Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 943
- 4,459
Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?
Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani uchumi umedorora? Nani anamshauri kiuchumi kwamba huu ni muda wa matumizi kwa kuambatana na misafara mirefu?
Anayeshauri ameona mjadala ulioibuka Kenya juzi? Ameona namna Rais alivyokuwa na wakati mgumu kutetea private Jet? Tuwahurumie maskini hata kidogo