Kwanini Rwanda hakujawai kuwa na uhuru wa hivi kama Kenya? Erick omondi amkosoa rais Ruto

TECHNOPHILIC AI Sentinel

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,978
2,996
Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata akiuza hako kanchi!

Lakin Kenya mambo ni yofauti.
Ukipangilia nchi kwa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni basi itakua hivi

1. Kenya
2. Tanzania
3. Uganda
4. Burundi
5. Sudan
6. Rwanda

 
Niandike kwa uelewa na mtazamo wangu.
Kwanza nchi za kiafrika kwa asilimia kubwa bado ni makoloni ya nchi zilizoendelea. Na kwa dunia ya leo haitawezekana kuukataa ukoloni huu! Unaukataa vipi wakati:-
Unategemea pesa zao
Unategemea teknolojia yao
Unamadeni yao ambayo sisi wenyewe hatuwezi kuyalipa.
Sisi kwa sisi hatuna umoja na mshikamano
Rushwa imetawala kila sehemu
Uadifu hatuna na kufanya kazi kwa kujituma hamana

Itabakia kutoa lawama kwa viongozi ambao maamuzi yanatoka huko juu WB, IMF, na hakuna namana ya kuyakataa au kuyapinga, ukifanya hivyo unaondolewa chapu tena kupitia cycle yako.

Nimalize kwa kusema hivi

masikini ataendelea kuwa masikini na tajili ataendelea kuwa tajili.
 
Rwanda wana historia ngumu sana! Hivyo PK analazimika kuwafunga mdomo ili mambo yasiwe mengi.
Uhuru wa maoni Rwanda utakuwa ni kuongelea uhutu na utusti tu.wao waliwekeza kwenye chuki ya huo ukabila.
Mimi naona PK ameimudu Rwanda.
Ikitokea amekufa ndio utaiona Rwanda ilivyo nchi ya kipumbafu.
 
Rwanda wana historia ngumu sana! Hivyo PK analazimika kuwafunga mdomo ili mambo yasiwe mengi.
Uhuru wa maoni Rwanda utakuwa ni kuongelea uhutu na utusti tu.wao waliwekeza kwenye chuki ya huo ukabila.
Mimi naona PK ameimudu Rwanda.
Ikitokea amekufa ndio utaiona Rwanda ilivyo nchi ya kipumbafu.
Yanayoendelea unayajua huko
 
Nikujulishe tu Rwanda Ina mfumo wa serikali ya umoja wa Kitaifa. Serikali inashirikiana na vyama vingine, sio kama Tanzania bara ambako CCM imebeba kila kitu. Kwa Sasa Rais wa Rwanda Paul Kagame anatokea chama Cha RPF/PFR na Waziri Mkuu Mh Eduard Ngirette anatokea chama Cha Social Democratic Party. Na kikatiba Waziri Mkuu ana nguvu Sana. Pia unachosema sio kweli kabisa. Rwanda imetoka kwenye Vita ya wenyewe Kwa wenyewe tangu mwaka 1958, 1962 na miaka ya 1980 akina Fred Rwigena na Peter Bayingana walipoanzanisha RPF. Hivyo governance yake ni tofauti na Tanzania.
 
Sasa si hayasemwi? Kumbuka hapa tunaongelea uhuru wa habari.nayajua sana!
Wanafinyanya kimya kimya,sijasema ukabila haupo ,mzee anauficha.
Ndio maana nasema akifa watu wakawa na uhuru basi kutawaka moto. Ni bora kwa sasa babu yupo.
aah naona sasa unaongea uhalisia ๐Ÿค
 
Hatuwezi kufichaa hili,lakini PK anafanya sana jitihada kuhakikisa Rwanda inakuwa na unafuu na amani ile ya moto wa pumba za mpunga ,unaweza kuona kwa juu moto hakuna,ingiza mguu sasa ndio utajua hujui.
Hatar anatawala kwa mkono wa chuma ukabila upo sana tena nyanja zote kuanzia biashara had uongozi
 
Jitekenyeni tu,hakuna namna.
Kama unataka kuangalia,jukwaa la Rwanda hapa si lipo? Angalia views. Ila comment utajiuliza kwa nini.
Si kwamba hawana la kuongea,ila wanaogopa isije ikawa ukiandika unafatiliwa na kujulikana ulipo,mwishowe ukamatwe,kisa maoni yako.

Japo kwa upande mwingine,ile nchi ina historia yake,ukiwaachia watu uhuru wanaotaka, utajuta. Hivyo,bila fimbo ya chuma,huwaongozi.
 
Rwanda wana historia ngumu sana! Hivyo PK analazimika kuwafunga mdomo ili mambo yasiwe mengi.
Uhuru wa maoni Rwanda utakuwa ni kuongelea uhutu na utusti tu.wao waliwekeza kwenye chuki ya huo ukabila.
Mimi naona PK ameimudu Rwanda.
Ikitokea amekufa ndio utaiona Rwanda ilivyo nchi ya kipumbafu.
Rwanda sio Mali ya kagame aliikuta naipo siku ataiacha
 
Back
Top Bottom