polisi

  1. JamiiForums Tanzania SGR yetu waweke Polisi au JKT chooni!

    Huu ni ushauri wangu tu kwa kuanzia kila choo kiwe na askari mlangoni kukagua kila anayetoka chooni kama kachafua au kakiacha choo kisafi kama alivyokikuta. Na atakayechafua aidha asafishe mwenyewe au apigwe faini ndefu. Bila ya hivyo itakuwa SGR ya kichocho na kipindu pindu baada ya safari ya...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakamata Wafanyabiashara watatu wakituhumiwa kuuzaji pombe bandia Ruvuma

    Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na wananchi kuhakikisha jamii na Mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa salama. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui! Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
  4. JamiiForums Tanzania Upendeleo wa Jeshi la Polisi kwa Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, Faris Buruan

    Nawaza tu angekuwa kiongozi wa BAVICHA au ACT Wazalendo katoa lugha au vitisho au kauli ya uvunjifu wa amani kama iliotolewa UVCCM kiongozi mkoa wa Kagera. Polisi wangemkamata kwa kosa la lugha ya uchochezi Angeteswa na kuzungushwa huku na huko vituo vya polisi Ungesikia hata msajili wa viama...
  5. JamiiForums Tanzania Pesa wanayolipwa Polisi Trafiki na wafanyakazi wa TRA haiendani na maisha yao

    Hawa watu wanaofanya kazi katika hizo sekta Mara kwa Mara huwa nakutana nao. Ila kinachonishangaza kwao, kwa pesa wanazopata ukiondoa mishahara wanayolipwa hawa jamaa, wanapata pesa nyingi sana. Sasa maendeleo Yao na Pesa wanazopata haviendani, pia usiombe ukutanenao ukiwa na mzigo, kweli...
  6. JamiiForums Tanzania Wenje na Chief wanaongelea makubaliano chadema na polisi juu ya maandamano yao

    Katika mahojiano yaliyofanywa kati ya kituo kimoja cha TV mtandao na kiongozi wa Chadema kanda ya ziwa Ezekiel Wenje na chief kalumuna wa chadema kagera ni kywa wamekubalina na polisi juu ya kulinda maandamano yao ya april 22 mjini bukoba na kuwa njia walizoruhusiwa kupita ni kutoka kashai...
  7. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18. Hatua hiyo imebainika...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wawapa mahitaji Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto iliyopo Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wamepatiwa mahitaji ya Shuleni na nyumbani kutoka kwa Polisi Kata ya Ilemi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki Mambuye. Akizungumza mara baada ya kukabidhi mahitaji hayo Aprili 19, 2024 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata GB 64 akidaiwa kuhamasisha Watu kufanya vurugu mechi ya Yanga Vs Simba

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafuatilia kwa karibu sana mchezo wa soka siku ya Jumamosi tarehe 20 Aprili 2024 saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Mchezo huo ni wa soka wa watani wa jadi kati ya klabu ya Yanga na Simba zote za Dar es salaam na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu

    Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya. Akizungumza Aprili 17, 2024 wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX USALAMA PAMOJA2024...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

    Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania. Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania haina Polisi wala waandishi wa habari

    Kiukweli nimekereka mpaka basi, kuona waandishi wa habari wanamdhalilisha bila huruma yule dogo wanayesema amebaka kuku. Polisi nao na ukiritimba wao wameenda kituo kizima kumkamata. dogo kama yule ni wakufuatwa nakikosi chote kile? alikua au? Mbona hao polisi wakiitwa kwenye show za kiume...
  13. JamiiForums Tanzania Pambalu na Polisi ana kwa ana wakati akichukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Victoria

    Polisi wamelazimika kufika zilipo ofisi za chadema mjini Bukoba baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa vijana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Pambalu kwenda kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo akiwa na msafara wa boda boda. hata hivyo polisi walipofika katika eneo hilo walioneka na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Polisi Mtwara acheni tamaa mnatukwamisha, sisi pia tupo kazini na tuna familia

    Inasikitisha sana siku hizi polisi kama nchi ni ya kwao kabisa.! As if Serikali imeshawapa ruhusa ya wanachokifanya. Mikoa mingine sijui, hapa Mtwara Kilimanjaro kuna hawa polisi wanatoza tu hela kwa wenye magari hata kama huna kosa sijui tuwaite watoza ushuru au polisi maana mauza uza uza tu...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi wa Nchi za Ukanda wa Mashariki mwa Afrika waungana na Rwanda kumbukumbu mauaji ya kimbari

    Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki Wameungana na Polisi wenzao kutoka Nchini Rwanda kuuwakumbuka Wananchi waliopoteza maisha katika mauaji ya kimbari Nchini Rwanda. Akiongea leo Aprili 14,2024 katika Shule ya Polisi Tanzania Mkoani Kilimanjaro Mkurungenzi Mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi mtu akicheza rafu mbaya mpirani anaweza kushtakiwa mahakamani?

    Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu? https://www.instagram.com/reel/C5E8G_TsS26/?igsh=MXg3dzh1YTNrZ2xnNQ==
  17. JamiiForums Tanzania Marekani: Mchina alalamika kupigwa na polisi bila sababu

    Mchina huyo Amewaambia waandishi wa habari was gazeti la Washington post kwamba "Nilisimamishwa na polisi, nikaulizwa jina langu, ghafla nikashngaa naanza kushambuliwa na polisi hao bila kuambiwa kosa langu" "nmepoteza imani yote niliyokua nayo kwa hawa polisi wetu" aliongezea Mchina uyo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded IGP Wambura, kuna Askari wako Mpanda wamevamia Wananchi mtaani na kuwachapa kwa waya bila maelezo

    Mimi ni kijana ambaye ninajishughulisha na shughuli halali za kawaida na ninajipatia kipato halali, ninaomba niwasilishe kilichotokea mtaani kwetu Mkoa wa Katavi, Kitongoji cha Makanyagio Mjini Mpanda mnamo tarehe 3 Aprili 2024. Tukiwa mtaani hatuna hili wala lile, watu wakiwa wanaendelea na...
  19. JamiiForums Tanzania Trafik polisi wanatuchanganya

    Wale traffic polisi wanatumia kile kidude kuita magari sijui ndio kinaitwa baton, Yaani amewasha nyekundu alafu anaita magari au amewasha kijani alafu anastopisha magari.. Mimi kwa kweli ninachanganyikiwa sana. Kwani hawaja pewa elimu ya kukitumia?
  20. JamiiForums Tanzania Napendekeza kwa mazingira mengine Polisi wafanye kazi kwa kuzingatia muktadha tukio kuliko kufuata protokali

    Linapotokea tukio mtu kauwawa mara nyingi tunaita polisi wachukue mwili, lakini pia inapotokea mtu kajiua tunawaita polisi. Kuna ile mtu kajiua kwa sumu au kujinyonga ndani kwake, nitolee mfano tukio lililotokea mtaani. Polisi walijulishwa kuwa kuna mtu kanywa sumu, wakafika eneo la tukio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…