The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).
Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir.
Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita.
Source: ZBC
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul.
Akisoma hukumu hiyo Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora...
Habari wadau.!
Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo nuklia hiyo itazalisha takribani 41,700Megawatts mpaka kufikia 2040.
Uganda wameingia mkataba na...
Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo.
Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni
Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8
DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA VIEWS ZA DIAMOND ALIZOFIKISHA NDANI YA MASAA 24 HATIMAE LIMEKAMILIKA BAADA YA HARMONIZE KUFIJISHA...
Salamu waheshimiwa.
Nilipata chanjo ya homa ya ini (hepatitis B) dozi ya kwanza tarehe 26/3/2021, nikaambiwa nirudi kupata dozi ya pili baada mwezi mmoja yaani dozi ya pili natakiwa nipewe tarehe 26/4/2021
Kwa bahati mbaya sana nipo mbali na hospitali kwa sasa, ninauliza je nikichelewa wiki...
Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)
Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"
Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "
Ramadhan Kareem!
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.
Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho), ila Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita...
“Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey
----------
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa...
Naibu Waziri wa TAMISEMI mh Silinde amewataka maafisa elimu nchini kupeleka majina ya walimu waliojitolea mapema ili wapewe kipaumbele katika ajira 6000 alizotangazwa Rais Samia hivi majuzi.
Akijibu swali bungeni Naibu Waziri Silinde amesema kigezo cha kwanza itakuwa wale wote waliojitolea na...
Naona wanaharakati wa twita kila baada ya sentensi mbili kuhusu Mama yetu kipenzi mnasema atakuwa 'one term president'. Hivi ni lini alisema anataka vipindi viwili? Considering namna alivyoingia madarakani, hamfikirii kuwa labda alikuwa na mipango yake kabla msiba haujaingilia kati? She might...
Toka jana huduma ya Tigo pesa haipatikani, nimeongea na huduma kwa kwa wateja wanasema ni kweli huduma hiyo haipataikani ila mafundi wanapambana kushughulikia tatizo.
Kilicho nikwaza ni kukaa kimya kwa siku zote bila kutoa taarifa, leo nilitakiwa kufanya malipo ya watoto shule nataka kutoa...
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.
Tukirejea kwenye mada, aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa...
Picha ya Mwanamziki Lady Jaydee
Uchuro? Baada ya kutundika mtandaoni kwa mara nyingine picha za jeneza alilojiandalia litakalotumika siku akiaga dunia, mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee au Jide, amelaaniwa vikali na mashabiki wake kwa kitendo hicho.
Abadili rangi
Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.