polisi

  1. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Jeshi la Polisi lianze kutenda haki?

    Siyo rahisi mahali popote duniani kwa mtu awaye yote kuweza kuzuia athari hasi (consequences) za machozi ya watu zaidi ya milioni 50. Never! Watanzania walilia sana mwaka 2020 kuhusu serekali yetu (hususani rais wa wakati huo Magufuli) kuona kuwa ipo kwenye denial state dhidi ya gonjwa baya la...
  2. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua askari Arusha adaiwa kufa akijaribu kuwatoroka polisi

    Jambazi aliyemuua kwa kumkata mapanga Askari polisi, H.2407 Constable Damasi Magoti wa kituo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Jacob Kideko au Ramadhani Kichwa(43) Mkazi wa Makiba amefariki dunia katika jaribio la kuwatoroka polisi alipokuwa akisafirishwa jijini Arusha. Kwa mujibu wa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wananchi wataharuki yanayoendelea Mabibo Jeshini

    Niko na jamaa yangu hapa maeneo ya Grocery ya Manka nakula double kick huku nikipiga story na wadau, kuna mdau mmoja mida ya mchana leo alikuwa mitaa ya mabibo anatupa mchapo wa ajabu kidogo Inasemekana juzi kuna Askari Polisi alienda mitaa ya Mabibo Jeshini kwa wakurya kukamata gongo akapigwa...
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Gerald Mdamu inadaiwa kutelekezwa na Polisi Tanzania baada ya kupata ajali; Ni aibu Tafadhali IGP ingilia kati

    Yule mchezaji alievunjika miguu na jeshi la Polisi kumtelekeza Akiongea na Hili Game ya Clouds FM Dada wa Mgonjwa aitwaye Rabeka Mdamu amesema kuwa Jeshi la Polisi halijasaidia chochote kwenye matibabu ya mchezaji huyo wa timu ya polis Tanzania aliyeumia akiwa kazini. Aliongeza kuwa familia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Usalama unazidi kutoweka - Mkamato wa polisi saa nane za usiku, sasa kama tunalala na silaha?

    Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za usiku wa manane na wanagonga mlango kama wezi wanaong'owa dirisha ni hatari sana. Yaani ikitokea...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, naomba mtujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe

    Jeshi la Polisi hatimaye limemfikisha Mbowe mahakamani Kisutu "kisirisiri" likimtuhumu kwa Makosa ya jinai ya ugaidi. Naliomba Jeshi hilo litujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe. 1. Ni kwanini wamempeleka mahakamani Kisutu kisirisiri, bila kumuarifu yeye mtuhumiwa, ili aweze kutumia...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

  8. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi auawa kwa panga akijaribu kumkamata mwizi usiku nyumbani kwake

    Askari polisi katika kituo kidogo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Mkoani hapa, ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati akijaribu kumkamata mtuhumiwa.wa wizi. Tukio hilo limetokea Jana majira ya saa tano usiku katika Kijiji Cha Makiba wakati Askari huyo( jina linahifadhiwa) alipoenda...
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hapajulikani Polisi walipomficha Freeman Mbowe

    Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa...
  11. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania John Mrema: Polisi alimwambia Mbowe "This time huchomoi tunakupa kesi ya Ugaidi"

    Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia: "This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi" Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Lissu: Polisi hawana uwezo wa kukaa na Mbowe muda mrefu gerezani. Mbowe na CHADEMA hatutatoa ushirikiano

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA haitashiriki katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe Amesema...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ni kama nchi iko kwenye Auto Pilot

    Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha. Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo. 1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Polisi ni wa ajabu hadi wanasahau kutumia akili; unamkamata Mbowe kuwa anapanga kuua viongozi, halafu ndio unaenda nyumbani kwake kutafuta ushahidi?

    Wazungu wana msemo kwamba "some people are so vain that they forget to be clever" Ndivyo navyowaona Polisi wetu wa Tanzania. Yaani mtu mwenye tuhuma nzito za kutaka kuua viongozi, hadi unamkamata lazima uwe na ushahidi dhidi yake mzito. Sasa iweje unamkamata kwa tuhuma nzito kiasi hicho, halafu...
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye aanza safari na jeshi la polisi kutoka Mwanza kwenda Dar usiku wa leo kwa ajili ya upekuzi

    Taarifa za uhakika ni kuwa, mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye usiku wa leo ameanza safari ya kusafirishwa na jeshi la Polisi kupelekwa Dar kwa ajili ya upekuzi. Kiongozi huyo pamoja na msaidizi wake wa idara ya uenezi wanatuhumiwa kumiliki mitambo ya kufyatua katiba.
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mbowe amepelekwa Dar kwa Mahojiano, atarejeshwa Mwanza

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya...
  18. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

    KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda. 1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

    Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Back
Top Bottom