Ndugu zangu Watanzania,
Ni historia,ni furaha na tabasamu,ni heka heka na chereko,ni shauku na kiu kubwa sana iliyojaa katika mioyo ya wana Katavi ambao wameripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kupata taarifa ya ugeni mzito na wa kihistoria ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu...
Ndugu zangu Watanzania,
Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University nayo ikiwa katika nafasi za juu vilevile, ndipo katika kumi bora unaweza kuona sasa vyuo kama Oxford...
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF
Me naona nimeseme neno moja tu
Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi
Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?
Kuwadekeza hawa kutaibua...
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Tanzania, amekabiliana na changamoto nyingi na kuboresha hali ya nchi kwa njia nyingi ambazo zimeleta...
Ndugu wananchi na wanachama wa vyama vyote vya siasa, leo tunakutana kujadili suala nyeti na lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Pombe Magufuli, kumekuwa na mijadala na mitazamo tofauti kuhusu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
President Samia Suluhu Hassan has reshuffled her inner circle by transferring four members of the presidential office to other government positions.
The changes, announced by the office of the Chief Secretary yesterday, affect the President's Private Office (OBR). Zuhura Yunus, the Director of...
Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma
Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
Kwa Heshma na Taadhima Nakuandikia ili Ufahamu kero inayowakumba baadhi ya watu katika Mada tajwa hapo juu
Ninaye mdogo wangu kutokana na mazingira aliyokuwa nayo Alipelekwa shule binafsi mpaka alipomaliza KIDATO cha pili na kufanya mtihani wazazi wakayumba kimaisha na kupelekea kutokuweza tena...
Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani, mshikamano miongoni mwa watanzania ni wa hali ya juu.
Uhuru wa kuabudu, uhuru wa kutoa maoni, hata uhuru...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_
Waombolezaji wametoa...
Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
catholic
jmt
kanisa
kukutana
makao makuu
mchango
nchini
papa
papa francis
raisraissamiaraissamiasuluhuhassanrais wa jmt
samiasamiasuluhusuluhu
tanzania
vatican
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo:
A: Uteuzi na Utenguzi
i) Amemteua Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini...
📍 Jimbo la Ushetu: Wananchi wa Ukune, Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan
🏥🚑🤰🏽🧑🏽🍼
▪️Wananchi wa Ukune,Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan
▪️Mbunge wa Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani azidi kukonga nyoyo wananchi wa Ushetu
Wananchi wa Kata ya Ukune katika Halmashauri ya Ushetu...
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.
Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
Songwe Airport Mbeya
Songea Airport Ruvuma
Chato Airport Geita
Dodoma Airport...
Juzi hapo eti Rais akitoa mil. 500 Kwa Taifa Stars kuingia Afcon, Leo tena eti anatoa mil. 92 Kwa Ndondo Cup.
Hata Kama ni Kuunga mkono Michezo,kutapanya pesa za Walipakodi Kwa wingi huu Haikubaliki.
Matokeo yake badala ya watu kufurahia inatuma ujumbe wa Moja kwa Moja kwamba anatumia pesa za...
Na Mwl Udadis, Buza kwa Lulenge
Moja ya falsafa ngumu katika uongozi ni uwezo wa kuongoza watu kimageuzi. Rais Samia anaendelea kuiishi falsafa hii kwa weledi na umahiri wa hali ya juu. Nafasi za teuzi siku zote ni dhamana katika kuwatumikia watanzania, dhamana hii inaweza kukabidhiwa kwa...
Huyu mama namkubali sana pamoja na mapungufu yake kama binadamu naona kamzidi mbali mbali sana mtangulizi wake hayati John Pombe Magufuli.Jpm alikuwa anakopa ila akiwa na kipaza sauti anasema serikali inajenga miradi Kwa pesa za ndani.Mama ni muwazi,tunajenga hiki Kwa pesa za wahisani,full...
1. Sasa ni wazi na hakuna ubishi tena, kuwa Mama Samia Suluhu Hassan zinakuja kelele kubwa sana kukuzomea kuwa, umeshindwa kuongoza nchi hii...!
2. Ni dhahiri shahiri kuwa, wewe Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT unawaogopa kuwawajibisha wateule wako wanaoshindwa kutenda wajibu wao na ambao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) tarehe 26 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam.
===
Rais Samia anazungumza
Ninayo furaha kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.