polisi

  1. Zitto Kabwe akamatwa na Polisi baada ya kwenda kuwaona viongozi wa vyama vya upinzani waliokamatwa na Polisi

    Kiongozi wa Chama, cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na kushikiliwa na Jeshi La Polisi baada ya kufika Kituo cha Polisi Oysterbay kuwaona Viongozi wa Vyama vya Upinzani waliokamatwa tangu Juzi kwa ajili ya kuandaa maandamano ya amani ya kudai Uchaguzi mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
  2. Job Ndugai achukua fomu kugombea Uspika

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili. Ndugai ambaye amekuwa katika nafasi hiyo katika Bunge la 11 amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo na kuirejesha leo katika ofisi makao makuu...
  3. Nigeria: Mwanasheria Mkuu asema walioua Waandamanaji bado hawajulikani na ni mapema kusema kwamba waliohusika ni Polisi na Wanajeshi

    Mwanasheria Mkuu nchini Nigeria amesema kwamba watu waliowapiga risasi na kuua waandamanaji nchini humo hawajulikani na kwamba huenda watu waliofunika nyuso zao na kuvalia sare za kijeshi ndio waliohusika. Abubakar Malami amesema kwamba ni mapema sana kusema iwapo polisi walihusika katika tendo...
  4. D

    Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

    Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo. Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande...
  5. Upinzani mmecheza karata nzuri kuhakikisha wote mnakamatwa na polisi ndani ya kipindi kifupi tu baada ya uchaguzi

    Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote waliokuja kuangalia na kuripoti ulivo kuwa walisema uko huru na haki. Lakin sasa kwa hali inavoendelea...
  6. GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM. ===== Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
  7. Serikali na Polisi sasa waanze kujibu uzuri madai na tuhuma zinazorushwa mitandaoni na Vyombo vya Habari vya kimataifa

    Mitandao ya kijamii ni eneo pana na lenye kuweza kuwekwa picha mbambali za video iwe za miaka ya nyuma, miaka hii au hivi karibuni. Kwasababu la kiusalama inawezekana kabisa kuzuia mitandao isiwezeshe video za namna hii kutumika kueneza uchochezi na uvunjifu wa amani katika nchi yetu bila...
  8. Polisi Zanzibar yakiri kumshikilia Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo (Nassor Mazrui) na vijana wengine 33 wa Chama hicho

    Jeshi la Polisi la Zanzibar limekiri kumshikilia Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bw. Nassor Mazrui na vijana wengine 33 wakiwatuhumu kuwa na mabomu na kushiriki harakati mbalimbali za kuingilia mchakato wa Uchaguzi usiku wa tarehe 28/10/ 2020
  9. Nyumba ya Freeman Mbowe yazungukwa na polisi wenye silaha

    Polisi wenye silaha wameizunguka nyumba ya Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe. Tumuombe sana @freemanmbowetz maana naskia hao jamaa wenye silaha waliozingira nyumba yake wanasema wametumwa kuchukua roho ya Mbowe.
  10. GE2020 IGP Sirro: Kukaa na kulinda kura ni dalili ya kufanya vurugu, baada ya kupiga kura rudini nyumbani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi na kupiga kura kesho akiwashauri warudi nyumbani na kuendelea na shughuli zao. Ameeleza kuwa, baadhi ya viongozi wamekuwa wakihamasisha wapiga kura walinde kura, kitendo ambacho amesema ni dalili ya kufanya fujo...
  11. Jeshi la Polisi Zanzibar limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na viashiria vya uvunjifu wa amani

    Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani. Limesema waliokamatwa ni waliochoma matairi na kuyaweka katikati ya barabara na waliokwenda katika...
  12. Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Kuna update: Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
  13. Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa ya yanayoendelea Pemba, taarifa hiyo imeandaliwa na Maalim Seif na kutolewa kwa Umma ======= Taarifa zilizothibitishwa kutoka Pemba zinasema wananchi watatu wameuawa kwa silaha za moto na Jeshi la Polisi kuelekea mwanzo wa upigaji kura siku ya kesho...
  14. IGP Sirro: Ikicheza Simba/Yanga na Polisi Tanzania, shabikia Polisi Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema, amejisikia vibaya Yanga Sc walivyoifunga timu ya Usalama kwenye mchezo wa hivi karibuni Amesema Jeshi la Polisi ndio wanaolinda usalama wa nchi sio Yanga Sc, hivyo ikitokea Usalama wamecheza na timu yoyote raia inapaswa washabikie Polisi...
  15. Je rais Magufuli, Mahakama na polisi ndio wamekushinda?

    Rais wangu kipenzi cha watanzania,najua kuwa unakwenda kushinda urais kwa kishindo kizito. Hii ni dalili kuwa watu wana imani kwako. Natolea mfano tu leo umezindua reli ya Arusha Dar ambayo ilikuwa imekufa kwa zaidi ya miaka 30. Kwa hiyo wewe kwa watu wa Arusha ni shujaa na jembe lao,maana sasa...
  16. GE2020 Katibu Mkuu wa ACT—Wazalendo ashikiliwa na Jeshi la Polisi

    Katibu Mkuu na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ndugu Ado Shaibu amekamatwa na Polisi ili kuzuiwa asihudhurie Mkutano wa Tundu Lissu unaofanyika Jimboni Kwake. Ndugu Ado Shaibu natuhumiwa kutumia Kampeni zake kuhamasisha wakulima wa korosho kugomea Mfumo wa Stakabadhi Ghalani mpaka...
  17. GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

    Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi. Endelea kubaki...
  18. GE2020 Halima Mdee apelekwa kupekuliwa nyumbani kwake na Jeshi la Polisi baada ya kwenda kuripoti matukio ya kutishiwa amani

    Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni. Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi. ===== Mdee ahojiwa kwa tuhuma...
  19. Ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuwapeleka Polisi kutembelea wenzao wa Ujerumani, Uingereza, Australia, Ufaransa, China & USA kubadilishana uzoefu

    Nadhani ili kubadilishana uzoefu wa kazi ni vyema polisi wetu wakawezeshwa na Serikali kwenda nchi nilizozitaja hapo juu kuona wenzao wanafanyeje, ili kama kuna mapungufu wayajazilishie na kama wenzao wanayo wawajazilishie Mfano wataangalia selo zao na aina ya bajeti waliyojiwekea ktk...
  20. VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

    Karibuni tufuatilie mechi hizi pamoja Tushuhudie vigogo hawa watakavyofanya hii Leo Utaburi wangu Prison 0- 3 Simba Yanga 1- 3 Tanpolis OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @Forteleza na wengine toka vyurani Updates Kikosi cha simba Manula Kapombe Tshabalala Nyoni Onyango Mkude Mzamiru Bwalya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…