RPC Muliro: Hatutaki Polisi Jamii ( Shirikishi ) wawe wanashinda Vituo vya Polisi kwani huwa Wanatuharibia sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,701
109,136
"Kama kuna Kitu ambacho Jeshi la Polisi hatupendi na hatukipendi ni kuona/ kuwaona hawa Polisi Shirikishi (Polisi Jamii) Kutwa wanashinda Vituo vya Polisi. Kisheria na Kiutaratibu wao wanatakiwa wakae tu katika Ofisi za Serikali za Mitaa au za Watendaji na Polisi tukiwahitaji tutawaita ila hatutaki na kwakweli waache kujifanya na Wao ni sehemu ya Polisi" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Mazungumzo ya Familia kutoka Radio One ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe.

Asante sana RPC Kamanda Muliro kwa Kauli hii ila GENTAMYCINE nakuomba nenda pale Kawe Police Station utamkuta Polisi Shirikishi Mmoja aitwae Masai ambaye kwakweli anayoyafanya kwa Watu (hasa ya Kuwaonea, Kuwapiga, Kusingizia Watu Makosa na Kuwaingizia Bangi mifukoni) yamefika mwisho wa Kuvumilika na sasa Watu wa Kawe sasa wanamlia tu timing ajae katika Frame (18 zao) ili wamalize Shughuli Mahema ya Huzuni yawekwe Kwake Kawe Bongo Msoto anakoishi, Nyimbo ya Parapanda iimbwe na akatusalimie huko Jehanam ambako ataenda na siyo kule Paradiso ambako akina GENTAMYCINE ndiyo tutaenda kwani hatuna baya hapa duniani na hata hapa JamiiForums pia.
 
Yote majizi tu ma police sijui yana laana gani yaani unaenda na tatizo kureport then hilo tatizo wanalitumia kama fursa ya kujipatia hela badala yakusaidie.
 
Kwa dodoma mjini ndio wakamataji wakuu wa bodaboda na wanapiga raia mimi niliosha jiapia polisi jamii akinizingua nitahakikisha siku hiyo tunaenda nae kwake. ili tumalizane nae hukohuko na wanavokaa uswahilini kwenye vyumba vya kupanga vya 25 elfu nitaingia na mlango ndani kisha nitampopobawa yeye na familia yake yote
 
Acha sifa boss
 
Mtu asie polisi anashindaje kituoni.. panavyonuka nuka vile..
Wanazulumiana unakuta police jamii kaleta kichwa kituoni alafu mapolice OG yanakula rushwa bila kuwapa gawio police jamii at the end police jamii ndo anaonekana mnoko kule mtaani huku hajala hela ya mtuhumiwa so kushinda shinda pale kituoni ni kulinda maslahi yao
 
"Kama kuna Kitu ambacho Jeshi la Polisi hatupendi na hatukipendi ni kuona/ kuwaona hawa Polisi Shirikishi (Polisi Jamii) Kutwa wanashinda Vituo vya Polisi. Kisheria na Kiutaratibu wao wanatakiwa wakae tu katika Ofisi za Serikali za Mitaa au za Watendaji na Polisi tukiwahitaji tutawaita ila hatutaki na kwakweli waache kujifanya na Wao ni sehemu ya Polisi" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Mazungumzo ya Familia kutoka Radio One ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe.

Asante sana RPC Kamanda Muliro kwa Kauli hii ila GENTAMYCINE nakuomba nenda pale Kawe Police Station utamkuta Polisi Shirikishi Mmoja aitwae Masai ambaye kwakweli anayoyafanya kwa Watu (hasa ya Kuwaonea, Kuwapiga, Kusingizia Watu Makosa na Kuwaingizia Bangi mifukoni) yamefika mwisho wa Kuvumilika na sasa Watu wa Kawe sasa wanamlia tu timing ajae katika Frame (18 zao) ili wamalize Shughuli Mahema ya Huzuni yawekwe Kwake Kawe Bongo Msoto anakoishi, Nyimbo ya Parapanda iimbwe na akatusalimie huko Jehanam ambako ataenda na siyo kule Paradiso ambako akina GENTAMYCINE ndiyo tutaenda kwani hatuna baya hapa duniani na hata hapa JamiiForums pia.
Katika uzoefu wangu, natambua kwamba hao Polisi Jamii ni nyoka wabaya sana kupita maelezo. Nimewahi kupata kukumbana na incidents nyingi sana zinazowahusu hao watu, zipo cases kadhaa ambazo nilishughulika nazo directly. Nitoe tu tahadhari kwao wenyewe Polisi jamii (ambao karibu wote huwa wanatumika kama "assets" ama kwa kujua au bila kujua) kwamba waachane na mambo hayo, badala yake watafute kazi zingine halali za kufanya. Aidha, nawapa ushauri pia wazazi kuwapa nasaha vijana wao juu ya umuhimu wa kutafuta kazi zingine za halali na kujiepusha na kazi za Upolisi Jamii ambazo ni hatari sana kwao.
Mathalani, Polisi Jamii wengi ndio wamekuwa wakitumika na Maafisa wa Polisi wa kawaida (Police Officers of a regular Pollice Force ) katika shughuli za kimagendo au za ki-uhalifu na za ki-jinai. Kwa mfano, wamekuwa wakijihusisha na Upokeaji wa rushwa (zao binafsi au wao wanazipolea Kisha wanazipeleka kwa Afisa wa Polisi anayehusika na magendo), yaani wamekuwa mawak ala wa kupokea rushwa za Mapolisi, mara nyingi wale Polisi wa vyeo vya juu kidogo). Vile vile, wamekuwa wakitumika katika kufanya shughuli haramu za hujuma dhidi ya raia, kwa mfano, wanachukua vitu vya magendo kama vile madawa ya kulevya, mali za wizi, n.k , kutoka kwa baadhi ya Maafisa wa Polisi wasio waadilufu na Kisha kwenda kuwabambikia watu ambao targets kwao kwa lengo la kujipatia rushwa au kwa malengo mengine yoyote yale mfano, kumkomoa mtu/mhusika aliyebambikiwa magendo, visasi kwa migogoro binafsi kati ya Polisi na raia, au malengo yao mengine.
Yapo mambo mengi sana kuwahusu, sitaki niyaeleze yote hapa.
 
Back
Top Bottom