Lissu aeleza alivyotembelewa na Abdul mtoto wa Rais

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,626
51,586
Akiongea na wanancho kupitia mtandao wa Maria Sarungi Lissu anaeleza namna alivyodai haki zake za utumishi ubungeni akapigwa danadana. Akaeleza namna alivyofuatwa na Abdul mtoto wa Rais ili "kufanya urafiki", na akaeleza kuwa ukidai haki yako kwa kuiita ni haki hawakupi ila wao wanataka uiombe haki yako kama hisani. Unaweza kusikiliza nazungumzo yake mafupi hapa.

View: https://youtu.be/MYdMZpRhASw?si=QsS5DXxW77GtTmmc
 
Hii nchi inahitaji katiba mpya haraka kuliko nilivyofikiri.
Ukisikiliza vizuri hiyo clip ni kwamba haki imekuwa hisani.
HEEEEEHEEEEeeee!

Hiyo ndiyo "LUGHA YA STAHA" inayohimizwa!
Usidai kutendewa HAKI,bali omba kwa lugha ya staha, ugawiwe kwa hisani haki yako.
 
Akiongea na wanancho kupitia mtandao wa Maria Sarungi Lissu anaeleza namna alivyodai haki zake za utumishi ubungeni akapigwa danadana. Akaeleza namna alivyofuatwa na Abdul mtoto wa Rais ili "kufanya urafiki", na akaeleza kuwa ukidai haki yako kwa kuiita ni haki hawakupi ila wao wanataka uiombe haki yako kama hisani. Unaweza kusikiliza nazungumzo yake mafupi hapa.

View: https://youtu.be/MYdMZpRhASw?si=QsS5DXxW77GtTmmc

Maza ni mpenda sifa haswa
 
Back
Top Bottom