rais samia suluhu hassan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapanda viwango vya Udhibiti Rushwa Afrika, yawa ya 14 kutoka 19

    Jihudi za Kukabiliana na Rushwa za Serikali ya awamu ya 6 Zinazidi kuzaa matunda baada ya Tanzania kuzidi kufanya vizuri. Kwa mujibu wa jaridi la Transparency International linaloangazia masuala ya Rushwa,Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti Rushwa kutoka kuwa ya 19 mwaka 2021...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Sekeseke la mkataba wa Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa waarabu linaendelea. Je, Bunge limefuta Hansard za majadala wa kupitisha azimio kuunga mkono?

    Huku ma RCs na DCs wakiwa wamepewa maagizo ya kusafisha "image" ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyochafuliwa na vumbi la tope la mkataba wa ovyo la kukodisha/kubinafsisha bandari zote za bahari na maziwa makuu yote ya Tanganyika akiziacha za kwao Zanzibar, inasemekana kuwa kumbukumbu (hansard) za...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ninampongeza Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama Anaupiga mwingi. Kila Hilo 20milion, Hawa wanao wametoka shule waangalie Usafiri wao.
  4. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia naskia upo JamiiForums, basi pitia hapa

    Mama ili Nchi iendelee inatakiwa watu walipe kodi ila lazima uangalie namna unavyowakamua wananchi wako namna unavyowaumiza na sio kuwadai kodi kwa mabavu Mama mtu anaagiza mzigo China ukifika Bandarini analimwa kodi kubwa alatu mtu huyo huyo akifikisha mzigo wake store bado mnataka alipe kodi...
  5. Dira Yetu

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tujibu Ripoti ya C.A.G

    Ripoti ya mwaka ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/22, ilibainisha mapungufu mbalimbali katika nyanja tofauti za uendeshaji wa Serikali. Hii ni ishara tosha kuwa, kuna haja ya kutafuta njia mbadala na makini za kutatua changamoto hizo ili...
  6. JackisonDubai

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, kwanini hauchambui upungufu wa Dola Tanzania?

    Zito Kabwe mchumi aliyejipatia umaarufu Kwa kuchambua mwelekeo na udhaifu mbalimbali kwenye serikali ya CCM lakini safari hii amegeuka bubu ghafla kwani mdomo umejaa asali ambayo itampalia kama atathubutu kupanua mdomo wake. Serikali ya Rais Samia imekumbwa na uhaba mkubwa wa hifadhi ya Dola...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, zile milioni 10 kwa kila goli achana nazo, toa ndege zipeleke washangiliaji

    Yanga kuitetemesha Afrika. Namshauri Rais zile 10 ml kwa kila goli aachane nazo badala yake atoe ndege za Dreamliner 2 zipeleke washangiliaji kwy fainali kuwatia hamasa Mayele na Morisson ili walete kombe Tz. Fan wa taifa stars mwenye uzalendo mkali kwa taifa. Sent from my SM-A260F using...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa SADC

    Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Organ Troika, SADC Troika na Nchi zinazochangia Vikosi vya Jeshi katika Force Intervention Brigade (FIB) Windhoek nchini Namibia tarehe 08 Mei...
  9. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Mali asili na Utalii, Bodi ya Utalii na Mabalozi wetu pokeeni ujumbe toka tour guide Saimon Sirikwa

    Kutoka kwenye clip fupi ya mtanzania mwenzetu Bwana Saimon Sirikwa anayefanya kazi kwenye sector ya utalii nimejifunza mambo machache ambayo nadhani tunayapuuzia au hatutaoni japo ni muhimu Kwanza, serikali haijawatumia kabisa hili kundi la hawa watu wanaokutana na watalii moja kwa moja na...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ikikupendeza mteue Prof. Muhongo Wizara ya Madini asaidiane na Dotto, ana mawazo yenye tija

    Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini. Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana kwenye issues za Madini na kiukweli ni mbobezi wa fani hiyo. Ni mara chache utamkuta prof.Muhongo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Balozi Mpya wa Marekani nchini Tanzania akutana na Rais Samia

    Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle, leo amewasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Karibu sana Tanzania Balozi Battle! Wasifu Mnamo Agosti 20, 2021, Rais Biden alitangaza nia yake ya kumteua Dkt. Michael...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ruhusu watu wanywe bia 24/7 ukuze uchumi

    Mama, kabla ya 2015 watu walikuwa wanakunywa bia masaa yote. Pombe ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato vya nchi yetu pendwa. Pombe inanywewa wakati wote, wakati wa misiba na wakati wa harusi, wakati wa furaha na wakati wa huzuni. Pombe ni kiburudisho baada ya kazi. Kuna kazi mbalimbali...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za viongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam, leo tarehe 03 Januari, 2023. Amesema “Mtakumbuka kuwa Novemba 2022, Bunge la Tanzania lilikuwa na mjadala mzito kidogo kuhusu matumizi ya fedha na...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan 2022

    ALIYOYAFANYA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Aliyoyafanikisha mwaka 2022. Madarasa Mapya 15,000 Wanafunzi 907,802 Wajiunga Kidato cha Kwanza kwa Pamoja Ada Kidato cha 5 & 6 Yafutwa, Elimu Bure Msingi hadi Sekondari Nyongeza ya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Pole sana Rais Samia kwa kuhujumiwa

    Ukweli ni kwamba, Mama anahujumiwa sana tena sana. Tukumbuke kuwa Mama anapohujumiwa, Nchi ndo inayohujumiwa. Nchi inapohujumiwa, Watanzania wote mmoja wanahujumiwa kwa kukosa huduma za kijamii. Lakini ni akina nani wanakuhujumu? Ni wale wale uliowapa nafasi katika utawala wako. Kwa mfano, kuna...
  16. Billal Saadat

    JamiiForums Tanzania Wasifu kwa minajili ya kutunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi kwa Rais Samia Suluhu

    Mheshimiwa Mkuu wa Chuo Kwa heshima na taadhima, pia kwa unyenyekevu mkubwa,ninaomba niwasilishe taarifa kumhusu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa minajili ya kuifahamisha hadhira hii kwa nini mwisho wa maelezo haya nitakuomba umtunuku Shahada ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ameua ndoto za wasaka Urais wote kwa kazi nzuri na kubwa anazozifanya kwa ubunifu na uhodari wake

    SHAKA ANAANZA KWA KUSEMA KUWA, RAIS SAMIA NI KIOO KINACHOAKISI THAMANI YA TANZANIA NA WATANZANIA, KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kioo kinachoakisi utu na thamani ya Watanzania. Shaka ameyasema hayo leo...
  18. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI umelala wapi milioni 500 za miradi ya afya zinatafunwa Singida

    Wasalaam wanajukwaa! Na Gregory Jumbe Mahanju, Nataka kutuma ujumbe kwa wateule wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Waziri wa TAMISEMI Ndg Angela Kairuki, Katibu mkuu wa TAMISEMI,Mkuu wa mkoa wa Singida ndugu Petter Serukamba na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jery Cornel Muro ya kwamba Pesa...
  19. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika Jumanne tarehe 22 Novemba, 2022 Dodoma.
  20. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vya bure hakuna, tozo daraja la Kigamboni zitaendelea na nyingine za barabara zinakuja

    Mh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp. Kivuko cha Kigamboni...
Back
Top Bottom