Nafikiria kuoa mke wa pili kisirisiri

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
5,641
10,487
Nina ndoa ya kanisani,dini yangu hainiruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.

Ila kadri siku zinavyoenda najihis kuwa nahitaji kuoa mke wa pili ingawa huyu wa kwanza sitomuacha.

So nafikiria kufunga ndoa ya pili ya kanisani kimya kimya bila watu wangu wa karibu akiwemo na wife wangu wa sasa kujua.

Mnaonaje hili wazo langu wakuu?

NB:kabila langu linaniruhusu kuwa na wake hata 1000.

1634797682443.jpeg
 
Meshacky Allyson

Senior Member
Oct 29, 2020
115
235
Nina ndoa ya kanisani,dini yangu hainiruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
Ila kadri siku zinavyoenda najihis kuwa nahitaji kuoa mke wa pili ingawa huyu wa kwanza sitomuacha.
So nafikiria kufunga ndoa ya pili ya kanisani kimya kimya bila watu wangu wa karibu akiwemo na wife wangu wa sasa kujua.
Mnaonaje hili wazo langu wakuu?
NB:kabila langu linaniruhusu kuwa na wake hata 1000.
Fresh tu ninja
 
Mwami Kabuyuki

Senior Member
Dec 4, 2018
151
299
Nina ndoa ya kanisani,dini yangu hainiruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
Ila kadri siku zinavyoenda najihis kuwa nahitaji kuoa mke wa pili ingawa huyu wa kwanza sitomuacha.
So nafikiria kufunga ndoa ya pili ya kanisani kimya kimya bila watu wangu wa karibu akiwemo na wife wangu wa sasa kujua.
Mnaonaje hili wazo langu wakuu?
NB:kabila langu linaniruhusu kuwa na wake hata 1000.
Ndoa za Kimila hazina Kikomo cha Kiwa na Wake, Makabila Yote Yanaruhusu kuao wake Idadi utakayo

Hilo jambo unataka Kufanya si jema hata Kidogo na Hiyo ndoa itakuwa batili kwa Misingi ya Dini yako hata Huyo mke wa Kificho atakuwa hana haki ya Mke bali Mchepuko flan hiv

Uamuzi ni wako

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Macbook pro

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
619
812
Kuwa makini Mkuu, ukae ukijua siku huyo mkeo akigundua ndio ujuetu kuwa moto utawaka humo ndani. Inahitji umakini sana kwenye hilo
 
mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
17,934
33,964
Vyovyote vile we fanya tu, hautakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
7,178
25,673
Nina ndoa ya kanisani,dini yangu hainiruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
Ila kadri siku zinavyoenda najihis kuwa nahitaji kuoa mke wa pili ingawa huyu wa kwanza sitomuacha.
So nafikiria kufunga ndoa ya pili ya kanisani kimya kimya bila watu wangu wa karibu akiwemo na wife wangu wa sasa kujua.
Mnaonaje hili wazo langu wakuu?
NB:kabila langu linaniruhusu kuwa na wake hata 1000.

Kwa nini unifiche?

Unamuogopa nini mkeo wa kwanza.

Kaa na wazee wako waeleze nia yako. Wakikubali nenda kaoe. Ukianza mambo ya kuficha ficha tu unatengeneza bomu kubwa. Wewe weka wazi process nzima. Ila ya pili usioe kanisani kuepusha mapingamizi nenda kaoe kimila ama bomani
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,855
287,709
Poa ila mkeo naye ana mchepuko wake anaochepuka nao kisirisiri bila ya watu wake wa karibu ikiwemo wewe kujua. Yeye haihitaji kuolewa bali kuchepuka tu

😜😜

Nina ndoa ya kanisani,dini yangu hainiruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
Ila kadri siku zinavyoenda najihis kuwa nahitaji kuoa mke wa pili ingawa huyu wa kwanza sitomuacha.
So nafikiria kufunga ndoa ya pili ya kanisani kimya kimya bila watu wangu wa karibu akiwemo na wife wangu wa sasa kujua.
Mnaonaje hili wazo langu wakuu?
NB:kabila langu linaniruhusu kuwa na wake hata 1000.
 
Marine creature

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
2,270
2,914
Hujavunja sheria za nchi mkuu...ruksaa kabxaa..fanya kile moyo unapendaa...ila hapo kufunga ndoa ya pili kwa kwel sikushauri
 
The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
3,694
14,133
Mke mmoja ni mambo ya kizungu mkuu. Walikuja na hoja ya mke mmoja kutuweka sawa kiakili ili wakija na hoja nyingine tuwaelewe, sasa wamekuja na hoja kwamba sio lazima uone mwanamke unaweza kuoa mwanaume mwenzako.

Wanawake walivyo wazuri na walivyo wengi unakuta mtu anang'ang'ania mwanamke mmoja, amekua mama ako?

Achana na utaahira wa kizungu, ongeza mke. Wasalimie wegelo.
 
6 Reactions
Reply
Top Bottom