Zaidi ya Wanaume 142 Iringa wakimbilia Polisi kisa kufanyiwa ukatili katika ndoa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Idadi ya wanaume 142 Mkoani Iringa wamefika Polisi kati ya mwaka 2020 hadi 2023 kulalamika kufanyiwa vitendo vya Ukatili kwenye Ndoa.

Mbali ya idadi hiyo ila inaelezea kuwepo kwa idadi Kubwa zaidi ya wanaume ambao wanapigwa ama kufanyiwa Ukatili na wanawake kwenye Ndoa ila wamekuwa wakiona aibu kwenda Polisi kuripoti Ukatili huo.
1480057613441.jpg
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi aliyasema hayo wakati akifungua kampeni iliyoandaliwa na dawati la jinsia wanawake na watoto kwa ajili ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia alisema kuwa takwimu zinaonesha kuwepo kwa kiwango kikubwa cha matukio kwa wanawake na watoto na yanaonesha umuhimu wa kuendelea na kampeni hii.

Kuwa takwimu zinaonesha kuwepo kwa kiwango kikubwa cha matukio kwa wanawake na watoto na yanaonesha umuhimu wa kuendelea na kampeni hii.

Alisema dadi ya Watoto waliofanyiwa ukatili mwaka 2020 ni 629, mwaka 2021 ni 539, mwaka 2022 ni 529 na mwaka 2023 Januari hadi Oktoba 490 Wanawake kwa mwaka 2020 ni 501, mwaka 2021 ni 611, mwaka 2022 ni 516 na mwaka 2023 Januari hadi Oktoba ni 349 Aidha kwa upande wa Wanaume mwaka 2020 ni 36 mwaka 2021 ni 31, mwaka 2022 ni 26 mwaka 2023 Januari hadi Oktoba ni 49.

Japo bado tatizo lipo kwenye jamii hasa kwa kundi la wanawake na watoto japo kua wanaume wamekua hawana desturi za kuripoti matukio yanayowahusu ila jeshi la polisi limepanga kutowaacha kwenye elimu itakayoendelea ili kuwahamasisha kujitokeza kuripoti matukio ya ukatili.

"Utoaji wa elimu utajikita katika kupambana na vyanzo vinavyosababisha vitendo vya ukatili kama vile; uelewa mdogo, Mila na desturi potofu, ulevi, imani za kishirikina, makuzi na malezi, utandawazi, migogoro ya kifamilia " alisema Bukumbi

Kuwa Chimbuko la maadhimisho ya siku kumi na sita (16) za kupinga ukatili wa kijinsia ni la kimataifa, yaliyotokana na mauaji ya kikatili ya wasichana wa Mirabelle huko nchini Dominica.

Kuwa mauaji hayo yalifanyika mwaka 1960 Kutokana na hali hiyo mwaka 1991 umoja wa mataifa ulitenga siku 16 kuanzia Novemba 25 (International Day of No Violence Against Women) kila mwaka kuwa siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wananwake huku kilele cha kampeni hii huwa ni Disemba 10 ambayo ni siku maalumu ya kuadhimisha tamko la haki za binadamu.

" (International Human Rights Day) Mnamo mwaka 1996 Tanzania ilianza rasmi maadhimisho haya ikiwa ni sehemu ya kuungana na nchi zingine duniani kupinga ukatili wa kijinsia ambao umekua changamoto kubwa katika jamii"

Kuwa lengo la kampeni hii kuongeza ushawishi, kubadilishana taarifa na uzoefu, kujenga uwezo wa pamoja, matumizi mazuri ya rasilimali zinazopatikana na kuunganisha nguvu za asasi za kijamii katika kuhamasisha, kuelimisha, kukemea na kuchukua hatua kwa pamoja ili kupinga ukatili wa kijinsia kwa jamii.

Hivyo Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa kupitia kamisheni ya polisi jamii limeandaa shughuli za utoaji elimu kwa jamii katika maeneo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kampeni hii kwa kushirikiana na wadau.

Kamanda Bukumbi alisema kuwa mwaka huu wamekuja na Elimu iliyobeba kauli mbiu ya mwaka 2023 Wekeza kuzuia ukatili wa kijinsia .

Alisema Katika Mkoa wa Iringa kumekuwepo na matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto kama vile Mauaji, ubakaji, ulawiti, Mimba kwa wanafunzi, kuzini na maharimu, kutelekeza watoto, ndoa za utotoni, kuangamiza watoto wachanga,shambulio la kudhuru mwili, kujeruhi na ukatili mwingine tofauti .

Kwa upande wake Mkaguzi wa polisi mkuu wa dawa la jinsia wanawake na watoto mkoa wa Iringa Elizabet Swai alisema kuwa wamejipanga kutoa elimu kwenye makundi mbali mbali likiwemo kundi la vijana wa pikipiki za miguu miwili (boda boda ) ,bajaji ,daladala pia kupita kwenye kumbi za starehe kuwakamata wazazi wanaokwenda na watoto lakini pia kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia.

Chanzo: Matukio Daima
 
Idadi ya wanaume 144 mkoani Iringa wamefika Polisi kati ya mwaka 2020 hadi 2023 kulalamika kufanyiwa vitendo vya Ukatili kwenye Ndoa.

Mbali ya idadi hiyo ila inaelezea kuwepo kwa idadi Kubwa zaidi ya wanaume ambao wanapigwa ama kufanyiwa Ukatili na wanawake kwenye Ndoa ila wamekuwa wakiona aibu kwenda Polisi kuripoti Ukatili huo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi aliyasema hayo wakati akifungua kampeni iliyoandaliwa na dawati la jinsia wanawake na watoto kwa ajili ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia alisema kuwa

takwimu zinaonesha kuwepo kwa kiwango kikubwa cha matukio kwa wanawake na watoto na yanaonesha umuhimu wa kuendelea na kampeni hii.

Kuwa takwimu zinaonesha kuwepo kwa kiwango kikubwa cha matukio kwa wanawake na watoto na yanaonesha umuhimu wa kuendelea na kampeni hii.

Alisema dadi ya Watoto waliofanyiwa ukatili mwaka 2020 ni 629, mwaka 2021 ni 539, mwaka 2022 ni 529 na mwaka 2023 Januari hadi Oktoba 490 Wanawake kwa mwaka 2020 ni 501, mwaka 2021 ni 611, mwaka 2022 ni 516 na mwaka 2023 Januari hadi Oktoba ni 349 Aidha kwa upande wa Wanaume mwaka 2020 ni 36 mwaka 2021 ni 31, mwaka 2022 ni 26 mwaka 2023 Januari hadi Oktoba ni 49.

Japo bado tatizo lipo kwenye jamii hasa kwa kundi la wanawake na watoto japo kua wanaume wamekua hawana desturi za kuripoti matukio yanayowahusu ila jeshi la polisi limepanga kutowaacha kwenye elimu itakayoendelea ili kuwahamasisha kujitokeza kuripoti matukio ya ukatili.

"Utoaji wa elimu utajikita katika kupambana na vyanzo vinavyosababisha vitendo vya ukatili kama vile; uelewa mdogo, Mila na desturi potofu, ulevi, imani za kishirikina, makuzi na malezi, utandawazi, migogoro ya kifamilia " alisema Bukumbi

Kuwa Chimbuko la maadhimisho ya siku kumi na sita (16) za kupinga ukatili wa kijinsia ni la kimataifa, yaliyotokana na mauaji ya kikatili ya wasichana wa Mirabelle huko nchini Dominica.

Kuwa mauaji hayo yalifanyika mwaka 1960 Kutokana na hali hiyo mwaka 1991 umoja wa mataifa ulitenga siku 16 kuanzia Novemba 25 (International Day of No Violence Against Women) kila mwaka kuwa siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wananwake huku kilele cha kampeni hii huwa ni Disemba 10 ambayo ni siku maalumu ya kuadhimisha tamko la haki za binadamu.

" (International Human Rights Day) Mnamo mwaka 1996 Tanzania ilianza rasmi maadhimisho haya ikiwa ni sehemu ya kuungana na nchi zingine duniani kupinga ukatili wa kijinsia ambao umekua changamoto kubwa katika jamii"

Kuwa lengo la kampeni hii kuongeza ushawishi, kubadilishana taarifa na uzoefu, kujenga uwezo wa pamoja, matumizi mazuri ya rasilimali zinazopatikana na kuunganisha nguvu za asasi za kijamii katika kuhamasisha, kuelimisha, kukemea na kuchukua hatua kwa pamoja ili kupinga ukatili wa kijinsia kwa jamii.

Hivyo Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa kupitia kamisheni ya polisi jamii limeandaa shughuli za utoaji elimu kwa jamii katika maeneo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kampeni hii kwa kushirikiana na wadau.

Kamanda Bukumbi alisema kuwa mwaka huu wamekuja na Elimu iliyobeba kauli mbiu ya mwaka 2023 Wekeza kuzuia ukatili wa kijinsia .

Alisema Katika Mkoa wa Iringa kumekuwepo na matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto kama vile Mauaji, ubakaji, ulawiti, Mimba kwa wanafunzi, kuzini na maharimu, kutelekeza watoto, ndoa za utotoni, kuangamiza watoto wachanga,shambulio la kudhuru mwili, kujeruhi na ukatili mwingine tofauti .

Kwa upande wake Mkaguzi wa polisi mkuu wa dawa la jinsia wanawake na watoto mkoa wa Iringa Elizabet Swai alisema kuwa wamejipanga kutoa elimu kwenye makundi mbali mbali likiwemo kundi la vijana wa pikipiki za miguu miwili (boda boda ) ,bajaji ,daladala pia kupita kwenye kumbi za starehe kuwakamata wazazi wanaokwenda na watoto lakini pia kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia.

Chanzo: Matukio Daima
Duuu
 
Idadi ya wanaume 142 Mkoani Iringa wamefika Polisi kati ya mwaka 2020 hadi 2023 kulalamika kufanyiwa vitendo vya Ukatili kwenye Ndoa.

Mbali ya idadi hiyo ila inaelezea kuwepo kwa idadi Kubwa zaidi ya wanaume ambao wanapigwa ama kufanyiwa Ukatili na wanawake kwenye Ndoa ila wamekuwa wakiona aibu kwenda Polisi kuripoti Ukatili huo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi aliyasema hayo wakati akifungua kampeni iliyoandaliwa na dawati la jinsia wanawake na watoto kwa ajili ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia alisema kuwa takwimu zinaonesha kuwepo kwa kiwango kikubwa cha matukio kwa wanawake na watoto na yanaonesha umuhimu wa kuendelea na kampeni hii.

Kuwa takwimu zinaonesha kuwepo kwa kiwango kikubwa cha matukio kwa wanawake na watoto na yanaonesha umuhimu wa kuendelea na kampeni hii.

Alisema dadi ya Watoto waliofanyiwa ukatili mwaka 2020 ni 629, mwaka 2021 ni 539, mwaka 2022 ni 529 na mwaka 2023 Januari hadi Oktoba 490 Wanawake kwa mwaka 2020 ni 501, mwaka 2021 ni 611, mwaka 2022 ni 516 na mwaka 2023 Januari hadi Oktoba ni 349 Aidha kwa upande wa Wanaume mwaka 2020 ni 36 mwaka 2021 ni 31, mwaka 2022 ni 26 mwaka 2023 Januari hadi Oktoba ni 49.

Japo bado tatizo lipo kwenye jamii hasa kwa kundi la wanawake na watoto japo kua wanaume wamekua hawana desturi za kuripoti matukio yanayowahusu ila jeshi la polisi limepanga kutowaacha kwenye elimu itakayoendelea ili kuwahamasisha kujitokeza kuripoti matukio ya ukatili.

"Utoaji wa elimu utajikita katika kupambana na vyanzo vinavyosababisha vitendo vya ukatili kama vile; uelewa mdogo, Mila na desturi potofu, ulevi, imani za kishirikina, makuzi na malezi, utandawazi, migogoro ya kifamilia " alisema Bukumbi

Kuwa Chimbuko la maadhimisho ya siku kumi na sita (16) za kupinga ukatili wa kijinsia ni la kimataifa, yaliyotokana na mauaji ya kikatili ya wasichana wa Mirabelle huko nchini Dominica.

Kuwa mauaji hayo yalifanyika mwaka 1960 Kutokana na hali hiyo mwaka 1991 umoja wa mataifa ulitenga siku 16 kuanzia Novemba 25 (International Day of No Violence Against Women) kila mwaka kuwa siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wananwake huku kilele cha kampeni hii huwa ni Disemba 10 ambayo ni siku maalumu ya kuadhimisha tamko la haki za binadamu.

" (International Human Rights Day) Mnamo mwaka 1996 Tanzania ilianza rasmi maadhimisho haya ikiwa ni sehemu ya kuungana na nchi zingine duniani kupinga ukatili wa kijinsia ambao umekua changamoto kubwa katika jamii"

Kuwa lengo la kampeni hii kuongeza ushawishi, kubadilishana taarifa na uzoefu, kujenga uwezo wa pamoja, matumizi mazuri ya rasilimali zinazopatikana na kuunganisha nguvu za asasi za kijamii katika kuhamasisha, kuelimisha, kukemea na kuchukua hatua kwa pamoja ili kupinga ukatili wa kijinsia kwa jamii.

Hivyo Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa kupitia kamisheni ya polisi jamii limeandaa shughuli za utoaji elimu kwa jamii katika maeneo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kampeni hii kwa kushirikiana na wadau.

Kamanda Bukumbi alisema kuwa mwaka huu wamekuja na Elimu iliyobeba kauli mbiu ya mwaka 2023 Wekeza kuzuia ukatili wa kijinsia .

Alisema Katika Mkoa wa Iringa kumekuwepo na matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto kama vile Mauaji, ubakaji, ulawiti, Mimba kwa wanafunzi, kuzini na maharimu, kutelekeza watoto, ndoa za utotoni, kuangamiza watoto wachanga,shambulio la kudhuru mwili, kujeruhi na ukatili mwingine tofauti .

Kwa upande wake Mkaguzi wa polisi mkuu wa dawa la jinsia wanawake na watoto mkoa wa Iringa Elizabet Swai alisema kuwa wamejipanga kutoa elimu kwenye makundi mbali mbali likiwemo kundi la vijana wa pikipiki za miguu miwili (boda boda ) ,bajaji ,daladala pia kupita kwenye kumbi za starehe kuwakamata wazazi wanaokwenda na watoto lakini pia kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia.

Chanzo: Matukio Daima
Kumbe wanyalukolo wa kiume ni watu laini laini mnooo🤔
 
Back
Top Bottom