Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 859
- 1,012
Nimemsikia waziri Mkuu akiongea na ma OCD juu ya kesi 50 za wanafunzi kupata mimba kuishia POLISI.
Mawazo yangu juu hali hiyo,
Miaka 30 ni mingi mno. Hivyo hata polisi nae ni binadamu, familia nao huwa na ubinadamu miaka 30 sio kitu rahisi. Ushauri wangu utaratibu ungekuwa kama ifuatavyo:
Hata mzazi na hasira kiasi gani linapokuja swala la miaka 30 jera moyo wa kibinadamu huja.
Mawazo yangu juu hali hiyo,
Miaka 30 ni mingi mno. Hivyo hata polisi nae ni binadamu, familia nao huwa na ubinadamu miaka 30 sio kitu rahisi. Ushauri wangu utaratibu ungekuwa kama ifuatavyo:
- Kutuhumiwa kwa kujihusisha na kutembea na mwanafunzi (kufanya nae mapenzi)@jera miaka 5
- Kumpa mwanafunzi ujauzito Jera mpaka atakapojifungua na kupimwa DNA
- Kama mtuhumiwa ikigundulika alijihusisha mojakwamoja kwa kumpa mimba mwanafunzi baada ya vipimo hivyo vya DNA basi iwe Jera miaka 10-15 itategemea na tukio lenyewe yaani ubakaji wenyewe.
Hata mzazi na hasira kiasi gani linapokuja swala la miaka 30 jera moyo wa kibinadamu huja.