pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bwaana, hivi Bibi Titi Mohamed waliyekuwa wanamuenzi leo wakina mama wa CCM ndie huyu upande wa pili wa shilingi?

    Tuweke historia yetu vema,leo kulikuwa na maadhimisho ya siku ya wanawake wa CCM UWT na kumuenzi Bibi Titi Mohamed,Lakini mzee mmoja tukitizama nae mbashara sherehe hizi amenipa stori tofauti kabisa ambayo sikuijua hapo kabla kwa kuwa hainenwi,ndipo nikaamua kuchimbua makaburi nikakutana na hii...
  2. JamiiForums Tanzania Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo! Yaaan madogo wangekuwa washachomoka! Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo...
  3. JamiiForums Tanzania HESLB: Awamu ya pili 7,364 wapangiwa mikopo; wengine watapangiwa Oktoba 25

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 Bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi Mtendaji...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Wanayanga tu: Yanga inakata punzi kipindi cha pili au ni mbinu zao za kiufundi?

    Inaonekana kama vile Yanga inacheza michezo tofauti kipindi cha kwanza na kipindi cha pili. Kipindi cha kwanza Yanga inacheza soka Safi na la kisasa na kushinda mabao dakika za mwanzo za mechi. Kipindi Cha pili Yanga inapunguza Kasi lakini wapinzani wanashindwa kuchomoa BAO waliliofungwa ingawa...
  5. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

    Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ? Tizama...
  6. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuoa mke wa pili kisirisiri

    Nina ndoa ya kanisani,dini yangu hainiruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Ila kadri siku zinavyoenda najihis kuwa nahitaji kuoa mke wa pili ingawa huyu wa kwanza sitomuacha. So nafikiria kufunga ndoa ya pili ya kanisani kimya kimya bila watu wangu wa karibu akiwemo na wife wangu wa sasa kujua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Yanga inakata upepo kipindi cha pili

    Naona kuna kawimbo kanaendelea kakusema yanga inakata upepo kipindi cha pili, mimi sikubaliani na icho kitu kwakuwa sijaona timu inayokata upepo ikiwa ikiwa inaruusu nafasi za wazi kwa wapinzani kunufaika nazo. Mara nyingi timu inayokata upepo aiwezi ikacheza mechi zaidi ya moja bila kuruusu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa Nikki wa Pili awa best student kwenye CPA...

    Pisi kali with brain inapendeza sana. Wale wa tuma na ya kutolea jifunzeni kwa mwenzenu. Mitihani ya CPA sio ishu ndogo. Mrembo anastahili pongezi
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika ambao bado wanaishi hata baada ya kufa

    1:Patrice Lumumba, Julai 2, 1925 katika ardhi ya Congo alizaliwa mtoto wa kiume katika viuno vya Mzee François Tolenga Otetshima na tumbo la Bi Julienne Wamato Lomendja, akaitwa jina lake Elias Okit’ Asombo yaani Mrithi wa Aliyelaaniwa. 2: Kwame Nkrumah, Aliye ifanya Ghana ikawa nchi ya chama...
  10. JamiiForums Tanzania Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

    Wanabodi, Wale wenye access na Plus TV, watch now kipindi cha Uso kwa Uso, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman asema uongo wa wazi wa mchana kweupe kuhusu muungano wetu. Mhe. Masoud anadanganya u kuwa Tanganyika na Zanzibar tulipoungana, ile 1964, ni nchi moja tuu ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kidato cha sita PCM ufaulu daraja la pili kweli sipati ajira? Dodoma

    Umri 26 Jinsia ME Makazi.. Dodoma mjini Nb Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa... Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea. "sipendi umaskini"
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya uhuru wa Tanganyika sehemu ya pili

  13. JamiiForums Tanzania Kuhusu udahili wa kozi za afya awamu ya pili 2021/2022

    Tarehe 17/09/2021 NACTE kupitia ukurasa wao waliweka tangazo na ndani ya hilo tangazo wamesema wale wanafunzi ambao hawakuchaguliwa na ambao hawakuomba nafas za vyuo basi wafanye hivyo katika awamu hii kwani ndio awamu ya mwisho kwa muhula huu wa masomo. Sasa hapa tangu juzi naingia kwenye...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi - Sept 17, 2021

    Hali ya ndani ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa ni shwari Leo tumepita getini bila bugudha na hakuna polisi wa nje zaidi ya hawa maalum wa mahakama Hakika Jambo la jana kupigania haki ya mahakama na kutaka isimame kama mhimili huru ni nzuri sana Jopo la mawakili...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya Aikaeli Mbowe imeibua mengine yanayoendelea ndani ya regime. Shahidi wa pili ni Inspekta Mahita

    Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki. Hapa inakuja picha bayana ni kwanini ni vigumu regime iliyoko kubadilika. Kila anaeshika...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

    Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na Uhuru mkubwa wa kutoa maoni baada ya Africa kusini iko chini kidogo ya Uingereza|| Je! CHADEMA mnalijua hili?! " Hakuna kama Samia " GOODNEWZ: Tanzania rasmi nchi ya pili Barani Africa kwa uhuru wa kujieleza|kutoa maoni baada ya Africa ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ukipitiliza tarehe ya chanjo ya pili usianze upya kuchanjwa

    Kwa namna au sababu tofauti huweza kutokea mazingira ambayo yanaweza kumfanya mtu asahau au ukakosa chanjo yako ya pili ya Covid-19 kwa tarehe uliyopangiwa. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa ukipatwa na hali hiyo usikate tamaa wala usianze upya mpango wa kuchanjwa tena isipokuwa fika kituo cha...
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudisha pesa niliyokatwa App Store?

    Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
  19. JamiiForums Tanzania Nchi hii Hakuna Daraja la Kwanza wala la pili. Wote Wana haki Sawa

    Kwema Wakuu!! Moja ya mambo ambayo yananikera, yananifanya nisiishi Kwa Amani, nisiishi Kwa furaha ni kuona kundi Fulani linanyanyaswa. Kwa kweli katika vitu navichukia kuliko vyote ni kuona uonevu, unyanyasaji, ukandamizaji pamoja na dhulma ndani ya jamii. Mimi hata awe mzazi wangu akileta...
  20. JamiiForums Tanzania Siku ya pili ofisini Rais wa Zambia aunda team ya kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa kodi

    Siku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…