JackisonDubai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 378
- 918
Zito Kabwe mchumi aliyejipatia umaarufu Kwa kuchambua mwelekeo na udhaifu mbalimbali kwenye serikali ya CCM lakini safari hii amegeuka bubu ghafla kwani mdomo umejaa asali ambayo itampalia kama atathubutu kupanua mdomo wake.
Serikali ya Rais Samia imekumbwa na uhaba mkubwa wa hifadhi ya Dola hali iliyopelekea wafanyabiashara kuonekana wakihaha huku na huku kutafuta Dola kila wanapotaka kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi lakini Zito Kabwe yuko kimya kabisaa kana kwamba mambo n shwari mno.
Watu wanajiuliza Zito Kabwe amepatwa na nini?