Nyumba ya Freeman Mbowe yazungukwa na polisi wenye silaha

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Polisi wenye silaha wameizunguka nyumba ya Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe.
Tumuombe sana @freemanmbowetz maana naskia hao jamaa wenye silaha waliozingira nyumba yake wanasema wametumwa kuchukua roho ya Mbowe.
 
hebu nivute subra nijue ni uzushi au kwel
 
Dj mbowe Acha kutafuta Kiki kwa pikipiki, ni muda sasa wakutulia na wajukuu huku ukishushia bapa lako
Watu wenye silaha wamezingira nyumba ya @freemanmbowetz nyumbani kwake Machame na kuwaweka chini ya ulinzi wote waliomo. Haruhusiwi mtu yeyote kutoka wala kuingia nyumbani hapo. Maeneo yote yamezingirwa!
 
Tanzania what did you do? Ona hiyo margin of victory. Mtu aniambie iko sawa...

Mwinyi naye ameshinda na 76%
 
Huku kulikuwa na hili

Sasa hao ma low IQ unakamata ushahidi halafu unachoma moto? Ubunge unaweza kupingwa Mahakamani sasa kama umechoma moto ushahidi, kuna kesi gani hapo?

Hao jamaa aidha ni waongo au too stupid for this life, ...
 
Achana na FARU JOHN, kashalewa kwa bi mdogo anaanza KIKI ZAKE! Hatudanganyiki, labda BBC, VOA, DW na vile vyombo vyenu vya propaganda nje, ambao nawo wamewastukia...
Acha kabisa, kilikuwa kipigo HEAVY!
Tumsamehe tu..
 
Sasa hao ma low IQ unakamata ushahidi halafu unachoma moto? Ubunge unaweza kupingwa Mahakamani sasa kama umechoma moto ushahidi, kuna kesi gani hapo?

Hao jamaa aidha ni waongo au too stupid for this life, ...
Hayo makura yenu feki yapo mtaani yamezagaa yanafungiwa mandazi.
 
Back
Top Bottom