishi wa habari uliondaliwa na katibu mkuu Uwt Taifa Ndugu Joketi Mwegelo. Ukiwa na lengo la kuwahabarisha wanawake katika kuelekea siku ya wanawake duniani kuendelea kumuunga...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake: Baada ya Watanzania Kumchagua Rais Mwanamke, 2025, Je Tumchagulie na Wabunge na Wadiwani kufikia 50/50 kisha Tufute Viti Maalum?

    Leo ni siku ya Wanawake duniani Kwanza hongera kwa wanawake wote duniani kwa kuadhimisha hii siku yao. Leo kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni swali " Baada ya Watanzania kumchagua rasmi Rais mwanamke, Uchaguzi Mkuu wa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal akubali kubadili tarehe ya Uchaguzi Mkuu baada ya shinikizo la Maandamano

    SENEGAL: Rais Macky Sall amekubali kufanya mabadiliko ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu kutoka Desemba 15, 2024 hadi Machi 24 kutokana na maandamano yanayomtaka kuheshimu muda wake wa kuondoka madarakani. Awali Rais Sall anayetakiwa kumaliza kupindi cha utawala wake kwa mujibu wa Katiba ifikapo Aprili...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo: Bila Rais Samia kuwa na falsafa ya 4R katika uongozi wake, kuna watu wasingekuwa na jeuri ya kuandamana

    "TUENDELEE kumuunga mkono Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais Dkt. Samia katika kuongoza nchi yetu, amekuwa mfano kwa kuwezesha wanawake kisiasa, kiuchumi na alipewa nchi katika kipindi kigumu lakini alionesha ujasiri na uwezo wa uongozi mkubwa na kupita kwenye mapito tukiwa wamoja na kupelekea kuwa...
  16. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Shirika la FCS: Tunapongeza usimamiaji na kuheshimu misingi ya Demokrasia Nchini chini ya Rais Samia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la The Foundation For Civil Society (FCS), Francis Kiwanga amesema Shirika hilo linajivunia miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuheshimu na kusimamia misingi ya Demokrasia. Kiwaga amesema kuwa FCS inajivunia uongozi wa Rais Samia...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mwanadiplomasia namba moja Tanzania

    Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amejitokeza kama mwanadiplomasia bora, akisimamia uongozi wa kimataifa kwa ustadi na ufanisi wa hali ya juu. Tangu kuchukua madaraka, Rais Samia amedhihirisha uwezo wake wa kipekee katika kutatua mizozo na kukuza mahusiano...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Mwinyi amejipanga kwenye nini??

    Kwanza Nimpe Pole Sana Dr Hussein Mwinyi kwa kuondokewa na Baba Yake Kipenzi Mzee Rais Mstaafu Ali Hussan Mwinyi Kilichotokea Mwezi uliopita Tar 29 Feb 2024. Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali pema peponi. Salamu zingine leo ni kumpongeza Rais Dr Hussein Mwinyi kwa kazi nzuri anayofanya Ktk...
  19. meningitis

    JamiiForums Tanzania Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Habari za Kazi wana JamiiForums, Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa. Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia aunda Kikosi cha Kudhibiti Rushwa na kurejesha Mali zilizoibwa Serikalini

    LIBERIA: Rais Joseph Boakai ametangaza kuunda Kikosi Kazi kitakachokuwa na jukumu la Kukabiliana na Vitendo vya Rushwa pamoja na kurejesha Mali za Serikali zilizoibwa kifisadi. Kupitia tangazo hilo, Rais Boakai ameagiza Kikosi hicho kumtafuta Afisa wa ngazi yoyote aliyehusika na Rushwa kutoka...
Back
Top Bottom