Lissu akiwa Rais atavunja muungano halafu atawafukuza Wazanzibari wote pamoja na Bakhresa?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,567
21,682
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa bara.

Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu.

Nawaza hawa walioajiriwa pamoja na wauza ukwaju, vingamuzi, walioajiriwa viwandani wote watakosa kazi, familia zao zitaishije?

Lissu pia atasababisha maelfu ya ndoa zivurugike kwa kuwa wenza wa baadhi atawafukuza
 
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi.

Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu.

Nawaza hawa walioajiriwa pamoja na wauza ukwaju, vingamuzi, walioajiriwa viwandani wote watakosa kazi, familia zao zitaishije?
Utapata hasara gani hayo yakitokea?
Kama wewe na huyo Bakhresa ni Wazanzibar mkikaa kama waekezaji ni ninyi,mkiamua kuondoka ni ninyi mtakaoamua.
 
yule ni rambaramba mdomo wake utakutisha kama hauna ufahamu na utakuteka kama haina punje ya akili!.
yule jamaa anataka kuturudisha karne za nyuma sana!

kama hafanyi kwa kusudi basi anatatizo fulani!.

ikiwa ataweza kuwa rais basi kaa ukijua hakuna mabadiliko makubwa utayaona maana kile chama nacho ni rambaramba tu!.

anaongea hayo anayoongea kwasababu ndio hoja alizonazo kwasasa na ndio anaona zitabamba ila akikalishwa kitini nakufahamu ndani nje nchi inavyoongozwa ataufyata na hautaamini kuwa ni yeye!.

wanasiasa wengi hivi sasa wanahofia matumbo yao tu! rejelea 2015 lowasa alipowania urais kupitia chadema,rejelea maneno ya lisu huyo ni makamu mwenyeki sasa rejelea miaka nyuma ya 2015, utaona mishipa ilivyokuwa ikiwasimama wakisema lowasa fisadi.

kwa mwenye akili timamu kile chama sio chama ni chama la chama....😂
 
Bakhresa watoto wake wamezaliwa Tanganyika kwahio ni raia wa Tanganyika kama Lissu.

Lissu atauliza pande zote mbili kama wanautaka muungano au hapana. Sio kama Nyerere na Karume walivyofanya bila ya ridhaa ya pande mbili.

Lissu ni mpenda haki sio kama viongozi wa ccm wapo kimaslahi binafsi
 
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa bara.

Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu.

Nawaza hawa walioajiriwa pamoja na wauza ukwaju, vingamuzi, walioajiriwa viwandani wote watakosa kazi, familia zao zitaishije?

Lissu pia atasababisha maelfu ya ndoa zivurugike kwa kuwa wenza wa baadhi atawafukuza
homeboy hawezi kua kiongozi wa nchi hii with my deadbody. nakuhakikisha without fear of contradictions, hatokuja kutokea 🐒
 
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa bara.

Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu.

Nawaza hawa walioajiriwa pamoja na wauza ukwaju, vingamuzi, walioajiriwa viwandani wote watakosa kazi, familia zao zitaishije?

Lissu pia atasababisha maelfu ya ndoa zivurugike kwa kuwa wenza wa baadhi atawafukuza
Wewe unajiropokea tu unafikiri kuvunja Muungano ni rahisi kama kuvunja yai?
 
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa bara.

Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu.

Nawaza hawa walioajiriwa pamoja na wauza ukwaju, vingamuzi, walioajiriwa viwandani wote watakosa kazi, familia zao zitaishije?

Lissu pia atasababisha maelfu ya ndoa zivurugike kwa kuwa wenza wa baadhi atawafukuza
Umetumia vibaya muda wako
 
Ndio warudi kwao, mavi yako.
 
Kwani Bakhresa ni Mungu?
 
Kwani muungano ni wa Raisi au katiba??
 
Anakuaje Rais?
 
Back
Top Bottom