rais samia suluhu hassan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Maoni na Mpendekezo kuhusu Mfumo wa Tanzania Mining Cadastre Portal

    Utangulizi Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo. Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
  2. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, taa ya Matumaini na Maendeleo kwa Tanzania na changamoto za ajira 2024

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika nafasi yake with full power and Authority kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anasimama kama taa ya matumaini na maendeleo kwa taifa letu pendwa ikiwemo maswala ya ajira selikalini na sector binafsi. Kwa uongozi wake usio na kifani na...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, inatubidi tukueleze wazi kuwa mvuto wako unazidi kushuka hapa nchini na katika Jumuiya za kimataifa

    Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
  4. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Uchambuzi wa hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan jana 17/9/2024 ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Moshi - Kilimanjaro

    Moderator JF: 1. Tafadhali usiunganishe uzi huu na mwingine. Uchambuzi huu muktadha na maudhui yake ni tofauti kabisa na chambuzi za wengine waliokwisha kupost humu akiwemo Mama Amon........... 2. Uchambuzi huu unaofanywa na mwandishi nguli wa habari za kiuchunguzi anayeishi uhamishoni...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

    https://www.youtube.com/watch?v=BKZ7ifz7408 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani...
  7. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza, Tume ya Kijaji inaripoti kwa Rais, njia halali ni kuleta Wachunguzi wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo. Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza...
  8. Suphian Juma

    JamiiForums Tanzania Umeona Rais Samia anapika kwa nishati safi?

    UMEONA RAIS SAMIA ANAPIKA KWA NISHATI SAFI⁉️ Leo nimeona kipindi TBC Rais Dkt Samia akipika kwa kutumia nishati safi ya umeme na gesi. Kitu ambacho ni nadra na nadhani hakijawahi kutokea kwa Rais yeyote nchini kama sio Afrika nzima. Shirika letu la TAA tunaoratibu kampeni ya kupanda miti ya...
  9. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mtupie jicho la tatu Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Rufaa Mwanza Sekou Toure Dkt. Bahati Msacky

    Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr. Ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa Afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa. Hata kama siyo kumpa Uwaziri kamili mpatie Unaibu au nafasi ya Ukatibu kule Wizara ya Afya. Hii ni dhahabu iliyosahaulika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Bingwa wa Uzalendo wa Afrika na Msimamo Wake kwa Raila Odinga

    Katika Dunia ambapo ushirikiano wa kimataifa unazidi kuongozwa na maslahi ya kijiografia na kiuchumi, Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amejitokeza kama mwangaza wa Uzalendo wa Afrika. Akiwa Kiongozi pekee wa Kike wa Nchi na Serikali barani, uongozi wake siyo tu ishara ya ushirikishwaji wa...
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania Hatari zinazoweza kutokea kutokana na mbinu hii ya Rais kuwakilishwa bila kujitokeza aongee na wananchi

    Kutokana na mbinu ya Rais Samia ya kutumia watu wengine kumsemea badala ya kujitokeza mwenyewe, kuna hatari zifuatazo zinazoweza kutokea: 1. Ukosefu wa uwazi na uwajibikaji: Kutokutokea moja kwa moja na kuwasiliana na wananchi kunaweza kusababisha madai ya ukosefu wa uwazi na uwajibikaji kutoka...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM inakusudia kuandaa mandamano ya amani kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutatua mgogoro katika kata 11 za Tarafa ya Ngongoro

    Ni vizuri kwamba CCM inakusudia kuandaa mandamano ya amani kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutatua mgogoro katika kata 11 za Tarafa ya Ngongoro. Hii inaonyesha kuwa CCM inaufuatilia kwa makini suala hili na inatambua umuhimu wa kuleta amani na utangamano kwa wananchi. Ni maarufu...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria Mkutano wa 44 wa SADC na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasan anatarajia kuhudhuria Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utafakaonyika tarehe 17 Agosti 2024 mjini Harare, Zimbabwe. Rais Dkt. Samia...
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amedhamiria, Reforms ya kibabe kwenye Afya

    SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo. Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah...
  16. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunashuhudia Mapinduzi ya Kilimo ya kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Sidhani kama kuna mtu atabisha kwamba, kwenye nchi hii hakuna wakati sekta ya kilimo imepata mazingatio makubwa sana kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya nchi yetu. Ushahidi wa kwanza wa hoja yangu ni Rais Samia Suluhu kuongeza bajeti ya kilimo kwa zaidi ya asilimia 200, kutoka TZS...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania TLS yamtaka Rais Samia kuunda Tume ya kuchunguza Polisi kuhusu utekaji wanaohusishwa nao. Yataka ripoti za uchunguzi kutolewa

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimemshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda tume maalumu ya kuchunguza ushiriki wa Jeshi la Polisi kwenye masuala ya utekaji na utesaji kwa kuwa Jeshi la Polisi limekuwa likituhumiwa kushiriki katika vitendo hivyo...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu kama kuna siku Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka neno Ufisadi!

    Shalom wana Jamii Forum. Sijui ni kuzeeka vibaya au kuchanganyikiwa. Kila nikirejesha kumbukumbu zangu nyuma, sioni au kuona kama kuna mahali katika hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka kinywani mwake neno UFISADI . Kama yupo mwenye ushahidi atuwekee clipu hapa walau nijue...
  19. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan mfukuze kazi Waziri Mwigulu Nchemba kuepuka wananchi kukufukuza wewe kazi 2025

    Ukweli mchungu kwa Rais Samia, Serikali na chama-tawala CCM ni kwamba wananchi wamechoshwa mno na janga la ufisadi uliobadilika na kuwa utamaduni wa watendaji wa Serikali ya CCM. Kitendo cha afisa wa umma TRA kukutwa na pesa taslimu nyumbani kwake 7bilioni ni ishara mbaya sana. Huyu ni...
Back
Top Bottom