Kwa miaka zaidi ya sita Intelligence ya Polisi ilikuwa ikipokea taarifa za kiusalama zilizoonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani kwenye Mikutano ya Chadema na vyama vingine vya siasa na hivyo kupelekea ma OCD kusitisha kufanyika kwa mikutano hiyo.
Toka tarehe 17/03/2021 hali ya Usalama...
Wana muungano eeeh
Tunaomba Mh. Raisi Samia aliangalie hili mara mbili yaani polisi kigoma wamemkamata muhalifu wa ujambazi na wanasema wamehifadhi jina lake.
Kuna uhalifu wa majambazi kuwapora abiria wa gari njiani uliotokea barabara ya kibondo kasalu, polisi wanasema wamehakiki tukio hilo...
Habari wanakamati?
Naomba kuuliza kaswali kadogo tu.
Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe.
Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee...
Nimesoma mahali, serikali ina mpango wa kutoa viwanja vya ujenzi wa nyumba binafsi kwa askari polisi ili wasifedheheke pindi wanapostaafu.
Rai yangu ni kwamba hili liende kwa watumishi wote isiwe kwa polisi tu.
Hainiingi akili kuwa askari anaelipwa mshahara, posho ya shiling 300,000/, pesa ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi watajadiliana na kuangalia namna nzuri ya kuweza kuwapatia viwanja askari polisi ili kuwaepusha na fedheha wale wanaostaafu na kujikuta hawana kiwanja wala nyumba.
Waziri wa...
Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini baadaye akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo Polisi.
Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom...
Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye.
Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii.
Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao.
Wananchi wanaumia wao wapo tu?
Kama hawa mateja wanawashinda majambazi...
Iko wazi kwamba OCD wa Hai alinyamazia unyama wote ulioambatana na uchafu wa kutia aibu wa Mhalifu Ole Sabaya, kwa vyovyote vile Mtu mwenye mamlaka ya kuzuia Uhalifu anapounyamazia ili uendelee kutendwa huyu naye ni kwamba anashiriki uhalifu huo, anapaswa kukamatwa na kuunganishwa kwenye kesi...
Nimeangalia kwa upana makosa au tuhuma zilizoibuliwa na wananchi dhidi ya Sabaya, nyingi ya tuhuma zinaangukia Polisi isipokuwa tuhuma za Mali na fedha ndo zinaangukia TAKUKURU.
Kinachonishangaza nikuona TAKUKURU wamemshikilia huku Polisi ambao walipaswa kuanzisha uchunguzi kuhusu matumizi...
Leo ilikuwa fainali ya ligi daraja la kwanza kati ya mshindi wa kundi A na B, Mbeya kwanza vs Geita Gold. Geita inayonolewa na Minziro imeshinda. Sasa wakati Fred anaenda kuchukua tuzo yake Karia alihakikisha hampi mkono Baba Isaya.
Hata kama wanatofauti zao,ila Karia kama kiongozi amefanya...
MEXICO CITY (AP) — The notoriously violent Jalisco cartel has responded to Mexico’s “hugs, not bullets” policy with a policy of its own: The cartel kidnapped several members of an elite police force in the state of Guanajuato, tortured them to obtain names and addresses of fellow officers and is...
Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA.
My take:
Nyani wapya msitu wa zamani
Nitangulize samahani kwa wadau watakaodhani natetea uhalifu (ubaya) wa namna yoyote. Lakini wema na ubaya havijawai kuachana kama mwanga na giza. Ifikie hatua waibiwaji tujitathmini.
Ubaya ukikwaza wengi mtu timamu huangalia wapi tatizo linaanzia.
Hili la wizi wa mtandaon kama "tafadhari...
Mabibi na mabwana niko safarini kuelekea pande za Burigi katika kutia shime juhudi za kizalendo zenye mashiko zilizoasisiwa na hayati mzee baba katika kulisukuma gurudumu la utalii wa ndani, mbele.
Niliyoyashudia njiani hasa kuwahusu wale waliozowea kubrashi viatu kwa kutumia pesa za wengine...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum limeua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Kilambo Nyasairo, mkazi wa Chanika kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi
#MwananchiUpdates
Nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kumpora haraka silaha huyu jambazi
Inakuwaje wanajamvi!
Wananch Marekani wamewalalamikia Polisi kwenda kinyume na miiko ya kazi kwa kupiga picha na jambazi waliomkamata na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Jambazi hilo lilijaribu kuiba benki likashindwa na kutokomea vichakani ambapo polisi walimfukuzia hadi kumkamata.
Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vijiulize hili swali kwa makini.
Hii hali si ya kawaida na sisi wananchi tunaiona kwa macho yetu.
Hili wibi la ujambazi lililoibuka hasa baada ya Mama Samia kuingia madarakani na kutaka mabadiliko, hasa Dar es Salaam, kuna nini nyuma yake?
Tunajua kuwa...
Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka?
Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa.
Ujambazi, uporaji na ukabaji unapotukia hauhitaji kabisa kauli ya mwanasiasa yoyote ili polisi watekeleze wajibu wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.