Jumla ya watu 36 wamaekamatwa wakati wa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa Polisi uliofanyika na kusababisha kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd.
Waandamanaji hao wamekamatwa kwa kufanya fujo, uharibifu na kuwashambulia polisi.
Taarifa iliyotolewa hivi karibuni imesema...
Na nasikia Maswali ya 'Mkaguzi' Mkuu 'aliyewakagua' jana yalikuwa ni Kuangalia kama Wanyama hao wana uwezo wa kutoka Baru (Kukimbia) hasa waonapo 'Adui' na pia kuhakikisha kama Farasi wana uwezo wa kupita 'Vichochoroni' sana na kukatisha Mitaa endapo 'Maadui' watakuwa wanaikatisha hiyo Mitaa...
Shirika la Reporters Without Borders (RSF) limesema Samuel Wazizi ambaye alikamatwa Agosti 02,2020 kwa madai ya kukosoa Mamlaka za Serikali amefariki dunia
Taarifa ya RSF imesema siku tano baada ya kukamatwa, Wazizi alihamishwa Kituo na kuanzia siku hiyo familia na wanasheria wake hakuruhusiwa...
Alifahamika kwa jina la MBOKOO!
Alikuwa kibaka mwenye miraba minne, Ambaye alikuwa kero kubwa kwa wakazi wa Kigamboni!
Taarifa za uhalifu wake ziliwahi kuwa kero zilivyoripotiwa kila siku kwa matukio tofauti kiasi Cha kujaza REPORT BOOK (RB) ya polisi kila kuchwao akituhumiwa kuhusika na...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi...
🎙”Taarifa: Kamanda @IAMartin_ amekamatwa na @tanpol usiku wa kuamkia leo Alhamis Mjini Tarime na mpaka sasa haijajulikana sababu za kukamatwa kwake.”- @PatricOleSosopi
#FreeMartinMaranja
Mwanzoni mwa mwezi wa tatu mwaka huu, tulimwona Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa, akiongea na waandishi wa habari, akielezea tukio la kulazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mzee Mangula.
Katika taarifa yake hiyo alitutueleza...
Waandamanaji zaidi ya 20,000 wamekusanyika katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Paris kudai haki itendeke katika kifo cha Mfaransa mweusi Adama Traore aliyefia mikononi mwa polisi mwaka 2016
Uchunguzi wa mazingira ya kifo Traore (24) umekuwa ukiendelea kwa miaka minne huku kukiwa na ripoti za kiafya...
The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) says 15 people have been killed and 31 others injured by police officers since Kenya heightened security measures to curb the spread of the novel Coronavirus.
About 87 complaints which include deaths, shootings, harassment, assaults resulting...
Hii ndiyo USA. Polisi kwa kutokuwa makini na kwa kukanyaga sheria zinazowaongoza kufanya kazi zao wakaua RAIA MMOJA TU asiye na hatia na asiye silaha kabisa huku wakiwa wameshamkata.
Hali iko hivi. Serikali nzima iko kwenye misukosuko. Inasemekana watu ilibidi waingie kwa nguvu hadi kwenye...
USA ubaguzi wa rangi na matendo ya kinyanyasaji yalizidi sana. Mpaka leo bado kuna Miji inatangaza maandamano. Nimeona waandamanaji wanaokuwa tayari kugongwa hata na magari ili wafe kwa ajili ya uchungu wa manyanyaso hadi kifo ya mpendwa wao George Floyd.
CCM yangu inaingia kwenye Uchaguzi...
Police wa Jimbo la Florida nchini US wameweka silaha zao chini na wakapiga magoti mbele ya waandamanaji kuwaomba msamaha, wamekubali kubeba lawama kwa kifo cha Floyd. Humanity restored.
Katika Hali ya kustaajabisha, Polisi wa Kenya wamemlazimisha mtu anayesadikiwa kuwa na mume wa marehemu kulala nje ya kituo cha polisi na mwili wa Mke wake ukiwa kwenye jeneza. Tukio Hilo lilitokea baada ya Polisi kuzuia msafara wa mazishi uliokuwa unatokea Malindi.
Mwanaume Huyo anasema '...
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Nguvu ya Umma au peoples power kinadharia hutumiwa sana na Chadema lakini waliwahi kuitumia kivitendo wakati fulani tukashuhudia kifo cha binti asiye na hatia.
Ninafuatilia kinachoendelea Marekani kupitia luninga ya Al-Jazeera kiukweli sijaelewa kama hii ndio nguvu ya Umma wanayoiamini...
RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara.
RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike...
ZANZIBAR: ALIYELALAMIKIA ZOEZI LA VITAMBULISHO AKAMATWA NA POLISI
Mkazi wa Jundamiti Kiwani Kisiwani Pemba, Abdalla Khamis Muhammed (Tuba) anashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kusini Pemba kwa madai ya kufanya uchochezi baada ya kudai kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi.
Mohammed ni miongoni mwa...
Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema.
Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.