polisi

  1. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Kupatikana kwa Loss Report Mtandaoni: Kongole sana Jeshi la Polisi

    Ni hivi, loss report inapatikana online mwanzo mwisho. Huna haja ya kwenda kituo cha polisi kupanga foleni. Mwanzo swala hili lilikua kama ni nightmare coz lilikuwa linainvolve alot of excessive procedures ambazo zilicost muda na fedha. Now just your smartphone shughuli imeisha. Hongera sana...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SACP Wambura: Jeshi la Polisi Dar lakamata Majambazi, Wauaji, Wezi wa Magari na Pikipiki, na Uvunjaji

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo...
  3. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene acha kuingiza raia kwenye ulinzi. Polisi wako wanafanya nini?

    Hivi sasa kuna migogoro kila mahala juu ya kuwepo kwa ulinzi shirikishi. Mfano mtaani kwangu mwenyekiti wa mtaa ambaye ni wa CCM kawa mwizi kabisa maana analazimisha kila mkazi wa kitongoji mwenye nyumba alipe Tshs.10,000 kwa mwezi suala ambalo analibeba kama vile ni kesi. Sasa hivi anatishia...
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Mabadiliko ya kisera, chanzo cha makazi mapya ya Polisi kutotumika tangu 2018

    SERIKALI imetaja sababu za kutokutumika kwa miradi ya nyumba za makazi ya maofisa na askari polisi licha ya kukamilika kwa miaka mitatu iliyopita. Nyumba hizo ni zile za ghorofa zilizoko Mikocheni na Kunduchi mkoani Dar es Salaam, ambazo ujenzi ulianza mwaka 2014 na kukamilika mwaka 2018 chini...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ambavyo Polisi wanavyoshirikishwa utapeli bila Polisi kujua kuwa wametumika

    JIHADHARI NA WIZI HUU MPYA Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli. Mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia simu ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane (800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini (70,000/=)...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Emergency Call Tanzania

    Wakuu habari. Nchi nyingi za wenzetu, mfano Marekani tunaona kwenye movie na tukigoogle kwamba wana emergency call 911 ambayo ikitokea issue unapiga hafu wanatuma mtu kutoa msaada kama ni ambulance, polisi au zima moto. Mfano, 911 ilianzishwa USA mnamo 1968 na hadi sasa ipo na imefikia ukipiga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU haiwezi na haina mamlaka ya kubambikizia mtu kesi

    Tangu juzi mitandao na magazeti yamefurika taarifa kwamba TAKUKURU wamefuta kesi 147 walizobambikizia watu. Watanzania wote tumekuwa kama vipofu bila kuchambua sheria ya TAKUKURU inasemaje kuhusu uwezekano au kutowezekana jambo hilo. Ukiisoma sheria hiyo utaona kwamba PCCB haina kifungu cha...
  8. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya baadhi ya matrafiki vinatia doa Jeshi la Polisi

    Habari wadau. Imekuwa kawaida kusimamishwa na Askari wa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huu ni moja kati ya wajibu wao wa msingi kwa ajili ya kuhakikisha usalama wetu watumia vyombo vya usafiri pamoja na wote wanaotumia barabara au wenye shughuli zao pembezoni mwa barabara. Baadhi ya askari...
  9. 50thebe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ikitupendeza futa Jeshi la Polisi, Tuletee Huduma ya Polisi

    Mheshimiwa Rais Nianze kwa kukusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lengo ni lile lile la kazi iendee. Tumekuwa na mijadala nchini mwetu kwa nyakati tofauti kuhusu namna Jeshi letu la Polisi linavyofanya kazi. Mara nyingi Jeshi limekuwa likishutumiwa kwa masuala kadhaa ikiwamo...
  10. kookolikoo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Polisi wanadanganya kuhusu mauaji ya Hifadhi ya Ruaha, usikubali hili

    Moderators, naomba msiunganishe uzi huu kwa kuwa una mambo ya msingi makubwa ya ukosefu wa haki za binadamu. Ni thread ya msingi sana katika kututoa katika karaha za utawala uliopita. Nilikuwa nimeacha kutoa thread JamiiForums, lakini kwa hili la Polisi kudanganya umma kuhusu mauaji ya wananchi...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Samia Suluhu Hassan azindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2021 amezindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini Pia amekagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake UPDATES: RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  13. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro amvalisha cheo cha Kamishna wa Polisi CP Hamduni

    Mkuu wa Jeshi la polisi IGP Sirro leo amemvalisha cheo cha Kamishna wa Polisi CP Hamduni aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi kanda maalumu ya Dar es salaam. CP Hamduni kwa sasa ndiye Mkurugenzi mkuu wa Takukuru. Kazi Iendelee!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kupambana na rushwa ni kuondoa nenda rudi ya taasisi za Umma

    Ni furaha kuona kamanda wa taasisi nyeti ya kupambana na rushwa anakuja kutoka polisi akiwa anajua mifumo yote ya utoaji haki ndani ya jeshi la polisi kujawa na rushwa kuanzia barabarani, jinsi trafiki na polisi wanavyochukua rushwa mpka vituoni hakika tuna imani kubwa na kamanda aende kuweka...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu na kukamata silaha moja bastola aina ya REVOLVER. Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa inasema kuwa Mnamo tarehe 11/05/2021 majira ya saa tatu...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAWACHA hawatanii, waomba ulinzi wa Polisi, RPC Muroto maji yamfika shingoni, aonywa aache siasa

    Habari kamili hii hapa ====== Bawacha wamesema kuwa, hao ni wabunge wasiokuwa na chama, wanamwambia kamanda Muroto kuwa pamoja na kusema utatupiga mabomu sisi tunaandama mpaka Dodoma. Wewe sio mwanasiasa achana na mambo ya siasa kazi yako ni kutulinda sisi na mali zetu, tunakata tujibiwe na...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi la Rwanda sasa ni Imani yangu Jeshi la Polisi la Tanzania litaimarika zaidi na kubadilika kiuweledi

    IGP Sirro umeona mbali sana na GENTAMYCINE nakupongeza kwa Kuomba 'Ushirikiano' wa Kiuzoefu na Kiuweledi kutoka kwa Jeshi bora la Polisi Afrika la Rwanda nchi iliyobarikiwa kama ilivyobarikiwa nchi ya Israeli. Kwakuwa IGP Sirro wa TP ameanza nawaomba na akina Msuya wa SSIT na Mabeyo wa ZTWJ nao...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maafisa watano wa polisi wameuawa Mogadishu kwa bomu la kujitoa mhanga

    Mlipuko huo ulisababishwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga aliyevalia vazi la kujilipua ambaye aliwaendea maafisa hao nje ya kituo cha wilaya ya Waberi majira ya saa tatu na nusu usiku kwa saa za huko, mashahidi walisema. Maafisa watano wa polisi ni miongoni mwa watu wasiopungua sita waliouawa...
  19. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

    Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel ya Kebbys, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari. Kukamatwa kwa Harmorapa kunatokana na kauli yake aliyoitoa akidai kuwa mtoto wa...
  20. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi waeleza kuisambaratisha birthday party ya Chris Brown kisa msongamano mkubwa wa magari

    Unaijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa ikabidi majirani na watu wanaoishi ameneo karibu na Breezy waite polisi. Ilianza kwa sauti kubwa...
Back
Top Bottom