Anga la Tanzania ya Samia linazidi Kufunguka. Bado Mikoa 7 tu Kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,100
49,795
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.

Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
  • Songwe Airport Mbeya
  • Songea Airport Ruvuma
  • Chato Airport Geita
  • Dodoma Airport
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa 16 kwenye Mikoa 11 zinaendelea na ambapo zipo katika hatua mbalimbali
  • Msalato International Airport-Dodoma
  • Arusha Airport
  • Moshi Airport
  • Mwanza Airport
  • Shinyanga Airport
  • Sumbawanga Airport
  • Musoma Airport
  • Mpanda Airport
  • Mtwara Airport
  • Kigoma Airport
  • Iringa Airport
  • Tanga Airport
  • Mtemere Airport -Nyerere National park
  • Kikoboga Airport Mikumi NP
  • Ruaha NP Airport(2 Airports)
  • Kahama Airport
Maandalizi ya kuanza Ujenzi wa viwanja Mikoa ifuatayo yanaendelea na Yako kwenye hatua mbalimbali za utekelezwaji 👇👇

Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe

My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19
 
Pamoja na jitihada zote hizo Mwanza Airport imesahaulika muda mrefu kutokana na pato linalopatikana hapo na sasa danadana zinaendelea kupigwa,utaratibu wa kufanya hafra ya makabidhiano tu kwa TAA bado ni ngumu. Hujuma kwa uwanja huu ni complex.
 
Chato...Magufuli
Arusha kilipanuliwa tangu mwaka juzi.
Mpanda...Pinda
Songwe...Kikwete
 
Aibu Tanga kukosa kiwanja hadi sasa na linaitwa jiji tena lina bandari na viwanda vikubwa
 
Back
Top Bottom