Polisi Nchini Haiti wamesema Kikosi kilichoundwa na Wanajeshi wastaafu wa Colombia 26 na Wamarekani wawili wenye asili ya Haiti kilimuua Rais Jovenel Moïse.
Kwa mujibu wa Mamlaka, Moïse alikutwa na majeraha 12 ya risasi na alifariki dunia eneo la tukio. Mke wake aliyejeruhiwa vibaya alipelekwa...
Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia Melita Ndaletyan, mfugaji na mkazi wa Noondoto wilayani Longido, baada ya kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni Kaka yake Kiseri Ndaletyan, baada ya mtuhumiwa kuzuiliwa kumuingilia kimwili mke wa kaka yake huyo.
====
Mwanaume...
Yaani tunataka kweli kurudi kule kule?
----
Update: 1
JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano zaidi baada ya kuweka ujumbe kwenye mtandao wa kijamii uliomhusisha Rais. RPC amesema kuwa kosa lake...
Mkuu wa Polisi Nchini humo, Leon Charles, amesema watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse wameuawa na wengine wawili wamekamatwa
Kuuawa kwa Moïse na kujeruhiwa kwa Mkewe kulitarajiwa kuleta machafuko zaidi katika Taifa hilo ambalo tayari linakabiliwa na ghasia za magenge ya...
Polisi imesema Watu walio na silaha wamevamia Hospitali Kaskazini Magharibi mwa Nigeria na kuwachukua mateka angalau watu nane. Ripoti kadhaa zimedai idadi inaweza kuwa kubwa zaidi na miongoni mwao ni Manesi na Watoto.
Imeelezwa, kulikuwa na shambulio la risasi katika Kituo cha Polisi na wakati...
Maafisa wawili wa polisi wamejeruhiana kwa risasi usiku wa siku ya Ijumaa baada ya kutokea ugomvi juu ya mwanamke katika klabu moja eneo la Barabara ya Thika, Nairobi nchini Kenya.
Ugomvi kati ya Konstebo Festus Musyoka na Konstebo Lawrence Muturi ulitokana na mwanamke aliyekuwa ameambatana na...
SUMATRA na Polisi mnaposhindwa kudhibiti kadhia ya ongezeko holela la nauli kipindi hiki Cha kurejea mashuleni kwa wanafunzi tunashindwa kuelewa mnapewa nn na wamiliki wa mabus.
Wanafunzi wasio na fedha wamekwama stendi mikoani kwa kushindwa kupata huduma, mabus yanakata tiketi kwa bei...
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
Habari wanabodi..!
Kwa sasa inaonyesha kila idara ya Serikali kuna upungufu wa watumishi.Moja ya kitengo nyeti sana ni jeshi la polisi ni muda sasa sijaona Tangazo la ajira za polisi zikitangazwa.
Najua kutokana na protocal za kazi zao hawa jamaa sidhani kama wanaweza kulalamika kwamba tuna...
Oparesheni kali iliyotangazwa dhidi ya majambazi, wanaotumia silaha na wahalifu wengine imefanikisha kupatikana kwa silaha mbili aina ya Bastola ambazo zote zilikuwa zikitumika kutendea vitendo vya kihalifu
Oparesheni hii inajumuisha vikosi vyote vya Jeshi la Polisi na matokeo yake yamezidi...
"Ukiifuatilia kwa karibu sana katiba yetu, moja ya haki ya raia yoyote wa nchi hii ni kuwa na uhuru wa maoni au mtizamo, kwa hiyo ukikuta kwenye kundi kubwa wachache wanamtizamo kwamba hawana imani na polisi hiyo pia ni haki kikatiba ni mtazamo".
Kamanda Kanda Maalum DSM, ACP Muliro
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni.
Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums.
JUNE 23, 2021: Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya DSM, ACP Muliro Jumanne Muliro ametangaza rasmi kuwa Mtu yeyote atakaetoa taarifa sahihi zitakazowezesha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM kumkamata Mhalifu akiwa na silaha mfano; bunduki atatoa...
Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.
Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni...
CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi...
Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000 lakini hakuwa akishiba Ilibidi amtoe juu na hivyo uzushi ukazuka na Otieno kuharibu vitu nyumbani kwake...
Poleni na shughuli. Jaman mwenzenu sijawahi kuwa mbea ila leo yamenikuta kumbe ndio mambo yanakuwaga hivi....?
Kuna Mteja alileta kazi hapa officin kwangu kwa kuwa nilikua busy na kazi nyingine na yeye alikua na haraka na kazi yake nika mwambia aje nayo kesho .
Kesho yake hakuja nayo hadi kama...
Wakuu Hii Imetokea Nchini Kenya,
Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000 lakini hakuwa akishiba Ilibidi amtoe juu na hivyo uzushi ukazuka na...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza.
Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza.
1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa.
2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani?
3.Mapolisi hawazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.