Tetesi: Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

Action and Reaction

Senior Member
Oct 16, 2021
111
250
Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo!
Yaaan madogo wangekuwa washachomoka!
Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo kilichovujisha mitihani itakuwa poa sana na kukifungia kabisaa!
 

Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,378
2,000
Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tz nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo!
Yaaan madogo wangekuwa washachomoka!
Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo kilichovujisha mitihani itakuwa poa sana na kukifungia kabisaa!
Marking scheme ya clinical medicine level 5 huwa hazitumwi vyuoni isipokuwa level 4 so hapo tatizo limeanzia wizarani huko huko wajitafakari.
Kila mwaka mitihani huvuja Ila mwaka huu imezidi
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
4,173
2,000
Clinical officer ni.. non-clinical .. ila ni clinical officer

Anyway.. wanasema sehem kubwa ya Watanzania n vichaa , here is one of them
Kuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.

#MaendeleoHayanaChama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom