rais samia suluhu hassan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  2. Trinity

    JamiiForums Tanzania Kwako rais Samia Suluhu Hassan

    Nawasalimu wote kupitia jina kuu lipitalo majina yote. Sina namna ya kumfikia rais lakini naamini anaweza akapitia hapa akapata ushauri utakao msaidia au hata wasaidizi wake huenda mkaona na msisite kumpelekea ushauri huu kwake. Ipo hivi, -Katika ma rais waliofanya mambo mazuri ya kuwagusa...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

    Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan. Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi? Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Eti Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kweli kuwa nyuma ya uovu anaotendewa Tundu Lissu?

    Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea. Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Agenda ya Rais Donald Trump: Marekani Kwanza, Agenda ya Rais Samia Suluhu Hassan Haijulikani – Je, Tanzania Inaelekea Wapi?

    Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujumbe wa waliokuwa Wafanyakazi wa TPA kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan, wasema walifukuzwa kazi hawajalipwa stahiki zao

    TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI JINA : HAMIS MBWANA MZENGA Awali ya yote kwa niaba ya wahanga wenzangu, Tunamshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri ya kuwatetea wanyonge. Tunaimani na kauli mbiu yake ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amtumia ujumbe wa heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Mfalme Naruhito wa Japan

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma salamu za pongezi kwa Kiongozi wa Japan, Mfalme Naruhito, katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 65. "Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwa niaba yangu binafsi, natuma salamu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  10. milele amina

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila kupingwa tukutane hapa

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila upinzani, tunakaribishwa kukutana hapa ili kujiorodhesha majina yetu. Tunatarajia kuwa na wanachama wapatao 12,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Sababu za Kukutana 1...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM washtuka, Rais Samia asema, kwenye Uchaguzi Mkuu, CCM itajiimarisha na matumizi ya TEHAMA kuongeza mawasiliano na kuwafikia Wanachama

    "Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwa hili jibu la Profesa Tibaijuka maana yake haridhishwi na Uongozi wa Rais Samia?

    Wakuu Mwanasiasa mkongwe, Profesa Tibaijuka amemwambia mtangazaji wa Wasafi TV, Charles William kuwa hatakii mema baada ya kuulizwa kuhusu tathimini yake juu yake jinsi unavyokwenda.
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushindi wa kishindo kwa Rais Samia katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 utachochewa na mgombea mwenza kuwa Dr. Nchimbi

    My friends ladies, and gentlemen.. Ni wazi, utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa zaidi ya 95% chini ya serikali sikivu ya CCM inayo ongozwa na rais kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan kutamfanya achaguliwe tena kwa kishindo, kumalizia ngwe yake ya pili muhimu sana ya...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

    Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao. Mbunge wa Mtera Livingstone...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ukiacha Rais Samia Suluhu Hassan ni nani anafuatia kwa kupendwa na kusifiwa?

    Kama sifa zingefanya binadamu aishi milele, kama kupewa majina yenye sifa kama mtukufu, mpendwa, mbeba maono, Daktari bingwa, profesa, msafi, msikivu, mpendwa, mwenye elimu sana kuliko hata Maprofesa, mwanafalsafa, muumini, mpenda watanzania hata wadudu, mzalendo, mchangamfu, mpole, mwenye...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza mazishi ya Dkt. Faustine Ndugulile Disemba 2

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yanayotarajiwa kufanyika Disemba pili, jimboni kwake Kigamboni Dar es Salaam. Mwili wa marehemu Dkt...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Unaionaje na kuitafsiri falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan ya 'hawa ni chawa wangu?

    Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
  20. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Namwomba Rais Samia Suluhu Hassan ampongeze Master Donald Trump

    Najua kwasasa rais Samia yupo Havana nchini Cuba, karibu kabisa na jimbo la Florida, jimbo ambalo Master Donald Trump the Great amepiga kura. Naomba Rais wetu ampongeze kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Pia amwambie kuwa tunatarajia atakata misaada ya hovyo barani Africa ili tujifunze...
Back
Top Bottom