pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. Vsanja

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa taarifa za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 au chuo Awamu ya pili 2022/2023

    Habari zenu wakuu,, naombeni mnisaidie kama ipo tayari PDF ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha 5 au chuo kwa awamu ya pili
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

    SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha. Msimu huu hakuonyesha makali tofauti msimu uliopita Mugalu alimaliza na mabao 15 katika mechi 19 Chanzo: SportsArenaTz...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Sabaya afikishwa Mahakamani, Mawakili wake wasema Sabaya ni mgonjwa, yaahirishwa hadi Juni 20, 2022

    KESI ya uhujumu uchumi na rushwa inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, itatajwa kwa mara ya pili leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Ole Sabaya na wenzake, ambao ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antoro Assey...
  4. dirtyboy

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana mtu aliye ishia kidato cha pili na kufaulu kujiunga na QT

    Habari za wakati huu wana JF. Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua viwanja kama uwezo upo nunua kiwanja kinachotosha nyumba ya pili ndogo

    Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo. Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi. Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ghana: Timu ya AshantiGold FC imeshushwa mpaka ligi daraja la pili kwa kuhusika na upangaji wa matokeo

    Timu ya Ashantigold SC imepigwa faini na kushuka hadi Ligi Daraja la Pili baada ya kupatikana na hatia ya kupanga matokeo katika mechi ya Ligi Kuu ya Ghana 2020-21 dhidi ya Inter Allies FC. Klabu hiyo imekutwa na hatia kutoka kwa kamati ya nidhamu inayoongozwa na mwenyekiti Osei Kwadwo Adow...
  7. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Kweli penye nia pana njia, ni wiki ya pili sasa sijanunua kahaba

    Kwakweli siamini kama wiki ya pili hii inakatika eti sijanunua malaya kabisa, si mtandaoni wala sio Sinza, naona kwangu ni mafanikio makubwa sana katika safari yangu ya kuushinda huu Uraibu. Kwa sasa najitajihidi kujiburudisha kwa muziki au bia au vyote kwa pamoja, ila malaya hapana, huo ndio...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Kisukuma iwe lugha ya pili ya Taifa la Tanzania

    Mhola sana waungwana! Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora. Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani. Baadhi ya...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Meli ya pili ya Urusi inaungua moto, Admiral Grigorovich (Navy) wanaendelea kuokoa

    Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo tukubalini tu kibao kimetugeukia tulikuwa tunawacheka sana ndugu zetu upande wa pili.

    Mzuka wanajamvi! Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia. Sasa ni...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni bora uolewe Mke wa pili na Mwanaume mwerevu kuliko ujitie kuolewa kama mke mmoja na Mwanaume asiyejielewa

    NI BORA UOLEWE MKE WA WAPILI NA MWANAUME MWEREVU KULIKO UJITIE KUOLEWA MKE MMOJA NA MWANAUME ASIYEJIELEWA! Anaandika, Robert Heriel. Angalizo; Ujumbe huu utawahusu binti zangu tuu, na wanawake wote werevu ikiwapendeza wafuate maneno yangu. Hivyo ni kusema ujumbe huu sio wa watu wote. Taikon...
  12. data

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili ameingia cha kike huko aisee!! Wanyama wamecharukaa!

    Ni vita! Matusi yanaporomoshwa hukoo
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Business Insider Africa: Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupokea watalii wengi Afrika 2021

    Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang! Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa! Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amazon nao hawajaachwa nyuma, wanaingia Kenya kwa kishindo, wanawekeza "local zone" ya pili Afrika Nairobi

    The entry of Amazon Web Services (AWS) into Kenya’s cloud computing ecosystem is set to bolster the country’s preparedness for the take-off of the Fourth Industrial Revolution (4IR) as its rapid technological transformation keeps attracting Big Tech. Last week AWS set up a Local Zone in Nairobi...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

    Afisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara katika picha mara baada ya kufunga ndoa kwa mke wake wa pili jioni ya Alhamisi Aprili 14, 2022
  16. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna siri gani kati ya mtoto wa pili kuzaliwa na kufanikiwa kimaisha?

    Jamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine? Maana kwa asilimia kubwa wanaofanikiwa kwa asilimia nyingi ni watoto wa pili kuzaliwa. Nimechunguza familia karibu tatu na ya nne ni yangu mimi yaani wa pili kuzaliwa ndio katoboa...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Macron, Marine Le Pen kushindana raundi ya pili kuwania Urais wa Ufaransa

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameongoza kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi, akimshinda kwa tofauti kubwa kuliko ilivyotarajiwa mpinzani wake, Marine Le Pen na hivyo watakutana katika duru ya pili kati ya wawili hao baadaye mwezi huu. Matarajio yalionyesha Macron atashinda kwa kati ya...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasema NATO ni dhaifu hawatajiunga nayo

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema NATO hawajawahi kuwa dhaifu kama walivyo sasa, ambapo nchi yake imepigwa kwa siku 20 na hawajachukua hatua. Amelaumu kwa kutaja Ibara ya 15 ya NATO ambayo inasema nchi moja ya NATO ikiguswa nchi zote zimeguswa. Lakini kwa sasa suala hilo ni tofauti...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania, yatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi

    KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi. Akizungumza kwa niaba ya Kamati...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Alfu Lela Ulela au Siku Elfu na Moja - Kitabu cha Pili

    Baada ya kitabu cha nne, sasa tuone kitabu cha pili. Fuatana nami hadi kitakapoisha, pia hivi vyote na vingine vingi unaweza kuvisoma bure ndani ya maktaba app. MAZUNGUMZO YA ALFU LELA ULELA AU SIKU ELFU NA MOJA KIMEFASIRIWA KWA KISWAHILI NA EDWIN W. BRENN KITABU CHA PILI YALIYOMO...
Back
Top Bottom